ความคิดเห็น •

  • @mercynadia3140
    @mercynadia3140 ปีที่แล้ว +4

    Kusheghuighwa Kohe ni kufa ughumba naeee, lala salama Legend Eddy Sheggy

  • @kaizakuyava9672
    @kaizakuyava9672 ปีที่แล้ว +2

    Dah fundi kabisa wa Kuimba Mwenye sauti Nzuri sana Marehem Eddie sheggy Mgosi

  • @gracefihavango2162
    @gracefihavango2162 ปีที่แล้ว +2

    udongo huu umemeza wengi huu jamani na bado wengine tuko njian R.I.P EDDIE

  • @ramadhanlutala1399
    @ramadhanlutala1399 7 หลายเดือนก่อน +2

    Hapo marehemu eddy sheggy,ndugu yake christian sheggy kwenye sauti na binamu yao msafiri kwenye mdomo wa bata ,ilikuwa balaa hapo shekilango.

  • @bonabonala5559
    @bonabonala5559 7 หลายเดือนก่อน +3

    nakumbuka mwaka 1994 mpka 98 kwenda 2000 pale 92 club sinza shekilango sio poa nikikosa kingirio nikua naluka ukuta irimladi niingie kucheza muziki

    • @zuwenasalim2794
      @zuwenasalim2794 14 วันที่ผ่านมา

      Ulikuwa jambaz aisee😂😂

  • @costantinestephen2594
    @costantinestephen2594 4 ปีที่แล้ว +3

    Eddy Sheggy alikuwa mwanamuziki mzuri sana, Alikuwa anajua kuimba na kwa kweli atakumbukwa daima.

  • @rukiamohammed5031
    @rukiamohammed5031 4 ปีที่แล้ว +3

    Enz hairud nakumbuka tanga Bara bra ya 15 hii nyimbo ndio yatoka hd Kuna jiran. Yangu akajifungua mtt na kumwita shakaza 💃💃

    • @Iamzaqee
      @Iamzaqee ปีที่แล้ว

      😂😂😂

    • @zuwenasalim2794
      @zuwenasalim2794 14 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂duh mtoto shakaza

  • @jahshikimweri2712
    @jahshikimweri2712 5 ปีที่แล้ว +6

    wasambaaaa the champions of Africa

  • @ilanmusicTz
    @ilanmusicTz 4 ปีที่แล้ว +2

    Shakaza niliisikiliza na kuipenda Sana enzi za utoto mzee alikuwa fundi Sana

  • @mzuvendi
    @mzuvendi 4 ปีที่แล้ว +3

    Ochusheggy wacha uchoyo tuwekee show kamili...RIP your dad!

  • @goodluckmmari8011
    @goodluckmmari8011 ปีที่แล้ว +1

    Jamaa. Wamenikumbusha 89/94..wapi sauti ya zege

  • @mariyammuhammed8745
    @mariyammuhammed8745 6 ปีที่แล้ว +4

    Nimekumbuka utotoni jamani ishwi kuno kaya eka nionge tabu zangu weyangu

  • @nicholaussatielnkondo2374
    @nicholaussatielnkondo2374 5 ปีที่แล้ว +1

    Mghoshi auko nyika ndima nkunywa phombe. Old is gold ya vijana jazz

  • @MrDrommer666
    @MrDrommer666 9 ปีที่แล้ว +8

    Ochu
    I knew your Father and saw one of his concerts he was a very good singer and musician

  • @ArafaAbdillah-zi7lc
    @ArafaAbdillah-zi7lc ปีที่แล้ว

    Nilikua sijazaliwa ila napeda sana

  • @WatuShazi
    @WatuShazi หลายเดือนก่อน

    Wana waja. Maboko father chps

  • @obillaezra6205
    @obillaezra6205 5 ปีที่แล้ว

    Wanamuzi Wote Wakongwe WA Tanzania wangekuwa hai Hadi leo, tungekuwa na Hazina kubwa ya Wanamuziki, Sena hawadumu Sana! Shaggy enzi zake umaarufu wake ulikuwa balaa

  • @AbuuMunchera-hh4ox
    @AbuuMunchera-hh4ox 10 หลายเดือนก่อน +1

    Very good songs

  • @mathewgerald626
    @mathewgerald626 ปีที่แล้ว

    BIG UP OCHU NI NDUGU EDDY SHEGY.

