🔴

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024
  • 🔴#live SIMBA WANAJAMBO LAO MUDA HUU/ WAJUMBE WA BODI UPANDE WA WANACHAMA WAGOMA KUJIUZULU
    #live #simbatv #singidafountaingate #yangatv #yangasc #diamond #kondegang #wcb #wasafimedia.#singidafountaingate #yangatv #yangatv #simbatv #singidafountaingate #diamond #simbasc #kondegang #kingmusicofficial #wcb #yangatv #yangasc #simbasc #kondegang #wcb #simbatv #singidafountaingate #live #yangasc #diamond #kondegang #kingmusicofficial

ความคิดเห็น • 307

  • @UlimeA
    @UlimeA 3 หลายเดือนก่อน +6

    Dah ili kuelewa hiki kinachoendelea unapaswa kuweka pemben hisia/mihemko na kutumia maarifa.

  • @harithmsiu8980
    @harithmsiu8980 3 หลายเดือนก่อน +13

    Ukimuangalia huyo mzee anavyo ongea facial expressions yake inakuambia hali halisi ilivyo ndani ya Simbasc, sema mimi napata furaha sana nikiwaona makolo wanateseka😂😂

    • @ChandeMuinde-zs6rj
      @ChandeMuinde-zs6rj 3 หลายเดือนก่อน

      Una akiri utopolo

    • @HenedAidha
      @HenedAidha 3 หลายเดือนก่อน +1

      Utopolo mtateseka sana kila cku c ijumaa SIMBA NGUVU MOJA

    • @fj8317
      @fj8317 3 หลายเดือนก่อน +1

      Sasa unafanya Nini huku ndo shida kuwa na tabia za kike

    • @kamandamlimaog3430
      @kamandamlimaog3430 3 หลายเดือนก่อน

      Ilii jamaaa zuUu

  • @NeemaAkyoo-s4s
    @NeemaAkyoo-s4s 3 หลายเดือนก่อน +5

    Iv mlikubalije kuunda body ya wakurugenzi wakati transformation haijakamilika kama syo nyiny wenyewe mnayasababisha haya matatizo maan mpka sasa Mo syo mwekezaji ni mfadhili tu kwahyo hata haspotoa hela hamna wa kumdai utamdaije wakati hujamtimizia matakwa yake??

  • @kassimmushi4598
    @kassimmushi4598 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika nyie ni viongozi bora xana nacc wanachama na maxhabiki wote tumewaamini na tunawapenda pia tunawaomba muendelee kuiongoza simba ye2 na uongozi mkuu ubakie madarakani hao waliojiuzulu kutaneninao waambieni bado tuna imani nao warejee kwny nafac zao kuijenga simba mpy ya mcmu ujao. Simba nguvu1

  • @kakorejrboyz6447
    @kakorejrboyz6447 3 หลายเดือนก่อน +5

    HAPO SIMBA MPAKA SASA IMEKWISHAAA KABISA NA MSIMU UJAO NDIO ITAKUWA PAKAAA KABISA

  • @hodaneymujib6621
    @hodaneymujib6621 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kama mo ana asilimia 49 kwnn mtu wake ndo awe kiongozi wa bodi? Simba yenye asilimia 51 ndo wawe kiongozi wa bodi

    • @agustinokimaro1483
      @agustinokimaro1483 3 หลายเดือนก่อน

      Izo 59%imetoa kiasi Gani au ni 59 jina

  • @fatumasaid558
    @fatumasaid558 3 หลายเดือนก่อน +7

    Hamuwezi kuendesha simba msijilazimishe tunahitaji uwonqozi mpya

    • @AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm
      @AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm 3 หลายเดือนก่อน +1

      Hata wakija wapya ni kazi bure tajiri muhuni huyu

    • @ursulinenyandindi3051
      @ursulinenyandindi3051 3 หลายเดือนก่อน

      Hiyo haitasaidia

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kama hamsajili vzr mtafukuza na kufukuzana ovyo 🤣🤣 ..... Matokeo mazuri huleta watu pamoja ....

