MBWADUKE: Hivi ndivyo Waalgeria Constantine watapigwa na Mnyama hata bila mashabiki/ Kibu, Mpanzu..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 22

  • @ChampionchumalaizerChampionchu
    @ChampionchumalaizerChampionchu 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ongera brother kwenye uchambuzi salute 🫡 sana

  • @WisdominternationalMinistries
    @WisdominternationalMinistries 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Unajua sana kuchambua soka brother. Mungu akulinde

  • @tumaini37
    @tumaini37 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Nakuelewa sana uchambuzi wako🎉🎉🎉

  • @sadokimtondoabahenya31
    @sadokimtondoabahenya31 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mungu akujalie mzee wangu

  • @mnyongeiddi2454
    @mnyongeiddi2454 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Huyu jama hata ukimsikiliiza unapata Cha kukifunza siyo kama wachambuzi uchwala

  • @MasudiLugomba-s5i
    @MasudiLugomba-s5i 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kazi nzuri kaka🎉

  • @ImeldaMtega
    @ImeldaMtega 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @FranckJastiniDeograsiat
    @FranckJastiniDeograsiat 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Uhakika mbwaduke Huna baya 😅😅😅😂😂😂

  • @RICHARDADAMU-v1p
    @RICHARDADAMU-v1p 36 นาทีที่ผ่านมา +1

    Kaka ama kweli unalijua soka

  • @AndrewAristaricko
    @AndrewAristaricko 45 นาทีที่ผ่านมา

    Bravoo mbwadukee,,kunaa mtu anaitwa ambokilee sjui kajifunziaa uchambuzii kichochoronii 😂

  • @SaidsultanNindwa
    @SaidsultanNindwa 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Yes tunachapa hao mapema sana

  • @PaulSengo
    @PaulSengo 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    leo nimewah kipindi😅😅😅😅

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wa kwanza

  • @PatrickGeraldi-wd1er
    @PatrickGeraldi-wd1er ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Huyu jamaa Kwa takwimu ni magufuli mtupu.

  • @TriciaSambo
    @TriciaSambo 47 นาทีที่ผ่านมา

    inshallah tutashinda mechi ya kesho

  • @renatusblandes1131
    @renatusblandes1131 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Simba wakutumie kwenye uchambuzi wa mpinzani

  • @JinessDaudi
    @JinessDaudi 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    😅😅

  • @ShadadiAmri-e6c
    @ShadadiAmri-e6c 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    MOLA akujaalie mwamba Ang

  • @renatusblandes1131
    @renatusblandes1131 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Uchambuzi wako kwanini usionane na bench la Simba pamoja na Wachezaji wa Simba?Sisi hatuna Cha kufanya zaidi ya kupoteza Bandle

    • @melissa_garden
      @melissa_garden 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Na yeye analipwa na youtube

    • @FrankKashamakula-xb1pc
      @FrankKashamakula-xb1pc 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Simba Sc kuna Position Inaitwa Video Analysis Ambae amesomea u Coach pia na Kutathimini Wapinzani

  • @PaulSengo
    @PaulSengo 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    leo nimewah kipindi😅😅😅😅