ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Shi ngap ndogo ya kutembea nayo
ndogo inayokaa na chaji ambayo unaweza ukatembea nayo kwa bag sio mfukoni 135,000 na plan ya mwezi 115,000
Maelezo mazuri🔥 soon nakuja
Asante sana umetuungisha
Unlimited kweli au ndio kama bando la week alafu alafu inakata dk 2
Full unlimited na sasa hata ukiwa na router yako unaunganishwa humohumo cha msingi tu eneo hilo voda iwe na na strong Internet tupigie 0745015421
Bei gani?@@jaysmartlimited
Mimi nimenunua router voda na imepata tatizo wananizungua Hadi Leo kwa kweli tz bado tunaibiwa Sana wengine wanatuambia 5g ila ni uwongo kabisa na wenye 5g ya ukweli maruta Yao ni mabovu