  • @ericmutegoa6451
    @ericmutegoa6451 3 หลายเดือนก่อน +2

    CPA. Issa Masoud ana hoja, tatizo hakuna wa kumuelewa. Mbumbumbu kibao.

    • @kaijagefrank3892
      @kaijagefrank3892 3 หลายเดือนก่อน

      Huna akili! Anaongea baada ya mambo kwenda kombo! Siku zote halikuwa wapi?

  • @chrizostomchristian1884
    @chrizostomchristian1884 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa wote ni wez wanaibia simba ndio maana wanagoma kujiudhuru na wakati hawana lolote wanalo fanya

  • @rajabukidendasaid7159
    @rajabukidendasaid7159 3 หลายเดือนก่อน +3

    ukiwasikiliza kwa umakini ,,simba kuna changamoto na huu mfumo,,cpa masoud anazungumza vitu vizury vyenye logic sana

    • @angellomarcel5677
      @angellomarcel5677 3 หลายเดือนก่อน

      MASUDI ana jambo anataka kulisema lkn anauma uma Maneno na kama mo hapaswi kutoa pesa nje ya Document hizo anazo zitoa mnazipokea za nini..? Na mnazipeleka wapi..? Je siku akizitaka zirudi mtamlipa nini..?kama vipi Muondoke..mmekwama

    • @Mkubwa_jr
      @Mkubwa_jr 3 หลายเดือนก่อน

      Alikuwa wapi muda wote huo aje ajitokeze leo baada ya kusikia kuna kamati ya usajili imeundwa na wao watakosa 10% ndo wanajitokeza

  • @ABSOLOMMWAKYUSA-px6db
    @ABSOLOMMWAKYUSA-px6db 3 หลายเดือนก่อน +4

    Inasikitisha sana kuona kiongozi mwenye akili timamu aliyepewa nafasi ya kuongoza taasisi kubwa anasimama mbele ya media na kusema haona sababu ya kujiudhuru hali ya kuwa matokeo yote ya misimu yote wanayo. Duh kazi ipo aisee!

    • @husseinsimbano1466
      @husseinsimbano1466 3 หลายเดือนก่อน

      Hawana lolote, wanatuharibia tu timu

  • @johncosmas8137
    @johncosmas8137 3 หลายเดือนก่อน +3

    Kwa upande wng mm nimewaelewa sana na nimejua shida ipo wap nawaomba pigeni kazi hii simba inapaswa ifanye kazi kwa weledi hatutaki ujaja ujaja

  • @ernestkamata2555
    @ernestkamata2555 3 หลายเดือนก่อน +4

    Hii ni aibu kubwa sana kwa timu kubwa kama simba eti hao ndio viongozi wake!!! Hawajui chochote

    • @angellomarcel5677
      @angellomarcel5677 3 หลายเดือนก่อน

      Viongozi hawana hata Hoja ...sijui tulitumwa na nini kuwaweka duh

  • @kamandamlimaog3430
    @kamandamlimaog3430 3 หลายเดือนก่อน +1

    Taratibu zabkiuongozi ulipaswaa kuelezeaa mafankio yako ndani ya miaka hiii ulofanya kazii ....useme ahadii uloahidi na umezitekelezajee na kama uloahdiii zmefelii maana yake ufaii
    Umeshindwaa tekelezaa ulichoahidi

  • @gerowadamwandika669
    @gerowadamwandika669 3 หลายเดือนก่อน +3

    Tokeni nyiye , hamtoshi kuongoza Simba. Leo Simba ya kucheza Shirikisho kweli? Badala ya kusonga mbele mnaturudisha nyuma. TOKENI

    • @kelvinfussi5210
      @kelvinfussi5210 3 หลายเดือนก่อน

      Mpaka hapo hujaelewa changamoto zilizokupeleka shirikisho?

