Vanillah african ladies (official video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 238

  • @ALSIGOKENYA-bc4yl
    @ALSIGOKENYA-bc4yl 3 หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana nakukubali sana Vanillah, mashairi ya kukosha roho jamani, big ups to you my brother, Mimi ni shabiki wako mkubwa sana, nakufatilia kipindi hata hujatoka kimuziki, nakupenda saaana MPAKA KESHO

  • @eunicejoseph3870
    @eunicejoseph3870 4 ปีที่แล้ว +3

    Napenda unavyoimba jp nilichelewa kuijua hii ngoma

  • @pascalnyanda1289
    @pascalnyanda1289 4 ปีที่แล้ว +22

    Hakika kwanzia leo mm shabiki yako 🎼 mziki mzuri sana

  • @mogan_og8835
    @mogan_og8835 3 ปีที่แล้ว +4

    Mshikaji unajua sana

  • @Marsellamoraa-v8j
    @Marsellamoraa-v8j ปีที่แล้ว +2

    ❤❤🎶🎶🎶🎵 naipenda sana hii ngoma nikiwa safarini na fika kwa haraka

  • @IssaBacar-i2i
    @IssaBacar-i2i 11 หลายเดือนก่อน

    Salute brother.

  • @bsnipermusic9074
    @bsnipermusic9074 ปีที่แล้ว

    Kariii🔥🔥🔥

  • @saiclassicofficial3138
    @saiclassicofficial3138 4 ปีที่แล้ว

    Together kazi kaliii

  • @theoneclever940
    @theoneclever940 3 ปีที่แล้ว +8

    Welcome Kings music broo!! Cause we ready know🔥🔥🔥

  • @cuteprincess7728
    @cuteprincess7728 2 ปีที่แล้ว

    kaka wewe mis shida 7naimba sana brother awoteeeeeeeee yaaaap yeeeeba goma 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @mkudegeorge9929
    @mkudegeorge9929 3 ปีที่แล้ว +3

    Tumekuja baada kuxkia unapelekwa ufalmeni ila kweli unaimba ila nilikua xikufaam

  • @yusufulimo5737
    @yusufulimo5737 2 ปีที่แล้ว +4

    Hii ngoma ingerudiwa alikiba akaingiza Vasi itakua kubwa kuliko🔥🔥

  • @emmatheboy7984
    @emmatheboy7984 2 ปีที่แล้ว +1

    Umetisha my brother kaza sana tunaimani nawe

  • @Mrkigoma
    @Mrkigoma ปีที่แล้ว +1

    Mbwa mm hili goma nimelibamba litanikoma #officialvanillah huna kazi mbovu hii imeenda🎉🎉🎉🎉❤.

  • @maxeletv6593
    @maxeletv6593 4 ปีที่แล้ว

    Nakubali goma kaliiii

  • @mogan_og8835
    @mogan_og8835 3 ปีที่แล้ว +4

    Namsikia balaka kwa mbali una sauti hatari

  • @johnsonmaarifa3582
    @johnsonmaarifa3582 2 ปีที่แล้ว +2

    Ww msenge kiukweli unajuwa sana good voice umetisha sana hii nyimbo naikumbali sana mtoto wa mwanza salute 🙏❤👏💙

  • @youngmoney9601
    @youngmoney9601 4 ปีที่แล้ว +1

    unajua sana kaka unajua daaah nasema tena unajua

  • @yogwemwakulola1634
    @yogwemwakulola1634 ปีที่แล้ว +2

    Hapo Kwa zabibu kiba nimepasikiliza Kama mara kumi icho kipqnde ni noma sana

  • @SumaAlly-x2e
    @SumaAlly-x2e หลายเดือนก่อน

    Kweli Kings bila vanilla hakunago today enziizo anabuluzaa

  • @titorybkenyamusic3984
    @titorybkenyamusic3984 3 ปีที่แล้ว +1

    imeweza bro bidiii zaidi

  • @Mrkigoma
    @Mrkigoma ปีที่แล้ว +1

    Huyu alotengeneza hii beat anapepo lake hakika haf #officialvanillah umeuwa kabisa hii beat umeitendea haki🎉🎉🎉🎉❤

  • @tusart5384
    @tusart5384 4 ปีที่แล้ว +3

    # smooth awesome tune # ..views zifike zaidi ya milioni mafan wa Vanillah...au vipi?....Gonga like kama wabelieve kama mie !!!

