Jay bona hutrust mum na mabishano mingi,unabore sasa ningekuwa mum singekuja kuwasaidia tena mko na imani finyu sana...haya buy hio mbuzi nyeusi upelekee mganga.....bona kutolea mungu inawauma
Muache mambishano muukiwa na Linda mumeonyesha roho ya kutokuwa na lmani ata roho hawezi shuka,angalia vile Joshua na Stano hufanya kazi mpka wanatolewa kwa msitu dani bila kunjua nini imewambemba,mliona wakati mlikua na Imani karibu huyo Mganga ambadilike@TruekTVNetwork
The God who heal cancer,the living God who heal all kinds of diseases He is the only one who will heal baby Jayden 🙏what i know with God everything is possible 🙏 let us believe in Him🤲🙌🙏
Linda trust in God mtoto atakuwa sawa, mungu mwenye alimtoa kwa wachawi hawezi muacha afike hapo afe, Jayden ataishi kumtumikia mungu na pia kukomboa wote wenye wako kwenye illuminati in Jesus name, Jay stay strong msiwai bishana na mungu na ni lazima hiyo dhabiu tuchange ndio itenganishe Jayden na maroho ya illuminati hiyo ni a must mungu aweze kutenda hiyo pesa ipatikane tuwaibishe wachawi wote kuwa mungu ni mwenye nguvu kushinda yeyote 💪🙏🙏
Jay unaonekana hauna tena Imani kwa Mungu, sikiliza neno la Mungu, ambia watu wachange pesa, itolewe sandaka kwa Mungu, roho wa Mungu akisema kitu nivile tu mtoto atapona
I cover Jayden with the blood of Jesus christ and no weapon forged against him will prosper 🙏. Let the deliverance be done asap hizo doo tutatoa. Jay please acha kubishana na pia wewe lazima ufanyiwe deliverance since uguzwe mdomo na yule possessed docki umekua too much. We just want the baby to be okay we are already traumatized 😔
There is something people are ignoring in this case:"FAITH".Faith is the main factor that brings the result of healing. Where does the faith of Linda and Jay lie? Are they believing mama Derrick to please her? Why then go to another pastor? What if the other pastor delivers the child for free? Hio maneno mama Derrick anaongea itakua na effect? Yule daktari nae cos ndie alianza kazi na akawa affected because of Jay how are they going to finish with Jay.? Ndio maana Imani ya mtu hu matter a lot.
😂😂😂itaoza juu wamekua watu wa Imani ndongo.yaani hii makubwa yote mungu amewatendea bando awaamini?.akili zao ziko kwa wanganga?.😂😂😂.mungu amerundisha huai wa jeyden then awaamini mungu ni mweza?.wacha ioze ndio waamke😂
What is 300k compared to the life of Jayden? Jay wacha mabishano combine your efforts an Dave's tuchange hizo pesa to save huyu mtoto pls.na uwache makasiriko.
Am glad mtoto ako uhai coz mimi niliwacha kwenye aliambiwa ati mtoto amekufa. Guys we fight on this battle coz greater is he that is in us than he that is in the world.
Lakini ata mama derick amekuwa na kishirani,si mi najua deliverance ni bure kwa watumishi ambao wamechaguliwa na mungu,ukiona mahali wanaitisha pesa ni biashara hiyo
Pastor, you are such a blessing. Live long mummy to spread the gospel. We love and respect you for your patience in this. God bless you abundantly. Continue standing on the gap
Let me be silent for now, but that wasn't the Spirit of God who was talking through Mama Derrick, and I only believe on the work that Jesus Christ did on the cross and said it's over and no More sacrifices bcoz he was final. I have confident when saying this bcoz what God thru Jesus Christ has done in my life by even rescuing my life, Weeeeee ....before i was giving a lot of sacrifices, but when I read about Jesus Christ, I said NEVER AGAIN. I only give my Thanksgiving willingly and by helping the needy and Ophan and my life has changed.