  • @MwakiMichael
    @MwakiMichael 3 หลายเดือนก่อน +5

    Kunanini jaman leoooo

  • @MusaDadi-pd3jd
    @MusaDadi-pd3jd 3 หลายเดือนก่อน +3

    Hatuwataki hatuwataki kwa nn mnaing'ang'ania simba kama yanu nyinyi mumetufelisha kila kitu

  • @magrethikwabe9811
    @magrethikwabe9811 3 หลายเดือนก่อน +4

    Tokeniiiii mapepo nyieeee tokeniiiii😢😢😢😢😢

  • @abdalaseleman921
    @abdalaseleman921 3 หลายเดือนก่อน

    Nadhani jambo kubwa lilikuwa kuitisha mkutano mkuu wa wanachama sio press conference. Pia hamjazungumzia usajili wa wanachama upya.

  • @ibadimohamedi9756
    @ibadimohamedi9756 3 หลายเดือนก่อน

    Ukiwasikiliza vizuri unajua wengi wao hawako kwa ajili ya kisaidia simba.ila wapi kolinda maslahi Yao. Sawa Mo anataka FEDHA zake alizotoa nje udhamini kupitia bidhaa zake .je kwa upande wao wanataka waziitaje kama sio mtaji?!.
    Je wao wangekopa sehemu/kwa mtu mwingine wasingelipa?
    Je hawakuwajibika wapi hadi FEDHA hizo za mo club ikazitumia?

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 3 หลายเดือนก่อน

    Issa MASUDI
    Pesa ambazo uliwahi kunukuliwa ukisema Mo ameshatoa Pesa vipi leo useme hajawahi kuweka..? Shame on you

  • @francismboro8766
    @francismboro8766 3 หลายเดือนก่อน

    Tunaomba mjiuzulu kwanza mmeshakosa sifa, kwanza haya mambo alipaswa Kuja kuzungumza Mwenyekiti

  • @daltonmunguatosha1197
    @daltonmunguatosha1197 3 หลายเดือนก่อน

    Hiyo bodi yenu pande zote mbili hamna mnaloweza kufanya. Unaoneka una njaa sana. Kama ni kweli hamjajiuluzu mpaka Sasa mfanye hivyo. Viatu vimewapwaya. Na hajui mnataka Nini! Kuiua Simba au? Qacheni ujinga hakuna taharuki ni raha sana mkiachia ngazi wote. Acheni kutafuta kamuavuli ni kadogo.

  • @CharlesLutandula-y3c
    @CharlesLutandula-y3c 3 หลายเดือนก่อน

    Wekwendazako tuachieni simbayetu nyieyanga inachangia tuacheninatimuyetu nahii imetokana timuyetu kujitoa sports pesa iliwaumasana

  • @enockmtelekesya4751
    @enockmtelekesya4751 3 หลายเดือนก่อน

    Kweli GSM ameamua kuongoza Yanga na Simba Hawa wanaoongea ni viongozi waliowekwa na GSM Ili kuizohofisha Simba.

  • @jobcharlz2275
    @jobcharlz2275 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu mwenyekiti wa ukaguzi wa Fedha ni mjanja mjanja sana.....
    Kama wao ndo wanaongoza Timu halafu wanashangaa eti mjumbe wa kuunganisha wanachama hayupo? Naona hajielewi? Nani anapaswa kujua hilo?? Maoni yangu muondoke wote.. kele zenu hazina maana.. kajamaa kanasoma English kanajua wengine hatuelewi tuone anajua sana... Muondoke wote mchwa nyie.. Haiwezekani timu muishushe daraja

  • @imanuelmrema3298
    @imanuelmrema3298 3 หลายเดือนก่อน

    Mbona huwa mnafukuza makocha kila siku mnaona ugumu gani kujiudhulu. Mnatakiwa kujiudhulu hata ikibidi kila mnapovurunda hata ikibidi kila mwezi. Ondokeni hapo

  • @mwambietv7614
    @mwambietv7614 3 หลายเดือนก่อน

    mnapaswa kujihudhuru nyie mmefeli kuingoza club

  • @MrKhatibu
    @MrKhatibu 3 หลายเดือนก่อน

    Unapogeuza club iliopo kwenye mfumo wa kisiasa kuwa ya business ni shida kweli kweli. Tatizo kubwa nilioiona ni conflict of interests ndani hii club

  • @silvanuskisinza4303
    @silvanuskisinza4303 3 หลายเดือนก่อน

    Nyie ni wapumbavu wachache wenye tamaa. Muda wote timu inafanya vibaya milikuwa wapi kuzungumza. Nyie ni kundi la wahuni tu. Kujiuzulu ni lazima, simba sio mali yenu. Wahuni na makofia yenu.

