MZEE MASATU:AVAA MABOMU YA MO,AJILIPUA MBELE YA UMATI STESHENI KUMKINGIA KIFUA | KIBU NI PROPAGANDA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 พ.ค. 2024
- JE UNAHITAJI KUTANGAZA BIASHARA NA WISPOTI TV.
KARIBU TUKUHUDUMIE KWA GHARAMA NAFUU, WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0743040370 AU TUCHEKI KUPITIA WHATSAPP NAMBA 0758099136. - กีฬา
MASATU ANAOGOPA KUTIWA NDANI 😢😢😢😢😢😢
Hata yanga anacheza kila baada ya siku 3
We Mzee masatu uwongozi Bora Simba niupi mbwana sioni
Kiufupi ni kwamba nawewe ushaingia kwenye mfumo wa mangungu na wenziye. Yani nawewe ni kama kisugu. Yani nawewe unatumika.
Mzee masatu mnafki kama kisugu saaa umegeuka
Mzee masatu nakukubali sana unaongea fact kabisa🎉🎉🎉
Sio kweli kwamba kila mzee ana busara.
Kuwa Nawazee Vinyonga Kama Hawa Nikhatari Sana Kwa Manifaa Yajamii Husika. Leo Kabadilika kutoka Kuwa Paka Mpaka Kuwa Chui Namsamaha Anaomba.
Mzeee mpuuzi huyu kwani yanga alikua anachezaje si hivyo hivyo, sk 2 ya 3 mechi.
MZEE MWEZANGU KAPAGAWA
Mzee masatu nawewe usituchanganye viongozi na mwekezaji ndo tatizo ilo liko wazi
Leo Kombe la Muungano limekuwa chungu😂😂😂
Mzee mumshike anaenda kupagawa mbona yanga kacheza jana na ni mkoani pia keshokutwa anagame umesikia maneno mjikaze kila mtu ashinde mechi
Mzee masatu kwenye kilpu hii sijakuelewa
Mzeee masatu unakitu mwilini
Uyu mzee keshakua hajitambui uongozi m,bovu unaleta usenge tu
Kuna kirusi kwa simba apendi maendeleo ya simba ila mungu atamuona.
Mzee msenge huyu
We ni mzee wa ovyo kabisa. Njaa inakulevya.
Wewe ni mangungu
Muacheni mzee apatee bahasha ndio hawa Bdo wanataka viongozi wazee
Dah Njaa mbaya. Jamaa kesha nunuliwa.
Yaani Kisha sahau yote aliyokuwa anaongea siku za nyuma mweee😂
mzee masatu vipi tena????
Masatu umeongea vizur sana wabovu lakin wanawataka hao ndo wanawanunua wachezaji wetu wacheze vibaya
Simba nguvu moja❤❤😂😂
Ni nani aliyeomba mechi na Azam isogezwe mbele??? Ni nani aliyeomba mechi na mtibwa isogezwe mbele??? Na ni nani aliyeomba kwenda kombe la muungano??? Jibu ni kwamba viongozi wa simba ndio walihitaji vyote hivyo!! Sasa iweje leo mzee masatu unasema kuwa tff ni adui yako wakati alikupa vyote ulivyovihitaji?? Fikiria kwanza ndipo uongee
We Mzee nani aliewalazimisha kushiriki muungano???? mbona Yanga walikataa!? nyie mlijua hamwezi kuchukua ubingwa wa NBC ...mmefaidika kuchukua ubingwa wa million 50! Tena wewe masatu unalalamika! Aisee....
Mzee upo sawa
We mzee hata timu zigine pia zinakaa siku tatu kama simba acha ushamba
Mzee unakitu mwilin kwakwel
Iv unauliza habali za simba afu unaweka habar za yanga we vp
Uyo babu vipi? We chawa nn
We mzee sio shabiki wa simba mimba ya njaa inakusumbua.
