💯💯💯💯❤️❤️❤️❤️👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼 Hongera Dulla kitu hatar sasa wana Singeli tusomeni kiingereza ili tutoboe kimaisha na kimataifa ingia youtube yangu Official Teacher kasome bure kabisa simu yako ndio darasa lako.
Tanzania 🇹🇿 Kenya 🇰🇪 Uganda 🇺🇬 Rwanda 🇷🇼 Burundi 🇧🇮 Nigeria 🇳🇬 Canada 🍁 Japan 🇯🇵 China 🇨🇳 India 🇮🇳 America 🇺🇸 Brazil 🇧🇷 Ghana 🇬🇭 Morocco 🇲🇦 Australia 🇦🇺 and all the people who lived in this world Let's gather here 🫶👍
Fanya video ije mapema king of singeli, mwanangu hajuwi hata kuongea lakini anazikubali sana nyimbo zako kupitia video yani akisikia mdundo tu lazima aamke na kuanza kucheza
Wakwanza leo maua yangu jaman likes zakutosha
Chupa kama chupa 🔥 🙌🏽
mchizzo katisha 🔥🔥 kwa niaba ya wakenya wote nishasema hili goma kubwa sana
Kama unakubali gonga like twende sawa 🇰🇪🇰🇪
TABATA✊🏿😂 (wa tabata Mawenzi- kiManga, Tabata Relini ) Like Hapa
TABATA HOOD TUJUANE HAPA💥
TABATA TO THE WORLD😂🙌
Oyaaaa nani anapajua tabata😮😮😮😮😮
Nahisi siku ya mwisho likipigwa Parapanda tutajua Amapiano😅😅😅😅😅
Kwengine ntaenda kuzurula tu ila kuishi sitoboi.
Wakwanzaaaaaaaaaaaa TABATA🎉🎉🎉🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nimemjua Dulla juzi na I already can’t get enough of him, much love from Kenya 🇰🇪, pia naja Tabata😌
Makabila Tabata nipeni like
Kwawingi wakwanza mimi💐💐💐💐
💯💯💯💯❤️❤️❤️❤️👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼 Hongera Dulla kitu hatar sasa wana Singeli tusomeni kiingereza ili tutoboe kimaisha na kimataifa ingia youtube yangu Official Teacher kasome bure kabisa simu yako ndio darasa lako.
Nyumbaaaaaaaaaaaan kabisa tabata matumbi like zetu hapa
Kwenye upande wa singel huy bwan ndo namb moj kwa uandixh❤❤❤❤❤
Madem wa tabata sinza wana U.T.I hii inawahusu kabisaaa tabata nyokooooo
Mm wa pili na mimi nataka maua yangu 😜💥
Kitambo ilikuwa sinza bt now tabata si masikhara aisee... Yamoto sana🔥🔥🔥
Sema dulla we chakaramu sana😷😷😷😷umetisha sana unyama kama sana dah dulla nakubali
Umeuwa mtaram wangu wa singeli
Motto uleule Kaka dulla utawaua😂😂❤😂😂🎉
Ambao tume rudia zaidi ya mala 10 huu wimbo tujuane 🙏🏿
Unakitu dula . Wauni watabata oyeeè like nying
Yani kaua san jana
oyaaaaa hii imeenda TABATA ON MAP
Mungu akubaliki kaka from Mozambique
Fire yani kama nimashairi brother kwenye hii ngoma umeandika sana alafu melods ulizopita nazo mwishoni kweli professional singeli singer
Tanzania 🇹🇿 Kenya 🇰🇪 Uganda 🇺🇬 Rwanda 🇷🇼 Burundi 🇧🇮 Nigeria 🇳🇬 Canada 🍁 Japan 🇯🇵 China 🇨🇳 India 🇮🇳 America 🇺🇸 Brazil 🇧🇷 Ghana 🇬🇭 Morocco 🇲🇦 Australia 🇦🇺 and all the people who lived in this world Let's gather here 🫶👍
I guess everybody needs this song for future use when giving testimonies ❤❤❤ next collabo me and you 🙏🙏
Ko parapanda tutajua amapiano😂 daaah💔
😂😂😂😂
Sema hii ngoma iandikie tabata vol 2 make nahisi bado kuna maunyama mingi mingi mwendelezo
Love from 🇰🇷 umetisha san🔥🔥🔥
Huyu jamaa anavitu vya kipekeake
Tunasubili NGoma ya sinza kitambaa cheupe
Tabata 🔥🔥🔥king of singeli 💪
Daaah jana umeua san makabila ww kiboko tuli enjoy san
Dulla much love from Kenya
Tabata miyutiai sugu 😂😂😂🤣
oyaaa sema wanangu wa tabata tukutane apa🤪🤪
From Kenya, hii imewesa❤🔥🔥🔥💯
Dulla wew ni noma sana🔥
Makabila naomba collabo😂 number 1 fun from Kenya🇰🇪.
