ความคิดเห็น •

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 ปีที่แล้ว

    Asante Mwalimu

  • @Abdul-MalikMohdHussein-mb2yn
    @Abdul-MalikMohdHussein-mb2yn ปีที่แล้ว

    Mm mwanafunz mpya naomba ushirikiano wenu!

  • @user-uu7kx8vy3g
    @user-uu7kx8vy3g 8 หลายเดือนก่อน

    Vzur bro nimeelewa namna ya kuingiza j wire kwa circuit breaker ya three phase je unazitoaje kuingia kwenye body nifafanulie kitoka circuit breaker to body

  • @josephbujiku6853
    @josephbujiku6853 ปีที่แล้ว

    Cable za siku hizi zina aina nne za wire je inakuwaje namna ya kuzifunga kutoka kwenye Pampu??

  • @abdulalawi1891
    @abdulalawi1891 ปีที่แล้ว

    Jee? Wire wakupokea moto naweza kutumia 4.5? na kuenderea

  • @geofreyemmanuel4881
    @geofreyemmanuel4881 2 ปีที่แล้ว

    Leo nimejifunza kitu

  • @macotv2197
    @macotv2197 2 ปีที่แล้ว

    ase mwalomu jarobu kuandaa video ambayo inaonesha uharisia yaan practical na c kama unatuhadithia

  • @alsamali6964
    @alsamali6964 3 ปีที่แล้ว

    Hiyo triple phase main switch inatumika zaidi wapi

  • @michaelchristopher2452
    @michaelchristopher2452 2 ปีที่แล้ว

    Vp unaweza kutumia main switch ya threefase kwA single fase

  • @abdiazizguhad9628
    @abdiazizguhad9628 2 ปีที่แล้ว

    Add me the group plz