Mimi sijawatch but sinior Dave place uko mungu akulinde akufunike kwa damu ya yesu, tunajua unapitia mateso ila mungu wa mbinguni awezi kukuacha, ako nawewe karibu,
Give senior Dave's team humble time to do their job please just let us remind peaceful,united and caring to each other let's bare with the headlines for the respect and love we have for senior Dave.tusikilize videos hata kama headlines ziko aje, please kama unapenda senior Dave
Good job Wambo n our able DCI Fred lakini your tiltles are wanting do about on that area...Seniour Angels are incharge Divine protection in Jesus .Name
Senior Dave fraternity we salute you guys for the good work that you guys are doing,Also Mr Freddie do not overthink nor disrespect anyone searching for senior Dave,They're doing this because of his good work that you guys aretalking about towards community,we too outside here can join forces to search for him,that doesn't mean we're suspects as you said,it will be pure love bro...our hearts are with you guys.
Mambo ishaingia kwa serikali but TH-camrs wenzake wamejitolea kumtafuta ulisikia vile pastor na Fred vile waliongea vibaya, yet tunajua serikali inapeleka mambo polepole
Dave God be with you our brother. And we believe Our God will fight for us and I pity the wife so called Annite ,she has never show up and even if you two have a problem. She could come in and stand with your employees through this mess . Anyway we learn who she is .
Riaga wamegive up na hii mambo ya Dave 😭😭😭😭juu ni kama kuna competition ya mwenye atampata,dave mahali uko may the good God rescue you and we love you😔
Hii kila mtu anajua kwenye dave Ako na si hvyo hata headlines tumezoea ni ya uongo tu,,mkieka headline ya ukweli tutawatch bado si lazima mueke ya uongo ndo tuwatch
Fred mm nikuamini kazi Yako ni pafect ,,nawe sd mahali uliko Mungu akulide mtoto wetu upatikane ukiwa mzima tungali tunakuombea na tunajua Mungu atateda
I don't know why many are complaining about headline today, l see it's inorder. Wambui has used her tactics, you know baba kafue is after sex, remember he asked Wambui last time if he can marry him😂😂😂
Ukweli ndunia kwisha jameni watoto wetu tutawalelea wapi jameni Mzee kama huyu abatane mtoi wamiaka kumi siatalala nayeye juu ako napesa mungu wangu suka Kenya yetu
FRED TRY TO TRUCK EX BOSS NUMBER .KUJUA WHERE SHE IS. AND ARRESTED.. ONE OF THE SUSPECT. YEYE NDIO MARA YA MWISHO ALIKUWA NA SENIOR DAVE,UWENDA NDIO KAWATUMA HAO KIDNNEPERS
Mimi sijawatch but sinior Dave place uko mungu akulinde akufunike kwa damu ya yesu, tunajua unapitia mateso ila mungu wa mbinguni awezi kukuacha, ako nawewe karibu,
This is good Fred, we love you for your seriousness in your job
Dave wherever you are I cover you with blood of God
Huyu Mzee ni mang'aaaaa😢😢mama Kafue mkubwa alimvumilia huku anaumia Kwa ndani
Mm napenda kazi ya wambo, ni mpole hana mambo mengi
Hata annita.
Kabisaa
Pia annita anakuanga fiti
𝕂𝕒𝕓𝕚𝕤𝕒❤@@KellysonMuthomi
Tatizo wambo anamaswali mengine yanaweza rusha mtego
Wow hapo Frederick umecheza kiwewe nilisema Nita comment nikiwatch video I love this
Dci Fred God bless you. You are a true friend
Wah kweli paka mzee hunywa maziwa.Baba kafue ni malaya kweli
baba kafue anapenda wasichana sana nakila kitu kitajulikana tu mungu yuko
Fred napenda kazi yako sanaaa
Hata Mimi napenda kazi yake, ana utu na anajituma, anafanya kazi kulenga na alivyo kula kiapo Cha kuwatumikia wanainchi.
Bwana akubariki
Ambalikiwe sana our DCI Fredrick
Well done wamboi, may God take you higher and higher, we believe God will protect dave wherever he is
Congratulations Wambo for the nice job. Keep it up!