Jay,jay, jay nimekuita mara ngapi,wacha kubishana na roho wa mungu mkiwa na lindah wanawambia mtoto hajakufa mnasema mtoto amekufa, God protect baby Jayden
Sasa Kwa hii situation surely mnaexpect Linda atoe wapi hiyo huge amount...saa hii Hana uwezo 😢😢😢ata mungu ataelwa...we are giving this gal pressure aki...I think she needs tym to heal
Jay and Linda have faith Jayden will be fine we are serving the living God 🙏🙏 lazima mtoe hyo 10% ndio mtoi akuwe poa wacheni kubishana mnapea pastor Nancy hard time
Wieh! This is altar verses altar.only sporitual people can understand this.people should start watching Erica of life is spiritual programs.pastor nancy you are very right.
Damu ya yesu tawala tawala 😮😮😮 ile. Najua maombi na damu ya yesu inatosha imani ya yesu iwatosha. Nyinyi nyote mko prosses kuchanganikiwa jay be strong
What I know is that we serve the living God sina hofu na sibabaiki jayden alishashinda mauti 2 times ya tatu he will never die in Jesus name shetani ameshindwa lakini bado hataki kukubali receive the healing baby jayden katika jina la yesu we are still here praying for you
In psalms 11:4 -7 inasema ivi The lord is in his holly temple, the Lord's throne is in heaven:His eyes behold, eyelids test the son of men. The LORD test the righteousness, but the wicked and the ones who loves violence his soul hates. 6 Upon the wicked He will rain coals: fire and brimstone and a burning wind: shall be portion of their cup. 7 for the LORD is righteousness; his countenance be holds the upright. Naamini jayde atasimama and he will live to testify the goodness of the Lord in him
Kama alirudi Sha uwahi ya mtoto nini itamshida kitu mzito alisha thibitisha mbele ya Kila mtu kwani nn ngumu kwake, kumbuka ayubu alivyo toka na vindonda Kila mahali, kwa Kila jambo mungu uweka njia pasipo na Jia 🙏
Lord protect thy servants from evil 😈 spirit divine intervention king of kings we pray no weapon shall prosper unto thy servants lord of heaven mama Derrick divine wisdom wisdom and grace to deliver every person in Kenya 🇰🇪 may we believe in thee lord thru mama Derrick.
Mungu aliambia shetani go n try job na usinguze roho yake, the same situation to linda kauka na Mungu wako usimkane shetani atafanya kila kitu bt hawezi nguza roho ya huyo mtoi 🙌🙏🙏shikiria imani yako kabisa God will pay u double blessing
GOD of justice siukate hii case.wenye hawana thambi ndio wana athibiwa .mwenye alipokea pesa saa hii anajigamba na pesa tena yeye ndie alifanya magano na mashetani.aki niko confused na hii case.mungu interven.
To support baby jaydenJay Charles David 0726050549
@@michaeltadayo1533kwan umelazimishwa kutoa??
Jay bona hutrust mum na mabishano mingi,unabore sasa ningekuwa mum singekuja kuwasaidia tena mko na imani finyu sana...haya buy hio mbuzi nyeusi upelekee mganga.....bona kutolea mungu inawauma
Muache mambishano muukiwa na Linda mumeonyesha roho ya kutokuwa na lmani ata roho hawezi shuka,angalia vile Joshua na Stano hufanya kazi mpka wanatolewa kwa msitu dani bila kunjua nini imewambemba,mliona wakati mlikua na Imani karibu huyo Mganga ambadilike@TruekTVNetwork
@@michaeltadayo1533😂😂😂😂😂hio nayo watakuja kulipia
You people wacheni ujeuli ata mnaongelesha huyu mama matharau@TruekTVNetwork
Msibishane aki msichanganyikiwe plz plz,, mtoto atapona in jesus name
🙏🙏🙏🙏
Please lord show your self now.....its enough for this pain
The God who heal cancer,the living God who heal all kinds of diseases He is the only one who will heal baby Jayden 🙏what i know with God everything is possible 🙏 let us believe in Him🤲🙌🙏
Amen 🙏 in Jesus Mighty Name 🙏
Amen Amen 🙏
Ahsante mam Derick... we're praying for you
Mama deric ....Wasaindie pesa watatoa wapi
Pastor Nancy knows what what she is saying. God bless you mama wetu.