  • @JamalDaudlulyeho
    @JamalDaudlulyeho 3 หลายเดือนก่อน

    Et hamjaona sababu za kujiuzuli kwahiyi mpaka team ishuke daraja siyo kumanina zenu nyie wapuuzi nyie uwanjani ntakwenda wenyewe jezi mtazivaa wenyewe Pepo mtaisikia2 nguruwe weusi nyie 😮😮😮😮

  • @andrewmaiga4331
    @andrewmaiga4331 3 หลายเดือนก่อน

    Mlikuwa wapi kwa sajiili zilizokuwa zikiendelea? Lakini je, mbona maneno yenu yapuuza mchango wa MO?

  • @bedomgwalupogo2652
    @bedomgwalupogo2652 3 หลายเดือนก่อน

    Ukiona viongozi wanakimbilia kwenye vyombo vya habari ujue kuwa hao viongozi wamejaa unafiki na Ubinafsi, pamoja na hayo .... wote hao ni Hatari mnooo

  • @SimonSamson-f4d
    @SimonSamson-f4d 3 หลายเดือนก่อน

    Yani nyie mchanga kweli wakati Wa kujipanga kubolesha timu kysajili nyie mnaanza migogolo tengenezenu timu acheni ujinga

  • @Jeremiamussa1986
    @Jeremiamussa1986 3 หลายเดือนก่อน

    Mlikuwa wapi,nyie ni wanafki,kuambiwa kujiuzuru,mpo hapo kufanya nini,pesa hamna,mtaisaidiaje klabu,

  • @onesphorymgedzi995
    @onesphorymgedzi995 3 หลายเดือนก่อน

    Waliosema mtachapwa ninani hao wajinga kabisa nyinyi mmechemsha ondokeni yani hapo nilidhani mnatangaza kujiuzuru

  • @josephatilunde9329
    @josephatilunde9329 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa mwenendo huu wa SIMBA timu itaendelea kushuka hadi nafasi ya tano kwenye ligi

  • @cartersport_1362
    @cartersport_1362 3 หลายเดือนก่อน

    Hyo sio taharuki , sisi tumepokea hzo habari kwa furaha na moyo mkunjufu, mjiuzulu,

  • @jumamangombe6493
    @jumamangombe6493 3 หลายเดือนก่อน

    Hivi watu mna uwezo mdogo wa akili au mnaongozwa na hisia. Hawa wajumbe mliwachagua mwaka jana tu. Wana mwaka mmoja tu ofisini. Na wanasema waliingia na kuanza kupambana kunyoosha mfumo. Nyinyi mmekomaa kuwaambia habari za failures za miaka mitatu. Hata hamsikilizi video yote. Mnakera!

  • @damasmagawa2867
    @damasmagawa2867 3 หลายเดือนก่อน

    Kwanza hawa jamaa wanaongelea kwenye ofisi zipi za Simba? mbona kama chini ya mti karibu na vibanda umiza. Hakuna kitu hapa....

  • @nikky4757
    @nikky4757 3 หลายเดือนก่อน

    Mshaakaa miaka mitatu leo ndiyo mnawaza sera za usajili,leo ndiyo mnashtuka mshatumia 20bil za muwekezaji kama ametoa kiasi hicho ni pesa nyingi si bure na hao wachezaje waliokuwa wanasajiliwa kienyeji mlikuwa wapi hizi zote zinaonyesha capability yenu ipo chini uwezi kusubiri miaka miatatu

  • @immaomarwa5122
    @immaomarwa5122 3 หลายเดือนก่อน

    Jaman hivi kweli nyie niwakusema kuwa hamtajiuzuru kabsa viongozi kabsa imefikirisha hii kauli