  • @bakarimdundwa461
    @bakarimdundwa461 3 ปีที่แล้ว

    Talented man uyo mujamaa

  • @msagatinyelo102
    @msagatinyelo102 หลายเดือนก่อน

    Hakuwa christian pekee, alikuwepo francis sheggy ni marehem sasa huyo wa kulia hapo

  • @galatonetz
    @galatonetz ปีที่แล้ว

    Shakaza sio mchezo😅

  • @geofbeka1669
    @geofbeka1669 6 ปีที่แล้ว

    Eddy "fastmover" Sheggy, miaka ile walitisha saana

  • @hadijarashid7886
    @hadijarashid7886 5 ปีที่แล้ว

    Japo cjui icho kiruga kikichoimbwa ila naipenda hii nyimbo toka mdogo

  • @costantinestephen2594
    @costantinestephen2594 4 ปีที่แล้ว

    Chezea fast mover wewe, utalala hoi.

  • @jumbempalasinge3528
    @jumbempalasinge3528 8 ปีที่แล้ว +6

    uyu jamaa alikuwa kila band lazima aende na ndugu yake christian shegy walikuwa wanapendana saana

    • @fredylucas2484
      @fredylucas2484 5 ปีที่แล้ว

      Christian hakuwa mzuri kama kaka yake ilimbidi kaka mtu ambebe kila aendako. Hii imedhihirika baada ya kufariki kaka yake naye yupo kimya

    • @emmymatumbo4068
      @emmymatumbo4068 ปีที่แล้ว

      kwa kweli nitendezee weyangu,kushenghungwa ni kufa mguma nanee,daaa eka nitongomae

  • @rahmaliad4348
    @rahmaliad4348 9 ปีที่แล้ว +1

    jamani wagosi hawa walikuwa noma

  • @careca7476
    @careca7476 6 ปีที่แล้ว

    Ochu vipi? naona viatu vya Dingi vikuwa vikubwa sana.

  • @hassanmakau7658
    @hassanmakau7658 3 ปีที่แล้ว

    Waume shakaza

  • @hassanmweta7244
    @hassanmweta7244 6 ปีที่แล้ว

    Oyoooo woume shakaza

  • @babaparoko158
    @babaparoko158 9 ปีที่แล้ว

    zilipendwa tanzania

  • @mawazochanya2081
    @mawazochanya2081 7 ปีที่แล้ว

    ochusheggy habari? Mola amrehemu Eddie Sheggy.Alikuwa musician mahiri sana.Mna undugu?

  • @mzuvendi
    @mzuvendi 4 ปีที่แล้ว

    Nani anacharaza Solo?

  • @mustafanasru6045
    @mustafanasru6045 7 ปีที่แล้ว

    aya ndugu

  • @costantinestephen2594
    @costantinestephen2594 3 ปีที่แล้ว

    RIP fast mover, Eddy Sheggy

  • @mudymnandi3050
    @mudymnandi3050 6 ปีที่แล้ว

    Tatizo waimbaji wengi wa bendi sijui kwanini wanakufa mapema?

    • @samuelmwaipopo1302
      @samuelmwaipopo1302 3 ปีที่แล้ว

      Kaka stress unakua na jina tu pesa inakua chache sana. Inauma hii kitu

    • @matiridajams9969
      @matiridajams9969 ปีที่แล้ว

      mijimama inawalaghai yaaani vishawishi

  • @twahashemkai6185
    @twahashemkai6185 5 ปีที่แล้ว

    Shakaza rip edy sheggy

  • @sangomamourice5114
    @sangomamourice5114 4 ปีที่แล้ว

    Asante

  • @iddiwazirikibindo8339
    @iddiwazirikibindo8339 6 ปีที่แล้ว

    Shakaza

  • @babaparoko158
    @babaparoko158 9 ปีที่แล้ว

    zilipendwa tanzania