Marafiki wapo kweli walitusaidia,lakini badae walitugeuka,Nina rafiki pekee ambaye ajabadilika Sana ni mme wangu,🙏🙏🙏tumekosana mala nyingi lakini kiukweli alinitoa mbali,Asante Joel umenifundisha mengi nimefanikiwa Sana kupitia wewe!
Kaka joeli umenikumbusha kitu muhimu sana kwenye maisha nina rafiki ambae sjajua kwanini ananikumbusha nisjisahau haliyakuwa yeye yuko juuu sana kimaisha
“yeah yupo David, respect san bro. umenifanya nizikumbuke nyakati ngumu ambazo Mungu alimtumia huyu kenge na kwa uwepo wake alitumia muda wake kunipa mwongozo on how to escape.” na ikafanikiwa.
Hakika nimejifunza mengi kwako kaka kwanza kabisa namshukuru MUNGU najivunia ni mtu ninaependa rafiki zangu nakujitoa kwa namna nyingi, wapo walioniumiza moyo lkn nilisamehe nakuwafuta maishan mwangu ila hawa watu walionikimbilia kwa hali yoyote sitowasahau kila siku nawaombea Rafiki zangu wa shida na raha Pendo Shoo Fransisca Muhando Amina Matungulu Neema Orest Mr Onesmo Happy Fighter Angel shoo Mungu awakumbuke kujitoa kwangu Kwa hali na Mali Nawapenda sanaaaaaaaa
Daah! Bro umeongea ukwel mtupu nilipatwa na kes kikweli ile kes ningefungwa mm ndugu hata wazaz wa damu walisimama kumtetea mshitaki wangu na kunihukumu kuwa mkosaji lakin bamdogo mmja tu na mke wake ndo walikua upande wangu na walinisaidia mpka ile kes nikaishinda mungu akubariki umekua mwalimu wangu sanaa
Asante saana Brother kwa somo zuri la marafiki, aiseee nikisemaa niwatajee siwezi kumaliza maaana ni wengi saana walihusika kwenye safari yangu ya Maisha, Mungu akubarikii Mr.Joel
Broo me nina rafiki mpaka kila mtu anajua ndugu yangu kumbe ni rafiki yangu tu tumekuwa wote,kwenye shida na raha ananisaidia pale ninapokwama,anasimama na mm kuliko hata ndugu zangu wa damu I will appreciate my friend
Asante sn nimejifunza sn na pia namshukuru mungu nimeshawahi kukutana na rafiki mmoja mwenye hizo sifa zote tano na baada ya kukusikiza na kupata faida kutoka kwako nitajitahidi nisimpoteze kwasbb ni hazina kwangu . Asante sn kwa faida
Nashukuru sana kaka kwa hilo somo ni marachache sana kupata rfk mwenye sifa kama hizo ulizozitaja marafiki wengi unaweza jitolea kumusaidia kila jambo ila baada ya kumsaidia anakuwa adui wako kwa kusikiliza maneno ya watu na wengine ni marafiki wanafiki anakushauri mambo mabaya ikijatokea ukaharibikiwa anakukana na kukukataa tena kipindi mkiwa marafiki ulikuwa unamsaidia kila jambo kweli shukrani ya punda ni mateke ...
Daaah ubarikiwe sana umenigusa point zote 5 ,kila ninaemsaidia tunakuwa maadui zangu hadi naamini nimeumbwa kusaidia tuu tosha ,bora salama na siwachukii
shukran sana broo nimejifunza vitu vingi sana tokea nimeanza kukufatilia yote niliyojifunza kwako nimeyafanyia kazi na maisha yang yamebadilika sana na pia mwaka 2021 kuna rafiki yang alinivusha kweny mtihani mzito kdg kwahyo namshukuru sana na siwez kumsahau🙏bro Mungu akubariki sana unafanya kazi nzuri sana🙏na nakuaidi mwaka huu nitasoma vitabu vyako vyote🙏aisee broo unakipaji kizuri sana🙏
Mwl. Joel, ni kweli sema sasa kuna wengine ni wale uliotuambia kwamba: "ni km kina Simon Mkirene yn akishamaliza jukumu lake la kukusaidia basi haonekani tena"
Asante sana Kaka kwa kutuelimisha kilia siku ningependa kama unanyumba ujaweka tiles nambie nije hata nifanye shukurani kwa kile unacho tufundisha kika siku kweli napata mafanikio kupitia wewe ubarikiwe sana Kaka JOELI
"Asant Kak hizo ain zote 5 rafik ang ndo alivo na namshukru Mung kunikutanish nae amekua zaidi ya ndugu nitajitahid nije krudish wema na upendo kwake sito msahaa kabis
Nishasaidia Sana mwisho wa siku nikaonekana mbaya nikajitafakali nikapata jibu Kuna mtu kazi yake anawafwata jamaa zangu anachonganisha nikawambia malipo hapa2 nashukuru nilifatilia kilipu zako mwaka 3 nimebalisha marafiki na mifumo yote
Kaka nakufatilia sana masomo yako,ila naomba unishauri,mimi nafanya kazi za garden,napenda sana maua,napenda sana kutunza garden,nimelimbikiza pesa mpaka nimenunua mashine ya kukata majani,je nifanyaje niweze kufanikiwa zaidi?
