JAWABU LENYE KUTOSHELEZA KWA SHEIKH MUHAMMAD IDDI KUHUSIANA NA ARAFA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ก.ย. 2024
  • Sheikh Abul Fadhli Kassim Mafuta Kassim Othmaan حفظه الله تعالى
    Ilikuwa Ni Khutba Ya Ijumaa 09.08.2019M.
    Ma'ahad Sheikhil Islam Ibn Taymiyyah - Pongwe, Tanga Tanzania.
    #kumbukumbu za Maktaba 2019
    Majibu Ya Kielimu Dhidi Ya Sheikh Abuu Iddi Muhammad Iddi Kuhusu Arafa.
    ‪@BABDEOMILADU‬

ความคิดเห็น • 5

  • @jabirhussein4180
    @jabirhussein4180 3 หลายเดือนก่อน

    Kwahiyo hawana arafa wala kuswali Iddi wala kuchinja maana kutakosa kufanana 😂😂😂😂 uwahabi noma sana unaacha ibada kwa sababu ya kutaka kufanana Makka

    • @hamadysalum7242
      @hamadysalum7242 3 หลายเดือนก่อน

      Uwahabi ni nini kaka

  • @AbdulkarimShosi
    @AbdulkarimShosi 3 หลายเดือนก่อน

    Nyinyi hamuna majibu kwa abuu idd yenu ni mikao na ubishani abuu idd ametoa ushahidi katika vitabu vya masheikh wakubwa kama al marhum sheikh al uthaimeen rahimahullah na sheikh al marhum sheikh Abdul Aziz bin baaz rahimahullah na majmaul fiqhi al Islam ya makkatul mukarama Sasa wewe sheikh kassim mafuta vunja hizo hojja kama unaweza Wacha kuleta ngonjera zako na ubabaishaji wako

    • @hamadysalum7242
      @hamadysalum7242 3 หลายเดือนก่อน

      Umefahamu lakn kilichozungumzwa au unaropoka kiushabiki tu?

    • @AbuuSumayyah-rh7oi
      @AbuuSumayyah-rh7oi 3 หลายเดือนก่อน

      Huyu huwenda ikawa ana vizibo ktk masikio yke na nivigumu kuifahamu haqi kama huyo sheikh wake mzee idi