  • @avitusmichael5
    @avitusmichael5 3 หลายเดือนก่อน +3

    Msijali wakuu, wanachama tumewaelewa na tupo pa1 shirikisho

  • @shukuruiddi82
    @shukuruiddi82 3 หลายเดือนก่อน

    muondoke wala hatuwahitaji ht msingetoka hamna jipya km hamjawekeza ktk bank zenu mtajua wenyewe, ili msijiuzulu mtuambie faida yenu nini

  • @DullahNyoni-cr2fu
    @DullahNyoni-cr2fu 3 หลายเดือนก่อน +3

    Inabidi mjiudhulu hatuwataki kwahiyo miaka mitatu mfululizo mnaangalia tu panapo vuja mabwege nyinyi

    • @UlimeA
      @UlimeA 3 หลายเดือนก่อน +1

      Wana mwaka mmoja labda baadhi na m/kiti

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 3 หลายเดือนก่อน +1

      Panapovuja kipindi Cha masika ndo hapo hapo kipindi Cha kiangazi zinadndoka vitu vya thaman pesa , dhahabu , almasi .... Sasa unahic wapazibe kweli?? Au masika wavumilie kiangazi wale neema zao .... Jaribu kuvaa viatu vyao 😂😂😂 ingekuwa wewe ungepaziba kweli ?? 😅😅😅😅

  • @kaijagefrank3892
    @kaijagefrank3892 3 หลายเดือนก่อน

    Hivi ilikuwaje wanachama wa Simba wakawachagua watu wa dizaini hii?! Sura zao tu ni wahuni wa mjini! Ukitizama wajumbe wa bodi ya Simba upande wa muekezaji unaona kabisa ni watu muhimu na cooperate kabisa! Hawa ni wachumia tumbo na matapeli!

  • @TinoJohn-cy9xb
    @TinoJohn-cy9xb 3 หลายเดือนก่อน

    Kikao na waandishi wamekiitisha uchochoroni na meza za coke cola😂😂Alafu wanaiwakilisha taasisi.

  • @WilliamNjoe
    @WilliamNjoe 3 หลายเดือนก่อน

    Ondokeni bhn nyiee wapiga dili tu pelekeni njaazenu.huko kwani hamujui kufanya kazi nyingine

  • @JosephKusulya
    @JosephKusulya 3 หลายเดือนก่อน

    Acheni ushamba mafala nyie mumetutesa sana kuma nyie Sisi tumepoteza wazazi wetu kisa nyinyi jezi muta vaa wenyewe mafala nyie

  • @samelychesham3309
    @samelychesham3309 3 หลายเดือนก่อน +3

    Wapigaji haoooo watokeeeee

  • @shukuruiddi82
    @shukuruiddi82 3 หลายเดือนก่อน

    nyinyi mtaboresha nini yaani nyinyi nje na kuivunja timu hamna mnachofanya,
    muwekezaji hana muda na nyinyi yaani hadi itokee kiukweli mkiwepo mwakan tutaendelea kuumia,

  • @JumaMatiko-oe3vi
    @JumaMatiko-oe3vi 3 หลายเดือนก่อน

    Hamna maana yeyote hamfai kabisa sijui happy wanaowapendekeza kukaa Hadi sasa hamna chochote kwani simba yenu leo ndiyo mmejitokeza hasa mnaonyesha sura zenu aaaa jamani hebu muone haya .hatujata kufundishwa kanuni Leo wote tokeni

  • @fuad_fx_
    @fuad_fx_ 3 หลายเดือนก่อน

    Yaani nyie hamtakiwi kuwepo hapo tokeni mapema maana mmesubilia timu kufikia pabaya ndo mmnakuja kuleta huo ujinga hapa? Mmesubilia watu waanze kelel ndo mnatoka mbele
    Tokeni bwana nyote pisheni muda wa kusema hayo umeisha kwisha sasa