Friend is a true dci
My i can't try to mess with him may God add him with more knowledge and wisdom also may God guide him
Dave yuko uhai but hayuko salama penye ako ata kidogo hayuko salama pls harakisheni kumtafuta na Mungu awaelekeze penye ako in Jesus Mighty Name
For sure haki harakisheni jamaani
Be turned in kwa riaga show wako kwa mission ya kumpata ❤
Riaga are on the mission on rescuing him and they saw him where he is though he is going through alot,but as long sa the key is with them
Amen
Give senior Dave's team humble time to do their job please just let us remind peaceful,united and caring to each other let's bare with the headlines for the respect and love we have for senior Dave.tusikilize videos hata kama headlines ziko aje, please kama unapenda senior Dave
Nikoona uyu mzee mapengo cisikii poa,akwende uko
hata. ww utazeeka tu ukue mapengo 😂😂😂😂
Anamchukia coz ya tabia zake sio mapengo jameni😂😂@@SoziSozi2020
Jesus Christ 😂😂😂😂guka wewe utakufa vibaya wewe ,,,,,, mungu singila Dave na damu yako
Baba Kafue Na pia Margret 2rd wife simuonei vizuri that woman
Nyinyi crew wa SD mnanjua kwenye ako. Muwezi kua mkiandika vituko kaa mnafurahia sana. Tupatie SD amatuwasalimie. We want our boy back kindly
Mitume wanasema wasaliti wako kwa hio studio ya Dave na Sio moja ni wengi
Mambo mungu akulinde saana, unafanya kazi nzuri ni kama umeanza hapo kitambo...Mungu awe nawe daima na akulinde sana na mabaya
Good job Wambo n our able DCI Fred lakini your tiltles are wanting do about on that area...Seniour Angels are incharge Divine protection in Jesus .Name
Mmmm me I love the work of wambo vile amejituma keep it up 🎉
Wambu ni mpole sana and very matured she knows how to handle issues
Senior Dave fraternity we salute you guys for the good work that you guys are doing,Also Mr Freddie do not overthink nor disrespect anyone searching for senior Dave,They're doing this because of his good work that you guys aretalking about towards community,we too outside here can join forces to search for him,that doesn't mean we're suspects as you said,it will be pure love bro...our hearts are with you guys.
Upcoming TH-camrs tusaidiane uku pls tukisonga 🎉
Nioitie mimepita apo
@CharityOsebe 3 done
Wambo good job,fred be blessed for the good job
My prayer Dave apatikane the rest itacome later
Baba kafue hajui chochote
God will help Dave.. Ata Mark, ndolo, and other no 1 showing up
Mambo ishaingia kwa serikali but TH-camrs wenzake wamejitolea kumtafuta ulisikia vile pastor na Fred vile waliongea vibaya, yet tunajua serikali inapeleka mambo polepole
The shock in mzee after kuona Dci almost his heart skipped
May God be with SD, Great work DCI and Wambo
Mama kabui wapili ashunguzwe sana
Sisi twajua dave yupo danguro mungu amsaidie
Wapi huko,?
Ndangulo ni wapi... Mungu wangu😢😢
DCI Fred you are a true friend of Senior Dave
Izi headlines zenyu zina sinya,mm nataka Dave ama pia niwakujie uko 😢😢😢am mad
Na boss ya Njeri we need her to be on sport Fred
Huyo boss ya njeri is most questionable about senior dave whereabout.
Kazi poa wambu,smart as usual👍
Keep trusting in God Dave will be fine in Jesus name.
Imgn iie mbio baba Kafue amekuja akajileta kwa kichinjio.
👏👏👏🙏🙏 good job Freddie I really appreciate what you always do
My worries goes to Dave aki, just imagine what he might be in aki,God protect Dave with your precious blood.
Amen
Dave kazi yako njema haijaisha hii dunia so najua Mungu yupo na yy na atajitokea akiwa mzima,he is covered by the blood of Jesus Christ
Nipitite please mimepita apo
Bona msitumie hidden camera when you are interviewed someone
Fred bibi ndio hiyo 😅😅😅😅😅
Akinynyi watu 😅😅😅
@martintom6350 fred ameambia wambu atapata bwana mzuri alafu anasmile...🤣🤣🤣🤣🤣
Dave God be with you our brother. And we believe Our God will fight for us and I pity the wife so called Annite ,she has never show up and even if you two have a problem. She could come in and stand with your employees through this mess . Anyway we learn who she is .
True
Fred si uoe huyu msichana😊
I second you ❤
I saw Freddie anammezea chini ya maji na wanamatch❤ii harusi siwezi kosa
Ni wa dave
@@judithngoie9970 Na annita
Imagine Fred hana hizo tabia aki
Huyu wambui alisanitiziwa na dave alikua analeta mwanaume kwa nyumba bwanake akiwa job
Muache upumbazu zenye na headline za uwongo, I think we are happy😢
Huyu Mzee mupumbafu sana , ata anae ukimui
SDave we shield you with the powerful Blood of Jesus Christ.