Talumbeta la mwisho watadhani Amapiano😂
Uyu bwanamdogo apa kwenye singeli mi namkubali sana.
Umetisha mzee baba uko vzri 🙌🔥🔥🔥😂
Sisi wana tabata mtuache na tabata yetu❤❤❤🎉😂😂😂
Yan sio pow jana ila ww sijakuon
Mwaka huu ni vinu tu juu ya vinu🔥💰
Tabata barakuda😂
Kama unavojua
Kombora ilo🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hii imeenda Mabalaa 🙌
Nice song dullah makabila👑
Kwaizo beat ur the king❤❤❤
hiv nasubir nin kuja tabata makabila nitafutie chumba am on de way
Fire 🔥
We dullaa 👍👍👍👏👏
Wale tunaotokea tabata BIMA NJOO HAPAAAAA
Mshamba wew kumbe ety😂
Mim nakuja huko Taba sina Mdaa sasa ole wako dulla utanibeba
Hii truck moto sana. Big up bro
Dullaa fala sanaaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Malaya kapata donda muhuni kapanta ganja shangingi kapata donda,😂😂😂😂😂😂umetisha sana
Wana wa Tabata tujuane kwa like😂
Dulla Makabila sijui kama kuna msanii wa singeli anamsogelea kwa kuandika mashairi 😂
Parapanda watajua mapiano.....
naatutoki tabata umeua brother
Wanangu Wa tabata njooni hapa
Tabata sihamii saluute to the of SINGELI
Fanya video ije mapema king of singeli, mwanangu hajuwi hata kuongea lakini anazikubali sana nyimbo zako kupitia video yani akisikia mdundo tu lazima aamke na kuanza kucheza
Tupo pamoja we kijana
Kiasi chako umepeperusha bendera hongera 😊
Ngoma kali sana lakini Jina la producer ni Goodmaster sio muddy master kama ilivyoandikwa kwenye cover 🎉🎉
😂😂😂 hataree sana makabila...
Sijajua kama umetusifia au umetutukana mpaka sasa hivi
Ila sio ukiama kimanjo kunaitwa kimanga😂
King of singe atariii
Tabataaaaaaaaaa😅😅😅😅yetuuuuu
makabilla iyi kali zaidi tabata kumenoga
😂😂❤ good talent king of the singer🎉ly 👈👍👍
😂😂😂wale wa tabata nawajua😅😅😅
yépaaaaaa !!! gracias Dulla !!!
hukosei Dulla.....umetisha!!!!!!!!!
Hataleeee Na Nusu Dulaaaa Talee the king
Kitambaa Cheupe .....Tabata😅😅
Namuelew sana makabila
Tabata bima sio❤
bima sehem gan upo
Ngoma kali ila Kuna kitu bado sijakiona kwako kaka kuna vitu kama vimepungua hivi
Yani the king of singeli
Aya wenye tabata letuu aloooo weeeee😂😂😂
Watatubu lazima watubu, jamaakatisha
Oya dulla unajua kumamako
😂😂😂au sio parapanda utajua amapiano
🔥🔥🔥
USIKUTE TABATA NDO MOTONI SIKU YA MWISHO 😂😂😂
Like zenu wazee watabataa😂
Mtu pumzishe wana watabata 😂
Abdallah makabila nini hii sasa
King of singeri
1
❤❤❤❤Spotted By makonda sodier kinhamby Moz
Umeuwaaaaa❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂
Moto huwoooo hatareeee
Sikupingi mwamba wewe Ni teacher wa singeli bro
Utaikoga U.T.I kama utaikosa GONO 😁😁😁😀😀😀😀😁😁😁😁😀😀😀😀😀💗💗
😂😂😂😂😂 tabata miyutiai sugu 😂😂😂