Nothing is expensive to our God plizzz Jay, Jesus Christ did it for us on the Cross
This people have really suffered ...May God see them through ..
Amen amen
No weapon formed against jayden shall prosper in Jesus name
Amen
Linda trust in God mtoto atakuwa sawa, mungu mwenye alimtoa kwa wachawi hawezi muacha afike hapo afe, Jayden ataishi kumtumikia mungu na pia kukomboa wote wenye wako kwenye illuminati in Jesus name, Jay stay strong msiwai bishana na mungu na ni lazima hiyo dhabiu tuchange ndio itenganishe Jayden na maroho ya illuminati hiyo ni a must mungu aweze kutenda hiyo pesa ipatikane tuwaibishe wachawi wote kuwa mungu ni mwenye nguvu kushinda yeyote 💪🙏🙏
Jay mobilize people to contribute the remaining 210k
Jay unaonekana hauna tena Imani kwa Mungu, sikiliza neno la Mungu, ambia watu wachange pesa, itolewe sandaka kwa Mungu, roho wa Mungu akisema kitu nivile tu mtoto atapona
Malaika Michael chuka na upanga wa moto kutoka binguni in the name of Jesus Christ forever AMEN .
Amen 🙏🙏
Mama deric wacha mambo mingi cool down you discuss how you will rise the money
Peleke huyu mtoto kwa ezekiel we mamaa it hurts 😢😢
Wooi jay mungu akusamehe juu huelewi na mambo ya mungu wewe unalalamika sana jay ukona shida .
Jay sikizaaa jamaniii. Pesa Mungu ataleta...nyamaza jay
I wonder why they are soo negative hio mambishano inaleta kukoza heshima@zipporahmburu1452
Jay,,mama Derick please ,naomba mue,, strong through prayer msikubali mubabahishwe n shetani ndiyo msifike Kwa pastor,
Mama Derrick be linient and speak positive to this people . Be a blessing . Mungu hawezi kuitisha kila huna ..
Very true ata amepeana example na Lazarus. Yesu hakuitisha pesa 😢
We spoke the blood of Jesus Christ of Nazareth to healing this baby
Amen
Jay anaamini joshua na waganga kuliko Mungu na Nancy
Ati kwa mungu ni expensive kuiiko kwa nani😢😢
@@SusanWairimu-j5o Hayo maneno yaliumiza moyo wangu sana 😭
Mama derrick u r very correct 💯,the problem with this guys they don't follow simple instructions as the angel told them 😢.
I really loved this mama may God be with her on her always
I cover Jayden with the blood of Jesus christ and no weapon forged against him will prosper 🙏. Let the deliverance be done asap hizo doo tutatoa. Jay please acha kubishana na pia wewe lazima ufanyiwe deliverance since uguzwe mdomo na yule possessed docki umekua too much. We just want the baby to be okay we are already traumatized 😔
We serve a living God, may he restore baby Jayden's health. Amen
Lida stop being stupid una bisha sana tena uko na ujeuli pamoja na ujinga wa kulia ya kiluya ,, lida wacha kulia kabisa
Lord we can't call your name and we end up in vainl we know you will do it, please heal this baby.
Mum you are right ❤
Jesus Jesus Jesus Christ forever AMEN
I believe in God guys let's gather here kwa Imani please ❤
Hey tulieni mungu afanye kazi yake na musikize pastor kenye anasema ni roho wa mungu ananena juu yake
Oh lord heal our son Jayden for the sake of your glory do not let anybody else to share glory with you I pray 😢
Poleni wapendwa.
