Kiswahili ni lugha ya taifa na kimataifa! Mbona ukiboronga lugha za kigeni unasahihishwa. Raisi mwenyewe anasahihishwa, usomi wangu ndio maaana naandika kiswahili fasaha. Ukiona jitu halina busara mtandaoni, ujue halina pa kula wala kulala, alafu Kobe la mwezi mtukufu na kisimu chake cha mkopo, ovyo. Mtanzania halisi ni yule mwenye uchungu na Lugha yake. Soma hiyo, usomi wako bila matamshi dhahiri tunakuona muiba vyeti tu na mpotosha lugha yetu pendwa tu. 🤣
@@WilsonMgwilanga-bj9li Na ndio mana umekoment manake, limekukuna panapokuwasha hilo na umeelimika. Karibu sana, teacher natembeza mbarati mchana kweupeee.
@@jayjay4313 huna maarifa ya kutosha, acha nikupe usiyoyajua kupitia comment yako ingawa unawatemea shombo wasiojua wenzio: 1. Umeandika "Raisi" usahihi ni Rais 2. Umeandika "kiswahili" usahihi ni Kiswahili
Biteko acha uongo mnatukatia umeme kila wakati mengi aliyafanya Dr John Pombe Magufuli alifanya kazikubwa na bado mnaendeleaje kumtukana na machawa wenu
Nampenda sana doto biteko niwaziri anaye jiamini mungu akutuze kwa ajili ya familia yako na watanzania wote
Jpm alikuwa Baba lao Apumzike kwa Amani Jpm wetu
Hamna kitu pale baba Lao kwa mazoba
Pole akiliyako ndipo ilipofikia
@@bakarithegeoinformatician7406pole akili yako ndipo ilipo fikia
Binti imara huyu.
Muhuuu kazo hipo munawashukuru madui zenu
Biteko nimunafiki
Raisi, Faraja ✅. Laisi, falaja ❌
Usomi wako wote huu hujulikani bado! Sisi wasomi wa kawaida tumefanikiwa kubeba ujumbe tu
Wabongo bwana kukosoa ndo kitu umejua
Kiswahili ni lugha ya taifa na kimataifa! Mbona ukiboronga lugha za kigeni unasahihishwa. Raisi mwenyewe anasahihishwa, usomi wangu ndio maaana naandika kiswahili fasaha. Ukiona jitu halina busara mtandaoni, ujue halina pa kula wala kulala, alafu Kobe la mwezi mtukufu na kisimu chake cha mkopo, ovyo. Mtanzania halisi ni yule mwenye uchungu na Lugha yake. Soma hiyo, usomi wako bila matamshi dhahiri tunakuona muiba vyeti tu na mpotosha lugha yetu pendwa tu. 🤣
@@WilsonMgwilanga-bj9li Na ndio mana umekoment manake, limekukuna panapokuwasha hilo na umeelimika. Karibu sana, teacher natembeza mbarati mchana kweupeee.
@@jayjay4313 huna maarifa ya kutosha, acha nikupe usiyoyajua kupitia comment yako ingawa unawatemea shombo wasiojua wenzio:
1. Umeandika "Raisi" usahihi ni Rais
2. Umeandika "kiswahili" usahihi ni Kiswahili
Magufuli jembe