  • @lazamennyatega7848
    @lazamennyatega7848 3 หลายเดือนก่อน +5

    Mnapaswa mjiuzulu

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 3 หลายเดือนก่อน +1

      Usivae viatu vyao ....... Acha wachape kazi, kwanini wajiuzulu ? Hawa ni watu waungwana Sana walikuwa wanajitahid Sana kupigania maslahi ya Simba Bila kuleta taharukii ndani ya club .... Mambo mengine ni mivutano ya kiutendaji baina ya upande wa mwekezaji na upande wa wanachama kwa kuleta balance of interest kwa Kila upande ufaidike na sio conflict of interest ambapo upande mmoja unajivutia kwake ..... Ndo maana walikuwa wapo kimya ila upande mwengine 😂🤣 ukaona uweke mambo naked watu wa NJe wajue kilichopo ndani

  • @ignasmlonge8384
    @ignasmlonge8384 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kama huyo ameivaa t shirt ina picha ya mama hata hatumuelewi kibaha kunavyovunjwa wewe anaona sawa halafu baadae anaenda kuwaomba kula wakati watu wamekufa na presha simba haina hela si mseme ukweli tu

  • @husseinsimbano1466
    @husseinsimbano1466 3 หลายเดือนก่อน

    Hawa wanataka kutuharibia zaidi timu, timu lazime iwe na malengo na kama malengo hajafikiwa kwa mwaka wa tatu mfululizo kwa nini wasiachie wenye uwezo?

  • @kamandamlimaog3430
    @kamandamlimaog3430 3 หลายเดือนก่อน

    Huna lolotee wewe jingaa tuu miaka mitatu ujafanya jambo lolotee kilaa mwaka polojoo ...
    Unefeliii kaaa kimyaaa

  • @KosovoNaiiem
    @KosovoNaiiem 3 หลายเดือนก่อน

    Walikuwa wapi miaka yote wasitufanye wajinga hao waondoke tu wasituongope

  • @PeterIdd-d3c
    @PeterIdd-d3c 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hivi kweli nyie mnatusajilia kina jobe afu bado unaongea kana kwamba hujui chochote mnakera sanasana

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 3 หลายเดือนก่อน

    Kwann iwe Leo ndomnayaongea hayo wakati Simba miaka mitati inafanya vibaya mlikuwa wapi hapo msitudanganye

  • @BahatiMalima
    @BahatiMalima 3 หลายเดือนก่อน

    Kwa kweli inabidi Simba Sc tukae chini, hii hai itatuua 😅😅 kumbe shida ipo kubwa tu, tajirii MO bhana 😂😂

  • @CharlesLutandula-y3c
    @CharlesLutandula-y3c 3 หลายเดือนก่อน

    Nawaombea sana Mungu wasimamie sana kuiongoza simbayetu simbanguvu moja

  • @raymonmwanchese4087
    @raymonmwanchese4087 3 หลายเดือนก่อน

    Mbona mnalazimisha kua viongoz wasimba sisi hatuwataki mbona vinganganizi mnanufaika na nini wakati mnaipeleka simba pabaya sisi hatuwataki achieni timu tu msiwe namamba mengi

  • @abdulyiddy358
    @abdulyiddy358 3 หลายเดือนก่อน

    Kwa hiyo kama mo katoa pesa zake kabla ya mchakato wa mabadiliko kukamilika ni kama ametoa sadaka hivi yaani kama mfadhili tu 😂😂 kiufupi mhindi imekula kwake😂😂mtumeee

  • @leonardfungo
    @leonardfungo 3 หลายเดือนก่อน

    Sisi hatutaki blaa blaa tunataka usajili bora sio Mambo katibakatiba kama fedha hakuna tuambieni mashabiki tuchangie hatutaki manenomaneno au siasa hatutaki.