  • @Tonitoo
    @Tonitoo 4 ปีที่แล้ว +13

    daah.. I feel proud to know you

    • @Tonitoo
      @Tonitoo 4 ปีที่แล้ว

      @Asdan 4rever th-cam.com/video/0XoUNGt8LIw/w-d-xo.html

  • @verifiedinfomation
    @verifiedinfomation ปีที่แล้ว

    Nipo hapa Leo 🔥

  • @florianscarion5085
    @florianscarion5085 3 ปีที่แล้ว

    We jamaa ni mkali sanaa, collabo tu na vigigo ndo tunasubiri

  • @allymtunge5530
    @allymtunge5530 2 ปีที่แล้ว

    Daaah wew jamaa mbona una kela nakujua kwak

  • @omarkipotwile9052
    @omarkipotwile9052 5 หลายเดือนก่อน

    Kaka, hii ngoma dondosha remix Kiba afanye jambo humuuu

  • @sterarichard714
    @sterarichard714 4 ปีที่แล้ว

    Nyimbo nzur ila nakuona sura but ladha ya wimbo namuonga mwandishi wangu bora kabisa baraka da prins

  • @akramburuhani1247
    @akramburuhani1247 4 ปีที่แล้ว +1

    Kuma mamake bonge la ngoma
    Gonga like yako hapo kama umeskia saut kijo

  • @LucyYungah
    @LucyYungah ปีที่แล้ว

    Mwanangu huko vinzuri sana,Munguakufikishe mbali upate mafanikio makubwa

  • @vailethclementdobi1939
    @vailethclementdobi1939 4 ปีที่แล้ว

    Usikae kimya sana muda wako hu toa Ngoma juu ya Ngoma

  • @philipoelias5460
    @philipoelias5460 4 ปีที่แล้ว +5

    Narudia tu, repeat just repeat! Nitauelewa hata mwakani

  • @hassansalim5956
    @hassansalim5956 3 ปีที่แล้ว

    Woow safi unakarbia kutoboa kaza bro

  • @anoldykamugisha9993
    @anoldykamugisha9993 4 ปีที่แล้ว +3

    Aliegundua kuwa huyu charii the way lips zake za midomo anavozitumia kuimba ni sawa na Mesharck wa BSS gonga like twende sawa

  • @AbdukarimSumbu
    @AbdukarimSumbu 9 หลายเดือนก่อน

    Kwa upendo na Zako tabia Niseme Nn tenaaa

  • @natallybuison5586
    @natallybuison5586 4 ปีที่แล้ว

    Mwanang unaimba kam Baraka Da prince

  • @saiclassicofficial3138
    @saiclassicofficial3138 4 ปีที่แล้ว

    Nakubali nandoto yakuimba name wewe

  • @MirajiAlmasi
    @MirajiAlmasi ปีที่แล้ว

    Mshikaj nakukubal Sana unajua had unakera

  • @Tozzyclever
    @Tozzyclever 3 ปีที่แล้ว

    Mzeee wangu unajuaga saaana..

