"ATAKE ASITAKE TUTAENDA KUMCHUKULIA FOMU", MBOWE APEWA KARIPIO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 41

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf วันที่ผ่านมา +2

    Tupo pamoja na Mwenyekiti Mhe Mbowe mitano tena People Power kunja ngumi makamanda wenzangu 💪🏻❤💪🏻❤💪🏻🇹🇿❤🇹🇿❤🇹🇿 .

  • @fidelismwakanyamale6787
    @fidelismwakanyamale6787 วันที่ผ่านมา +3

    Mbowe hawa wenyeviti wanatumika vibaya na ushauri wao siyo mzuri. Ng'atuka baba historia umeiandika vizuri sana

  • @StevenKanyasa
    @StevenKanyasa 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nakubali sana kaka Willey uko vizur

  • @SaidJuma-gs9ej
    @SaidJuma-gs9ej 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kuweni kama act wazalendo Zito kakianzisha na kawachia wenzake hongereni act

  • @mpeligwamoyo4254
    @mpeligwamoyo4254 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Kwangu Mimi ndio itakuwa mwisho wa kudai katiba mpya,acha iendelee kumbe hata wapinzani ni kotapini ya baiskeli

    • @solomtz7049
      @solomtz7049 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @HaroldTarimo-g6f
    @HaroldTarimo-g6f 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Nyie ndio mnamshauri vibaya Mbowe acheni uchawa
    Mwacheni apumnzike vinginevyo
    Chadema kwisha

  • @ErastoMaridadi
    @ErastoMaridadi วันที่ผ่านมา +3

    Cdm tuache uchawa kama ccm mtakiua chama hiki,ccm wana dola wanaishi kwa hilo cdm ni watu wakiwapuuza mtakuwa kama vyama vilivyokufa

  • @SephaniaMsigwa
    @SephaniaMsigwa วันที่ผ่านมา +1

    Unaonaje na samia aendelee na urais mpaka mwixho wa uhai wake

  • @hemedmwipopo780
    @hemedmwipopo780 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Daah!, wanasiasa kwakweli wanazingua na wanatupotezea mda.

    • @dionismutayoba3542
      @dionismutayoba3542 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kama hutaki kusikiliza acha wengine tuko makini

  • @MageseJoseph-lw2nb
    @MageseJoseph-lw2nb 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    KWANI KIKWETE ATEMBEI ATOKE BHANA

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kwanini mnamsemea ninyi acheni ushabiki wa kikanda

  • @eliakimunyondo1007
    @eliakimunyondo1007 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Njaa mbaya

  • @tumainimwaifunga3884
    @tumainimwaifunga3884 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Cha muhimu Heche agombee,Mbowe wala Lisu wapumzike

  • @ZaitunAbdallah-ol1bb
    @ZaitunAbdallah-ol1bb ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Chawa huyu ndio wale wanaopewa pesa na mama abduli ndio hawa kwenda kwa viongozi wa juu

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbowe akikaaa mwenye kitu jua Uchaguzi ni ule ule na hakuna kitakachobadilika isipokua lissu aingie

  • @elishuaisaya4176
    @elishuaisaya4176 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbowe nmekuwa nikimfatilia Sana kulingana na usimati wa chama act nikiwasikiliza shaapu natoka online mbowe kuwa mwenyekiti ili tuachane na kuwafatilia mbowe utaumiza watu awamu hii watanzania sasa unapelekea kuwafanya kuwa mtaji wako nb kumfikia lisu yakupasa urudi darasani mara kumi kaka stafu wa hiari kaka time line imekuacha

  • @LucianSanga
    @LucianSanga 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hawa Ndio Wanao Gawana Ruzuku ya kila Mwezi Hawatakubali Aindoke wata kosa chakula Njaa Mbaya sana Na kama Mbowe ni Wamilele Basi Tu unge Mkono CCM Itu Ongoze Milele Katiba Ibaki HiHi Isibadilishwa Mbona Ina tufaa sana

  • @schniderlivin
    @schniderlivin 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    WENYEVITI MNA AKILI SANA 🫡 MBOWE ALIKUWA ANAPIGWA MADONGO SANA...JAPO SIO KWAMBA NATAKA MBOWE AENDELEE KUWA MWENYEKITI HILO NALITILIA SHAKA SANA 😅

  • @Petermunema-p1m
    @Petermunema-p1m วันที่ผ่านมา +1

    Nyinyi ndo mnadai katiba mpya wakati hamtaki kuachia madaraka...tukiwapa nchi itakuwaje?