  • @shukranionesphoro7744
    @shukranionesphoro7744 3 หลายเดือนก่อน

    Mm naona Hawa ni mafara tu, maana hatukatai changamoto mbona mlikuwa hamsemi et mnazitatua kidemokrasia hafu timu inapoteza hadhi

  • @KaroliMushi
    @KaroliMushi 3 หลายเดือนก่อน

    Kama wewe unaeongea hapo unaonekana ni tapeli tuu sijui ulujiingizaje hapo simba

  • @Othuman-y4w
    @Othuman-y4w 3 หลายเดือนก่อน

    Kwann msiondoke mnasubili nn nikajua mnakuja kutuambia shida ya simba ni nn hivi mkijiangalia mnaona mnatosha kweli hatutaki kuwaona ondokeni sio kweli acheni uwongo mbona hatujawaona mkiongea na wanachama ondokeni

  • @BahatNyoni
    @BahatNyoni 3 หลายเดือนก่อน

    Jamn ss mbona wanaitangza Coca-Cola bila kujua hizo meza....makolo bana

  • @hamadiomari9257
    @hamadiomari9257 3 หลายเดือนก่อน

    Hawa ndio wachawi wa maendeleo ya simba wala rushwa wakubwa mbwa hawa kama wanaipenda simba kweli na hawajafanikiwa misimu 3 kwanini wakatae kujiuzulu ?😢

  • @magrethikwabe9811
    @magrethikwabe9811 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wapuz wakubwa nyie tuachie team yetu,hiv mnapata wap ujasir wa kukaa hapo et hamjiuzulu,leo hii simba ya kukaa nafas ya 3 afu bila aibu et mnaendelea na shugul zenu shugul zipi??nyie n matapel ondokeniiiii kwan lazima jamaniiiii,leo cadena amesema ukwel mlivyomlazmisha manula kucheza,mnauza game mbwa nyie tokeniiiiiii tokeniiiii😢😢😢😢😢

    • @mdika3811
      @mdika3811 3 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅

    • @leoncearistides3448
      @leoncearistides3448 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 acha makasriko sikiliza hoja

    • @magrethikwabe9811
      @magrethikwabe9811 3 หลายเดือนก่อน

      @@leoncearistides3448 hoja gan ulioisikia hapo

  • @lusekelonelson7256
    @lusekelonelson7256 3 หลายเดือนก่อน

    Mnatuma maombi nyie ndo Bodi mnatuma maombi kwa muwekezaji wenu ni wazi MO kawasusa.

  • @graysonmkola8674
    @graysonmkola8674 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mnafanyia kazi miaka mitatu, mbona nakuona kama.mwelewa sana lkn mbona huendani na unachokiongea??? Ona aibu bc

  • @shyneafya2468
    @shyneafya2468 3 หลายเดือนก่อน

    Tunataka viongozi wapya nyie mmeshindwa

  • @samsonsengi7574
    @samsonsengi7574 3 หลายเดือนก่อน

    Tokenism mnang'ang'ania nin? Halafu umevaa t shirt ya simba au ya samia?

  • @ArnoldJoely
    @ArnoldJoely 3 หลายเดือนก่อน

    Kilichobaki nikuwa roga mpka wafee awahi atuwataki Kwa Nin mnangangania team

  • @harunaadam8973
    @harunaadam8973 3 หลายเดือนก่อน

    Misimu 3 team haifanyi vizuri sasa nyinyi mlikuwa wapi hamkutafuta mzamini

  • @Oscarmarwa-fitnesstrainer
    @Oscarmarwa-fitnesstrainer 3 หลายเดือนก่อน +1

    SASA NYINYI MNAFAIDA GANI ONDOKENE ACHENI KUNG'ANG'ANIA KAMA KUPE

  • @godlovekimaro2689
    @godlovekimaro2689 3 หลายเดือนก่อน +1

    ITUNZENI HII CLIP WADAU WA SIMBA SC.

  • @comsmkemwa2671
    @comsmkemwa2671 3 หลายเดือนก่อน

    Kesho watatokea wengene watasema hawa hawawatambui, wala kanuni zao, ni batili

  • @saidmansoor8528
    @saidmansoor8528 3 หลายเดือนก่อน

    Isije ikawa jobe kasajiliwa Kwa billion 4 aaaahh Mzizi wa fitna MUD

  • @leonardfungo
    @leonardfungo 3 หลายเดือนก่อน

    Sasa tuambieni fedha ya usajili ipo au hakuna tunataka jibu moja sio blaa blaaa kifupi.