Shetani huchanganyisha watu but hana mamulaka kwa maisha yenu na maisha ya mtoto Jayden.
Be strong in the name of the Lord.
Jay and Linda pls ongeleshia mama Derrick na heshima
Hawajui roho wa mungu akikasirika,, hawawezi kumwona mama derrick tena,, wajifunze vile wanamwongelesha
There is something people are ignoring in this case:"FAITH".Faith is the main factor that brings the result of healing. Where does the faith of Linda and Jay lie? Are they believing mama Derrick to please her? Why then go to another pastor? What if the other pastor delivers the child for free? Hio maneno mama Derrick anaongea itakua na effect? Yule daktari nae cos ndie alianza kazi na akawa affected because of Jay how are they going to finish with Jay.? Ndio maana Imani ya mtu hu matter a lot.
Wamechanganyikiwa
Yes
Mungu hapendwi kuchanganywa kabisa na mungu akona wivu
God may you heal this boy kindly🙏🙏🙏
Sasa mkono itaonza aje...bona mnatumia lugha chafu....haitaonza in Jesus name
😂😂😂itaoza juu wamekua watu wa Imani ndongo.yaani hii makubwa yote mungu amewatendea bando awaamini?.akili zao ziko kwa wanganga?.😂😂😂.mungu amerundisha huai wa jeyden then awaamini mungu ni mweza?.wacha ioze ndio waamke😂
Linda is protected by the blood of Jesus Christ ,hutaoza.
Test all spirits
Too much
Acheni kuteta mungu yupo na msiende kujaribu apostle joshua .alafu Jay si mganga alisaindia ni mungu
What is 300k compared to the life of Jayden? Jay wacha mabishano combine your efforts an Dave's tuchange hizo pesa to save huyu mtoto pls.na uwache makasiriko.
Kwanini asiweke till number watu wachange hizo pesa zingekuwa zimetosha
Mama Derick wasamehe sababu hawajui watendalo
Am glad mtoto ako uhai coz mimi niliwacha kwenye aliambiwa ati mtoto amekufa. Guys we fight on this battle coz greater is he that is in us than he that is in the world.
everything will be good in Jesus name amen
All will be well n jesus name 🙏
This baby will heal
All will b well in Jesus name qr jayden
Pastor Joshua sijawahi sikia akiitisha lakini anapewa,Wacha tuamini
Jehovah God is the healer.
Jay,pls tuchangie Linda apate hiyo pesa ya deliverence mtoto...jay weka pay bill,30thousand is only.
3000 thousand
Lakini ata mama derick amekuwa na kishirani,si mi najua deliverance ni bure kwa watumishi ambao wamechaguliwa na mungu,ukiona mahali wanaitisha pesa ni biashara hiyo
300k not 30k bro
Ghai kwani unaishi dunia gani hujai skia kutoa sacrifice ndio something ifanyike tubu😢@@crazykids5779
Pastor, you are such a blessing.
Live long mummy to spread the gospel.
We love and respect you for your patience in this. God bless you abundantly.
Continue standing on the gap
We mum please you know very well,sasa msaidie kuipata hizo pesa
Linda na jay pateni faith in Jesus name faith in Jesus faith in Jesus name Amen
Huyo mama alitoa pesa gani akombolewe. Na kwake alikuwa na majini. Damu ya Yesu itoshe
Hata bado hajakombolewa kutoka kwa master Bwana but ako na Grace. That's the truth.
Hio sauti haikuwa ya roho mtakatifu because linda na mtoto wako innocent na mungu hawezi kubali sadaka ya kuzimu
P
Lakini nimeshanga kama kuombewa inaitaji pesa mingi ivi yesu alishalipa yote musalabani jamani
Imagine jayden ataisha amini mungu na atamponya in jesus name...
Jay pliz sacrifice huvunjwa na sacrifice, God have mercy
Mwambie tena
But sii sacrifice ya pesa. Ni damu ya Yesu iliotolewa dhabihu.