  • @FranklinMwalungo
    @FranklinMwalungo 10 หลายเดือนก่อน

    #spana ww ndio mfalme wa badae

  • @babajohnii4610
    @babajohnii4610 2 ปีที่แล้ว

    Ngoma kali sana Melody nzuli sana

  • @IssaBacar-i2i
    @IssaBacar-i2i 11 หลายเดือนก่อน

    Nakukubali mwamba mrithi wa King Kiba one love 🔥 👏

  • @shahiduzubery9543
    @shahiduzubery9543 4 ปีที่แล้ว +1

    Nyimbo kali sana mm nimeijua Leo

  • @yusufulimo5737
    @yusufulimo5737 3 ปีที่แล้ว

    Hii sauti ya vanilla baraka atateseka Sana🤣🤣

  • @jamilaabubakari3341
    @jamilaabubakari3341 4 ปีที่แล้ว

    Bado nakufwatiliA kinoma

  • @joanesmpinga6129
    @joanesmpinga6129 4 ปีที่แล้ว

    Mwamba umetisha Kama corona

  • @centralrock8546
    @centralrock8546 4 ปีที่แล้ว

    Umetishaaa sanaaa

  • @emanuelnyasi1239
    @emanuelnyasi1239 3 ปีที่แล้ว

    Unajuaa sanaa kk

  • @patrickkataisa3692
    @patrickkataisa3692 4 ปีที่แล้ว

    Young davido kakashafka huku kaka

  • @bonifashaule4714
    @bonifashaule4714 4 ปีที่แล้ว

    Ngoma nyingine vp

  • @stevemacomputernyashihi9477
    @stevemacomputernyashihi9477 4 ปีที่แล้ว +3

    Ngoma Kali Kali sana blood nimeipata tayari asante
    Respect 4 TAIRI MOJA TALENT

  • @hilarysamwel6496
    @hilarysamwel6496 4 ปีที่แล้ว +5

    support good music vanillah nakukubali

  • @alexjohn8439
    @alexjohn8439 4 ปีที่แล้ว

    Huu wimbo nmeuelew unaweza bro

  • @dechopperkenya1353
    @dechopperkenya1353 4 ปีที่แล้ว

    100% kazi kubwa

  • @mathnichasimbeye2356
    @mathnichasimbeye2356 4 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri boss

  • @mainaimma1114
    @mainaimma1114 4 ปีที่แล้ว

    We ni msanii Mzuri ila shida jina unalitumia ndo shida

  • @FadhiliHaule-l8m
    @FadhiliHaule-l8m หลายเดือนก่อน

    Kumbe uyu jamaa ni fund kitambo tu

  • @wahayawamarekani1572
    @wahayawamarekani1572 4 ปีที่แล้ว +3

    Mwanenu charlzboy apa sema ili goma umeua sana kweli kimya kingi u ndo mshindo wake let's kill the industry faza

  • @Mrkigoma
    @Mrkigoma 11 หลายเดือนก่อน

    King's ndpo kunamziki kwasababu mnapambania mziki wetu usipotee hakika vipaji vilivyopo king's 🔥🔥🔥🔥 haf saiv spaner amekuwa ni mwendo wa back 2 back hakuna kupowa

  • @noverealdiabull8161
    @noverealdiabull8161 4 ปีที่แล้ว +2

    Ivi hizi idea kwann huaga ni kubwa kuanzia nitoke vipi by bwana misosi Kiki by rayvanny adi hii African ladies

  • @FurahaSimbeye
    @FurahaSimbeye 11 หลายเดือนก่อน

    Namuelewa dogo

  • @shawalirashidi6797
    @shawalirashidi6797 2 ปีที่แล้ว

    Nakubali broo

  • @edwarderinest8617
    @edwarderinest8617 ปีที่แล้ว

    Ubunifu mkubwa san😊

  • @nelsonchizhodi4156
    @nelsonchizhodi4156 4 ปีที่แล้ว

    From 254 , TZs this guy z de next big thing...f you believe like and drop comment