Uyo mzee amezeeka akili msiwe mna mfanyia interview 🐕🦺🐕🦺🐕🦺
MASATU KAVURUGWA HAELEWEKI KABISAAA
YAANI KAVURUGWA
TFF ANA KOSA GANI
YAANI ANABADILIKA KAMA NYWELE .....YAANI ANAWEZA KUKUUZA MCHANA KWEUPEEEEE
KUHUSU SAIDO KAWA KIMYA KABISAAAA😂😂😂😂😂😂😂😢
Umeshakua kirusi na wewe mavi yako ila njaa njaa mbaya sana
Yaan wanasimba Sasa mnaanza kupoteana wakati mnacheza club Bingwa mlifurahi na wenzenu waliendelea na kupiga Game leo mnaanza kuishtumu TFF acheni mpigwe
Sasa viongozi kama hawapigi kelele?
Nilikuwa naona unahakilii mbona pia yanga anacheza baada ya siku 3
Kwani Yanga si katikati hapa alishapiga game back to back mpaka akina Pacone wakaumia
Kipengele kwenye mkataba lazima acheze Saidoo
Mzee unatoa boko.kwa umri wako hukupaswa ww kuwa chawa
72
Bahasha zitawamalizia mikundu nyie jahazi linazidi kuzama wewe unatetea ujinga,tena mo apishe haraka sana na hao vibaraka vyake
Simba mechi wiliziweka wenyewe mbona wenzao walicheza mfuluzo tatizo hata waandishi hamjui kuhuliza swali la msingi
We mzee huna hoja kuhusu Ratiba hata Yanga hapumziki mpaka Gamondi kaongea, kingine hilo kombe muungano mlifurahia Yanga kagoma kwenda mmwchukua kombe mmefurahi ila wewe hutaki huna lolote na mwandishi huna kitu cha kuhoji unaburuzwa tu
Mbona yanga nao walicheza mfulilizo ikiwa wana mechi ngumu na mamerod hadi akina pacome wakaumia mbona hawaja lalamika
Acheni sababu murishaona hamuezikubeba ubingwa
Mara mo tuachie tim mara mo nisamee, we mzee umeshapewa bahasha?simba tatizo viongoz waongo sana,ktk mpira unaotakiwa ni ukweli sio siasa wala propaganda,toa pesa upate pesa,mo iga kwa haris said kusajili nenda mwenyewe kuagiza watu ndio mana wanakupiga wakuletea wachezaji wa kuokota,simba tim kubwa watakiwa upate wachezaji walevo ya simba,achen kuokota wachezaji wa hovyo,
Kibu hana account Twitter
..Mwandishi Msenge unatafuta Maswali ya Kuzua kisha kuja kuwauliza wana Simba Pumbavu sana ma wewe..
🤣Masatu timu huna ondoa vizee vyote sajili vijana kingine huna mwekezaji kingine huna katiba mtalalamika kila siku ooo try again hafai ooo mangungu hafai
Hilo begi la mzee masatu limebeba maokoto. . Mzee amepiga u-turn hatari..eti simba amelazimishwa kucheza muungano..wakati hana mashindano yoyote kwa sasa zaidi ya nbcpl..tofauti na yanga ambao bado wapo crdb cup na nbpl
😂😂😂
Watu wa simba akili zao zinafana a ni walalamishi.wabishi, malimbukeni na huwa hawatumii akili zao ingawa wanazo. Hayataki kukubali kuwa timu yao iimebuma ni lawama tu kutafuta mchawi
Wee mzee acha usenge nyie c ndy mliomba kuto kucheza mechi zenu mkasema mnajiandaa kimataifa leo mnalalamika nini acha ufala ww mzee
Wakati wenzenu wanacheza nyie mlikuwa mnafurahia viporo 😂😂😂
Mzee masatu naona mangungu ameshakupa bahasha wachezaji kweli wamechoka kwa nn wanatuletea wachezaji wasio na uwezo na kuwaacha fili na haleke
Uyu mzee chizi...mwambieni kuna kipindi yanga alikuwa anacheza mfululizo yeye Simba alikuwa anaweka viporo mechi zake mbona yanga awajalalamika kipindi kile?
timu mangungu uyo naili ndiyo tatizo letu watu wa simba atuna ushili kiano masatu lake na wengine lao akuna tena nguvu moja na masatu tupishe na mabosi wako