Jay wacheni kubishana na Roho wa Mungu kwamaana huna imani wewe ngojea Mungu atende maajabu na uingie live tuchange 100,200,50 bob na zitatosha
Wote wamerushiwa maroho chafu za kuwachanganya😢😢😢,,hata mama Derrick ile sauti si ya roho wa Mungu,,they are all porsessed,,
Sure hio pesa ni mingi hadi inakaa roho mtaka vitu
@ wale majini tu ndio wanawatawala na ndio sababu saa hii mama Derrick hataki kuskia wanaeza enda kwa pastor mwingine,,
Si mwachie mama delick mtoto amwombee pia na nyinyi mwamini na mkue na Imani yote yawesekana
Already alikua amezidiwa akaobewa na mama Derik
Jay mabishano yenye uko nayo, mungu atakuadhibu chunga sana plz❤
Maybe anafikiria hio 10% ni mama Derek yuataka kukula that's why wanabishana
@@doreenshii563 shetani ndiyo analeta confusion ili kuleta delay ya uponyaji
@doreenshii563 true
Hawa watu hana amani atakindogo joy na linda kuweni na amina
Mama derick jay na ametupiwa masaitani mbishane mkosane shetani afurahie
Tafadhali jay Wacha kubishana na roho wa mungu pliz sikiza vyenye mum anasema kindly,mko na Imani ndogo sana ,can u cooperate pliz
Let me be silent for now, but that wasn't the Spirit of God who was talking through Mama Derrick, and I only believe on the work that Jesus Christ did on the cross and said it's over and no More sacrifices bcoz he was final. I have confident when saying this bcoz what God thru Jesus Christ has done in my life by even rescuing my life, Weeeeee ....before i was giving a lot of sacrifices, but when I read about Jesus Christ, I said NEVER AGAIN. I only give my Thanksgiving willingly and by helping the needy and Ophan and my life has changed.
👏
Jay,jay, jay nimekuita mara ngapi,wacha kubishana na roho wa mungu mkiwa na lindah wanawambia mtoto hajakufa mnasema mtoto amekufa, God protect baby Jayden
Jey hajui mambo ya Mungu unashindana ha Mtumishi wa Mungu wewe hujui neno la Mungu acha ubishi lazima deni lilipwe
True hata walie damu
Wanaitwa watoto wa kiroho kuelewa kwao ni ngumu.
Sasa Kwa hii situation surely mnaexpect Linda atoe wapi hiyo huge amount...saa hii Hana uwezo 😢😢😢ata mungu ataelwa...we are giving this gal pressure aki...I think she needs tym to heal
Jay and Linda have faith Jayden will be fine we are serving the living God 🙏🙏 lazima mtoe hyo 10% ndio mtoi akuwe poa wacheni kubishana mnapea pastor Nancy hard time
Yea wanalalamika sana hata wakienda kwa poster Ezekiel wataambiwa watoe dhabihu ya kutenganisha na hao mambo ya mashetani
Wieh! This is altar verses altar.only sporitual people can understand this.people should start watching Erica of life is spiritual programs.pastor nancy you are very right.
Akh Jay.trust in God achana na mganga Bana .we want to keep the baby Jayne.pastor Nancy be strong sit with them and encourage them
Damu ya yesu tawala tawala 😮😮😮 ile. Najua maombi na damu ya yesu inatosha imani ya yesu iwatosha. Nyinyi nyote mko prosses kuchanganikiwa jay be strong
Please Mom wachana na Jay apeleke gari juu amechaganyikiwa sana juu ya mtoto
Chenye kilipatikana through maombi kinafaa kulindwa na maombi.... because baby jeyden alipatikana through maombi ...hakupatikana kwa madactari....
Am glad to see Jayden blinking haki.
Thank you Lord.
Heal Jayden in Jesus mighty name.