  • @kingshiggy6062
    @kingshiggy6062 4 ปีที่แล้ว +8

    ngoma broski🔥

  • @mupendwadegosi3788
    @mupendwadegosi3788 2 ปีที่แล้ว

    My favorite song from vanillah music
    I like bro

  • @kb_mediatv
    @kb_mediatv 2 ปีที่แล้ว

    Baraka hapa hapiti

  • @abiyudsimon7495
    @abiyudsimon7495 4 ปีที่แล้ว

    Da msiwe wanafiki jamani huyu ni msanii mkubwa like ziwe nyingi

  • @MaulidMaulid-w2s
    @MaulidMaulid-w2s ปีที่แล้ว

    @bonge rangoma isee daah.i feel proud to know you

  • @kb_mediatv
    @kb_mediatv 2 ปีที่แล้ว

    Daah kaza kaka

  • @jnasyofficial6774
    @jnasyofficial6774 4 ปีที่แล้ว +2

    Nakubali

  • @ginimbifamily3995
    @ginimbifamily3995 2 ปีที่แล้ว +1

    Welcome to King's Music 🎶 👊🙌🙌🙌

  • @zullyberry3071
    @zullyberry3071 4 ปีที่แล้ว

    Kazi kari sana dah nakubar ndg tuwakilishe mwanza dah

  • @clementkingu963
    @clementkingu963 4 ปีที่แล้ว +1

    Asee we na nusder mmetisha ....kwakila kitu...

  • @vankzzy9754
    @vankzzy9754 4 ปีที่แล้ว

    waoooo ikopoa sana

  • @kulwasandali2279
    @kulwasandali2279 4 ปีที่แล้ว

    Hakutakua na pengo la barakah da prince kama wew upo
    @Kupitia Status ya Twizo nmeipata hii Ngoma shout kwako Twizolingwiz

  • @Xavierdecristo
    @Xavierdecristo ปีที่แล้ว

    Uyu jama ni hatari

  • @iamfriedrich
    @iamfriedrich 3 ปีที่แล้ว

    Tamu kama mishkaki ya mbuzi

  • @waliwilson6804
    @waliwilson6804 4 ปีที่แล้ว

    Unaujua Sana mziki mwamba Bigup Sana mtoto wa home

  • @EyazMusic
    @EyazMusic 2 ปีที่แล้ว

    Good vibe bro 💯

  • @dioncmusic7027
    @dioncmusic7027 4 ปีที่แล้ว +4

    🔥🔥🔥Safari nzema kuelekea mafanikio

  • @tneyo6980
    @tneyo6980 4 ปีที่แล้ว +1

    Safi babu nimependa endelea kukaza

  • @fildorinatibaija2262
    @fildorinatibaija2262 4 ปีที่แล้ว +1

    Kijana umepenyaaa akuna mwengine kilaa2a duah

  • @kakacharlesofficial1241
    @kakacharlesofficial1241 2 ปีที่แล้ว

    Nimekuona eatv now tupo pa1 kamanda

  • @Fesslineromanza
    @Fesslineromanza 8 หลายเดือนก่อน

    Vanilla all the way

  • @SalimoTomásDanqueneDanquen-n3f
    @SalimoTomásDanqueneDanquen-n3f 8 หลายเดือนก่อน

    King vanilla ❤❤❤

  • @prencemwanry8047
    @prencemwanry8047 4 ปีที่แล้ว

    Safi 'kaza buti

  • @amouryona4219
    @amouryona4219 4 ปีที่แล้ว

    Unajua mpaka unakela respct xana nakubal bro

  • @islamathuman216
    @islamathuman216 4 ปีที่แล้ว +1

    Nakubali mwamba unatisha

  • @Baba_Mario
    @Baba_Mario 2 ปีที่แล้ว

    That's my boy

  • @unstoppabletv8263
    @unstoppabletv8263 4 ปีที่แล้ว

    Jiwe juu ya jiwe #Sangara

  • @mosesthomas3443
    @mosesthomas3443 4 ปีที่แล้ว

    Wow muziki mtamu big up bro komaa

  • @EmmaOneofficial
    @EmmaOneofficial ปีที่แล้ว

    ❤❤❤Nice

  • @jacobogeorge8859
    @jacobogeorge8859 4 ปีที่แล้ว +1

    Umeua sana kijana wangu

  • @youngtaiz8359
    @youngtaiz8359 4 ปีที่แล้ว

    Ngoma kali blood

  • @michaelkado1862
    @michaelkado1862 3 ปีที่แล้ว

    Congratulations

  • @helgelevis7864
    @helgelevis7864 3 ปีที่แล้ว +1

    Nice sooong brother

  • @nyzerjnl7960
    @nyzerjnl7960 ปีที่แล้ว

    2023 NJOO ❤❤

  • @rosellaabraham13
    @rosellaabraham13 4 ปีที่แล้ว

    Sauti tamu...🔥🥰