  • @frankraphael7546
    @frankraphael7546 3 หลายเดือนก่อน

    Sasa mnajikosha amjajiuzulu je nyie mnatosha kweli

  • @YussufHaroun-gw8eg
    @YussufHaroun-gw8eg 3 หลายเดือนก่อน

    Ukitizama maringira ya icho kikao ni uhuni tu timu Kama simba haiwezi andaa katika mazingira kama ayo

  • @edwardmbonika5102
    @edwardmbonika5102 3 หลายเดือนก่อน

    Mnachokitafuta mtakipata ivii mnatuona wanasimba ni wajinga

  • @195941233
    @195941233 3 หลายเดือนก่อน

    Hamjafanya kitu; hamna sifa ya kuendelea kuongoza

  • @KaroliMushi
    @KaroliMushi 3 หลายเดือนก่อน

    Kiufupi kunaulazima ghani nyie kubaki hapo ondokeni

  • @zainabusamuel
    @zainabusamuel 3 หลายเดือนก่อน

    kwani simtoke mashabiki sisi atuwataki kabisa yani tena muondoke

  • @damasgabriel6249
    @damasgabriel6249 3 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba kujua kwanini hamkujitokeza kuwaeleza wanachama na mashabiki pale timu ilipokuwa ikiwa na mwenendo mbaya. Pili kwa mini mkutane na matawi Leo wakati inasemekana mwenyekiti wenu hajawahi kutembelea matawi

  • @JimmyRwambo
    @JimmyRwambo 3 หลายเดือนก่อน

    Wjinga nyie hamna hata aibu hakuna hata anayewataka mbwa nyie

  • @nsubibukuku8525
    @nsubibukuku8525 3 หลายเดือนก่อน

    Miaka mitatu uongizini wamekua watatu ikiisha mitano mtakua watano

  • @LiumaLalikila
    @LiumaLalikila 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mlipuuza mzee kilomoni lakn mkamwambia hajasoma mara njaa inamsumbua je leo 😅😅😅😅😅kilomoni oyeee

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 3 หลายเดือนก่อน +1

      Sio kilomon pekee yke waliona yule ni mzee wa zaman hajui kitu ... Old school 😂😂😂😂 , Dk khamis Kingwangala alipotoa tahadhari kwa facts kabisa , hoja ngumu ngumu , ma point makubwa makubwa mifano ya wazi 😂😂😂 wakamuona ni adui mkubwa wa maendeleo ya club ...yakatolewa majibu mepesi juu yake kuwa amekataliwa kukopeshwa pikipiki ndo maana anasema hiv na vile 😂😂😂😂😂
      Mkawa mnamshanglia manzokiii 😂😂😂

  • @medankiface9532
    @medankiface9532 3 หลายเดือนก่อน

    Yaan hapo wote wajiuzulu abaki Issa Masoud tu

  • @ismailmuhamed698
    @ismailmuhamed698 3 หลายเดือนก่อน +3

    NYIE NI WATENDAJI WAZURI ILA SI MBAYA MKITUPISHA

  • @jamesraphael9581
    @jamesraphael9581 3 หลายเดือนก่อน

    Nina hasira na hawa nguruwe ondekeni achen temu yetu

  • @PhilkevinFelix
    @PhilkevinFelix 3 หลายเดือนก่อน

    Huyo wacha panyeshe nae hana lolote. Aondoke.

  • @DevothaLighton-dl6zi
    @DevothaLighton-dl6zi 3 หลายเดือนก่อน

    Mwenye uwezo Tena,si mmesema hamjiuzuru mna hela

  • @MusaJuma-jr7wb
    @MusaJuma-jr7wb 3 หลายเดือนก่อน +2

    Majizi haya ondokeni

  • @kanyamageorge7015
    @kanyamageorge7015 3 หลายเดือนก่อน +1

    Washabiki Tunataka upatikanaji wa KADI ili tuweze wanachama wenye KADI.

  • @DevothaLighton-dl6zi
    @DevothaLighton-dl6zi 3 หลายเดือนก่อน

    Mna hela ninyi?mukezaji anawataka muondoke