Riaga wamegive up na hii mambo ya Dave 😭😭😭😭juu ni kama kuna competition ya mwenye atampata,dave mahali uko may the good God rescue you and we love you😔
Bora watume walisema wasaliti wako hapo kwa studio na mnajifanya vile mnapenda boss wenu
We shield you Dave with the blood of Jesus Christ
God bless you dci Fredrick you are strong dci
Hyu mzee hjui chochote MMA Steve ndie anajua Mambo n dave
Wambu umecheza baya, ungemdanganya camera imezimwa, Tena mtu aanzangi hivo, ungeanza na mambo ya love issues, achia Fredy hio maswali ingine
Weww mzee tunataka our beloved brother
Hii kila mtu anajua kwenye dave Ako na si hvyo hata headlines tumezoea ni ya uongo tu,,mkieka headline ya ukweli tutawatch bado si lazima mueke ya uongo ndo tuwatch
Fred mm nikuamini kazi Yako ni pafect ,,nawe sd mahali uliko Mungu akulide mtoto wetu upatikane ukiwa mzima tungali tunakuombea na tunajua Mungu atateda
Hata hatuwatengemei kupata dave dangulo na wengine wanashungulikua mangaa hizi kazi yenu ni kuandika vituko
Dave ataendewa na kina Riaga
Know how to put hidden camera in case like this dada
Wambui ungejiuza na hio 🎤
Waaa baba kafue unatongozwa live bila chenga ...but ujui kenye utapatana nayo
Mungu awasaidie mpate Kenye mnatafta aki
DCI Fred tricks never fails,kafue kitombi hawezi kosa kuona Wambui msupa
Wamboo doesn't know how to approach somebody
Hizi headlines xenu cjui nani anaandika but anyway may God protect sd whereever he is
Even me am wondering wale ma DCI wote dave amesaindia why can't they come and help this issue
Wueeh huyu mzee aki si ako na mambo yani aridhiki na hao mabibi zake😢😢
Sanitize baba Kafue 's phone, pliz
Wambui umekataa kupea mzae hug..... na ile kitu
Guys nipitieni please 🥹🥹Na tuzidi kuombea DAVE mahali popote alipo Mungu azidi kumlinda na mabaya yote in Jesus name 🙏🙏🙏
Fred wacha kuangusha wazito,ati atapata bwana mzuri na ww uko apo singling
I don't know why many are complaining about headline today, l see it's inorder. Wambui has used her tactics, you know baba kafue is after sex, remember he asked Wambui last time if he can marry him😂😂😂
Pia annita aituwe she may know
Awo wafanyakazi wa SD SIKU HIZI HEADLINES ZOTE NIZAUONGO SIJUI NIUJINGA GANI WAMEPEPA JAMENI SIMUACHE UFALA
Bona unamueka Mike? ungesificha ata kama niwewe ungefichua siri
Sd team saa hii thro team ndangulo tuko macho. Na ngangari.
Team Riaga boys wako kwa mission akh so sad to abducte Dave yet he has saved many souls akh may God guide the whole team of Senior Dave studios
Where did Anita go
Baba kafue.......the 📸 it's not taking you......😂😂😂😂😂😂😂
Headlines can be attractive and appealing without being false and erroneous. This deceiving headlines are a turn off.
Ukweli ndunia kwisha jameni watoto wetu tutawalelea wapi jameni Mzee kama huyu abatane mtoi wamiaka kumi siatalala nayeye juu ako napesa mungu wangu suka Kenya yetu
Mzee Egonga kajileta mwenyewe thanks Wamboi😂😂😂😂
Guys WE need Dave..
Aceni na Baba wa nawake..mze malaya
Dci Wambo ni mschana mzuri anguka nayo
Huyu mzee Kuna kitu mbaya alifanya akiwa mdogo ndio analipiaa😢😢😢😢
True. Perhaps during his work at the DCI?
Curses follow them and their families!!
Wambui no need of mick you alert him on danger
Yan niweng mno tunao humia kuhus dave jmn mung hamlinde tu
Wuyo mzee marya 😂😂😂 but I think her now were deva
God 🙏 help senior dave
Mbona mr Fred anajiweka hixi miwani black hizi zinatisha sana
😂😂😂😂😂😂😂
Hakai vixuri
@@gracekaruga897 maybe anajiona akiwa sawa😅😅😅
If this man is a retired DCI, he must have smelt a rat after being asked when he last talked to senior Dave.
Mnasinya na izo headline zenyu thoooo
God bless you Fred
FRED TRY TO TRUCK EX BOSS NUMBER .KUJUA WHERE SHE IS. AND ARRESTED..
ONE OF THE SUSPECT. YEYE NDIO MARA YA MWISHO ALIKUWA NA SENIOR DAVE,UWENDA NDIO KAWATUMA HAO KIDNNEPERS
Hapo umefeli wambu,, you could have used hidden camera,,he could have been wise and he could have been free na atoe Siri zote
Mnazunguka sana endeeni huyo bibi wa yule mzee alikuwa us mwenye alisanitiziwa lastily
Fred ur doing a good job 🎉
I suspect Baba Kafue. Thanks Fred
Sasa unamuwekea mic mpaka anajua,si mungeweka hidden basi ndio asifeel kama Kuna kitu
Blood of Jesus cover Dave wherever he is
Amen