All shall be fine in Jesus name amen 🙏🙏,tunawaombea hata muache kubishana,Jay and Linda muamini mama yenu kabisa,God will answer your prayers
What I know is that we serve the living God sina hofu na sibabaiki jayden alishashinda mauti 2 times ya tatu he will never die in Jesus name shetani ameshindwa lakini bado hataki kukubali receive the healing baby jayden katika jina la yesu we are still here praying for you
The blessings of the Lord bring No sorrow.!
In psalms 11:4 -7 inasema ivi The lord is in his holly temple, the Lord's throne is in heaven:His eyes behold, eyelids test the son of men. The LORD test the righteousness, but the wicked and the ones who loves violence his soul hates.
6 Upon the wicked He will rain coals: fire and brimstone and a burning wind: shall be portion of their cup.
7 for the LORD is righteousness; his countenance be holds the upright. Naamini jayde atasimama and he will live to testify the goodness of the Lord in him
God have mercy Mponye mtoto Jayden Kwa maana wewe ndio unaweza yote ametoka mbali kamupunguzie huu uchungu nakuomba nikiamini yakwamba utamponya
Kama alirudi Sha uwahi ya mtoto nini itamshida kitu mzito alisha thibitisha mbele ya Kila mtu kwani nn ngumu kwake, kumbuka ayubu alivyo toka na vindonda Kila mahali, kwa Kila jambo mungu uweka njia pasipo na Jia 🙏
Jay vile pastor anasema ni ukweli..hakuna otherwise
Aki jay that's Mami say is real true ,,,,fanyeni hivo
Huyo mama mbona kama anabadilika sahii 😢😢😢😢
Mungungu sibinadamu atatimiza ahadiyake tuwenaimani
Jay ni mpishi sana
We should not blame these guys they have passed alot,we need to pray for them.
Lord protect thy servants from evil 😈 spirit divine intervention king of kings we pray no weapon shall prosper unto thy servants lord of heaven mama Derrick divine wisdom wisdom and grace to deliver every person in Kenya 🇰🇪 may we believe in thee lord thru mama Derrick.
Ingia live tuchangie baby jayden😢😢😢
Aki mungu saidia hyu mtoto na mamake
Jay Wacha mambo ya kujibishana, weka pay bill tuchangie 😢😢😢😢
Mungu aliambia shetani go n try job na usinguze roho yake, the same situation to linda kauka na Mungu wako usimkane shetani atafanya kila kitu bt hawezi nguza roho ya huyo mtoi 🙌🙏🙏shikiria imani yako kabisa God will pay u double blessing
Jay the moment mtatoa hiyo 300k things will change immediately
Mungu kumbuka baby Jayden
Jay pin paybill Jayden lazima ataishi to see the glory of God
Mungu jionyeshe Sasa huu uchungu umezidi aki mungu naomba tenda na unene neno moja juu ya huyu mtoto
Hamuna sikupati Roho wa Bwana akasema uwongo
Linda never give up God is faithful He is going to heal ur son ur son will leave to testify the greatness and glory of Almighty God.
Uuuui NGAI chuka sasa usitumane sasa juu ya huyu mama na Mtoto orr my GOD .
Haruruka NGAI munene
Huyu mtoto anatoa mungu okoa mtoto wako baba
Kazi ya shetani niku vuja kuaribu, lakini ameshidwa katika Jina LA yesu 🙏🙏
Jesus Jesus Christ forever AMEN
MUNGU wa apostle maina nganga na TB Joshua , na idahosa na kakade na mimi ingilia kati sasa in the name of Jesus Christ
GOD of justice siukate hii case.wenye hawana thambi ndio wana athibiwa .mwenye alipokea pesa saa hii anajigamba na pesa tena yeye ndie alifanya magano na mashetani.aki niko confused na hii case.mungu interven.
Jay your right no sacrifice needed Hiyo sio roho wa Mungu alinena it’s devil voice
Msikumbali shetani awaletee kutoelewana jay,keep praying and you will win