    • @drsamsonkibona371
      @drsamsonkibona371 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      kwa mwendo huo wanaweza kuharibu nchi kwa misimamo hiyo

  • @elishuaisaya4176
    @elishuaisaya4176 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwa mawazo ya mbowe tutakwisha

  • @EMANUELIDANIEL-l6t
    @EMANUELIDANIEL-l6t 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Uchawa

  • @elishuaisaya4176
    @elishuaisaya4176 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Chama kinekwisha niwashauri turud ccm

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mwenyekiti wa watu wote

  • @SaruniKutandawa
    @SaruniKutandawa 6 นาทีที่ผ่านมา

    Muchieni mzee kumpaka mafita kwa mgongo wachupa inatosha uwemshauri wa chama

  • @AlbertoAkonaay
    @AlbertoAkonaay 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mimi binafsi ni mwanachama wa chadema ila mbowe tunataka sasahv iwezwkano wa kuwawezesha wanachama kuona ccm haipo na kupewa alternative ya kudeal na dola

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mchagaa usikibali kuweka kutaka kila wakati awe huyo huyo anapaswa kupumzika apewe nafasi mwingine

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 วันที่ผ่านมา

    Viongozi wengine ni mizigo !! Tatizo wanaiga sana mitindo ya uchawa uchawa kama ilivyo CCM!! Hivi huyu ni wa ukoo wa Malecela ? Hoja siyo umri tunahitaji akili mbadala !! Ndio maana Marekani hawaangalii wapiga kura wa kawaida !! Umuhimu wale wenye Marekani yao (electral votes). Kura 270 tu za waelewa Marekani Rais anaapushwa. Tujitafakari.

  • @alexmilinga
    @alexmilinga 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mboe sisi wanachama wa chadema gatuka uwe mshauri tu

  • @GeorgeJoseph-l3x
    @GeorgeJoseph-l3x วันที่ผ่านมา

    Nyie wazee acheni demokrasia itawale, hapa naanza kupata mashaka na hiki chama

  • @MchungajiNzelani
    @MchungajiNzelani วันที่ผ่านมา

    Mbowe mkumbuke baba wa taifa alipata heshima mpaka anaondoka duniani hata mzee mtei anapata heshima daima hawa wenyeviti achana nao

  • @igulug5450
    @igulug5450 วันที่ผ่านมา

    NIMEAZA KUWA NA MASHAKA NA MWENYEKITI WENU NDO ANAOMBA KUONGOZA NCHI NJE AKIPATA MADARAKA YA KUACHIA NCHI NDO ATAICHIA KWELI

  • @DeusdeditMichael
    @DeusdeditMichael 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    WAACHWE WAGOMBEE WOTE, HIYO NDIYO DEMOKRASIA.
    MBOWE ACHUKUE FOMU NA WENGINE NAO KAMA WAPO WACHUKUE PIA, HATA WAKIWA WAGOMBEA KUMI.

  • @benardsamizi-qo4yp
    @benardsamizi-qo4yp 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbowe!Mbowe! Chonde!Chonde ! Tumia HEKIMA KILINDE CHAMA (USICHUKUE) FOMU BAKI KUWA KIONGOZI WA CHAMA. YASITOKEE YA MSIGWA.

  • @MjuniLaulian
    @MjuniLaulian 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Naichukia kauli ya take asitake ni kauri ya kipunbavu na tuliilani tangu ilipo tumiwa bungeni Leo tunaisikia kwa chama Cha upinzani ni ujinga bila busala wala kumbukumbu ya ilitumika wapi toa oja Jenga oja sio upambe ukipitiliza unakuwa uchawa wa kijinga nampenda mbowe na lissu ila Mimi sio chawa

  • @evelina9621
    @evelina9621 วันที่ผ่านมา

    Wanasisa.mnavioja.mnakaziyakufanya.katibasio.uzee.kupokeza.vijiti.mbowe.anasemaje.kunashidachadema.mya.aleze.msiije..mkalilia

  • @DavidJohn-i2d
    @DavidJohn-i2d วันที่ผ่านมา

    Mimi simkubali Lissu kuwa Mwenyekiti wa chadema, Lisu Hana busara kabisa chama kitakufa mapema sana. Mbadala wa Mboe bado hajapatikana, hivyo aendelee tu.

    • @richardnganya2311
      @richardnganya2311 วันที่ผ่านมา

      Uhuru wa maoni sio usahihi wa maoni.!!