ANJELA BAADA YA KUTANGAZA KUACHA MUZIKI AONEKANA NA WASANII MIKUTANO YA CHAMA, AFUNGUKA VIZURI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 26

  • @AminaJuma-r4y
    @AminaJuma-r4y 4 วันที่ผ่านมา +2

    Kumbee😂😂

  • @DerickNgowi-mf5pe
    @DerickNgowi-mf5pe 4 วันที่ผ่านมา +2

    Hili bonge la bogaz ila njaa mbaya

  • @mnyampaa_kisasa
    @mnyampaa_kisasa 5 วันที่ผ่านมา +5

    hao wasanii ukiwauliza mambo 10 muhimu kayafanya MAMA hawajui hata ni wachache sana pia ni wanachama na wana kadi ya CCM mbali n yote ni njaa tu

    • @HUpendo
      @HUpendo 5 วันที่ผ่านมา

      Umeonaaa

    • @asinahussein2176
      @asinahussein2176 5 วันที่ผ่านมา

      Nyie hamna njaa​@@HUpendo

    • @HUpendo
      @HUpendo 5 วันที่ผ่านมา

      @asinahussein2176 atuna njaaaa kama zaooooo paka zakutunga nyimboooo

    • @adinanijunuzaj9580
      @adinanijunuzaj9580 4 วันที่ผ่านมา

      Babu njaa tupu mm sijaona alicho kifanya uyo mama yao labda kununua magori wakati hospital hakuna vitanda hakuna madawa

  • @AmmielNzala-fu4xu
    @AmmielNzala-fu4xu 2 วันที่ผ่านมา

    Mungu na siasasa wapi na wapi, hebu someni biblia na mchungaji anayemhubiria huyo ni mwehu tu, Mungu yuko mbali sana na siasa maana siasa zipo chini ya utawala wa shetani

  • @GorogoroWantambo
    @GorogoroWantambo 4 วันที่ผ่านมา +1

    Wasanii nikama upepo penye maokoto...ndipowapo

  • @sahraabdallah7242
    @sahraabdallah7242 4 วันที่ผ่านมา

    Anajuta kutangaza ameacha mziki😂😂😂

  • @hollymore4904
    @hollymore4904 4 วันที่ผ่านมา

    njaa bana

  • @Thobiaslucaskipara
    @Thobiaslucaskipara 5 วันที่ผ่านมา +2

    NJAA ITAMRUDISHA KITAA

  • @RojasiAloni
    @RojasiAloni 5 วันที่ผ่านมา +1

    usi babaike

  • @MajutoElliasi
    @MajutoElliasi 3 วันที่ผ่านมา

    Wasanii wote ccm kwajiri ya kukwepa mapato ya serekari

  • @IreneKimbe
    @IreneKimbe 4 วันที่ผ่านมา

    Kila msaniii utaskia yaaaa yaaaa yaa sio English wakuuu ni kauhuni flani tu 😂

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 5 วันที่ผ่านมา

    Siasa si dhambi watu wanamsifia mama wapate kula hao ndiyo wasanii wetu

  • @Yana_queen1
    @Yana_queen1 5 วันที่ผ่านมา +2

    Siasa ni bonge la dhambi…rushwa km zote,uongo hasaa

    • @TeophilBuilding
      @TeophilBuilding 4 วันที่ผ่านมา +1

      Anatombwa akil uyo njaa inamuuwa achan nae

  • @WilliamSakayonsa
    @WilliamSakayonsa 4 วันที่ผ่านมา

    Wasanii wabongo wananjaa Sana wamejaa unafiki mtupu eti wanaipenda ccm ukiwauliza wanaipendea nin hawajui ifike wakati wajitambue

  • @Tg.7_7
    @Tg.7_7 4 วันที่ผ่านมา

    Sasa Vido alikua ana mprovoke dada wa watu ili iweje!!?

  • @sidemashine7168
    @sidemashine7168 4 วันที่ผ่านมา

    Ilo wigi na miwani ya fundi mageti siyo dhambi

    • @frida-oi6kw
      @frida-oi6kw 4 วันที่ผ่านมา

      Kwahiyo kuvaa miwani ni dhambi😂😂😂....we jamaa

    • @faraonselu8521
      @faraonselu8521 วันที่ผ่านมา

      kwn ssi mafund tumewakosea nn

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 5 วันที่ผ่านมา +1

    Anjella uko smart

    • @Yana_queen1
      @Yana_queen1 5 วันที่ผ่านมา

      Not at all

  • @zaburi2386
    @zaburi2386 วันที่ผ่านมา

    ukwerسس ردر منرداب