Kaka, Ahsante kwa chakula cha moyo na akili🙏🏽 Nilikuwa na rafiki ulikuwa wa muda mrefu takribani miaka 4, nikaona isiwe swala la kupoteza urafiki wetu nikaamua kumuomba mahusiano ya dhati ili tuwe pamoja lakini akakaaaaataaa. Nikatafuta mchumba kwa bahti nzuri akawa na uajuzito wangu baada ya hapo rafiki yangu alipo gundua aliumia sana na akili sanaa😭 Sasa wakti mchumba wangu kajifungua nikapata matatizo kazini nusu kufungwa, ndipo rafiki yangu akanisaidia kwa 95%na kunifariji pia tukaingia kwenye wimbi la mapenzi kipindi niko kwenye shida. Sasa nia yake baada ya kumsaidia anahitaji nimuoe je nifanyeje? Naomba msaada kaka 🧎🏽
Thank you
Dr. Joel Nanauka
Somo limenijenga kitu MUHIMU SANA SANA
Kidunia ya Léo kila alokutendea wema huyo ndie utakayemlipa kwa ubaya . Mungu wangu weeee !!!
Marafiki wapo kweli walitusaidia,lakini badae walitugeuka,Nina rafiki pekee ambaye ajabadilika Sana ni mme wangu,🙏🙏🙏tumekosana mala nyingi lakini kiukweli alinitoa mbali,Asante Joel umenifundisha mengi nimefanikiwa Sana kupitia wewe!
Jambo la msingi..
Tusijione tumekua wa thamani zaidi tukipga hatua za mafanikio
Kaka joeli umenikumbusha kitu muhimu sana kwenye maisha nina rafiki ambae sjajua kwanini ananikumbusha nisjisahau haliyakuwa yeye yuko juuu sana kimaisha
MUNGU akamilishe kusudi aliloweka ndani yako mafundisho Haya Ni zaidi ya Fedha na Dhahabu (Zaburi 86:17)
God bless you abundantly Dr Joel nanauka WEWE NI ZAWADI ya Mungu kwangu na WATANZANIA WOTE na HAZINA na BARAKA WA AFRIKA
“yeah yupo David, respect san bro. umenifanya nizikumbuke nyakati ngumu ambazo Mungu alimtumia huyu kenge na kwa uwepo wake alitumia muda wake kunipa mwongozo on how to escape.” na ikafanikiwa.
Hakika nimejifunza mengi kwako kaka kwanza kabisa namshukuru MUNGU najivunia ni mtu ninaependa rafiki zangu nakujitoa kwa namna nyingi, wapo walioniumiza moyo lkn nilisamehe nakuwafuta maishan mwangu ila hawa watu walionikimbilia kwa hali yoyote sitowasahau kila siku nawaombea Rafiki zangu wa shida na raha Pendo Shoo
Fransisca Muhando Amina Matungulu Neema Orest Mr Onesmo Happy Fighter Angel shoo Mungu awakumbuke kujitoa kwangu Kwa hali na Mali Nawapenda sanaaaaaaaa
Kamwe kamwe sitamsahau dada Rose Kesy (mama Glory) mwaka 1992 alinivusha katika dhiki kubwa na akanishika mkono bila kuhitaji chochote.
Your the best mara nyingi nakufuatilia sana na nimepata mafanikio makubwa kupitia ww Godbless you and remain at the top
Joel nananuka nakwambia mambo yako nimatamu naskizia kutokea hapa isiolo Kenya
Daah! Bro umeongea ukwel mtupu nilipatwa na kes kikweli ile kes ningefungwa mm ndugu hata wazaz wa damu walisimama kumtetea mshitaki wangu na kunihukumu kuwa mkosaji lakin bamdogo mmja tu na mke wake ndo walikua upande wangu na walinisaidia mpka ile kes nikaishinda mungu akubariki umekua mwalimu wangu sanaa
Kweli kabisa na Mkumbuka Rafiki yangu Simon
Pia na mjomba yangu Abedi walinishika mkono kila kipindi Nilikuwa nahitaji msaada
Asante saana Brother kwa somo zuri la marafiki, aiseee nikisemaa niwatajee siwezi kumaliza maaana ni wengi saana walihusika kwenye safari yangu ya Maisha, Mungu akubarikii Mr.Joel
Mungu azidi kukupa maono juu ya mafundisho ya maisha kwa ujumla. Hongera sana Mkuu
Zidi tu kubarikiwa kaka na Mungu azidi kukutunza zaidi maana toka nilipoanza kukufuatilia katika masomo yako nimekuwa na amani sana
Kuna rafiki mmoja sitoweza kumsahau alinisaidia kipindi nataka kutoroka jeshini,nikabadili nia yangu
Laula, Hashim hao walinishika mkono aisee mungu azidi kuwakumbuka
Broo me nina rafiki mpaka kila mtu anajua ndugu yangu kumbe ni rafiki yangu tu tumekuwa wote,kwenye shida na raha ananisaidia pale ninapokwama,anasimama na mm kuliko hata ndugu zangu wa damu I will appreciate my friend
Nilikytana narafiki yangu rehma aliniokoa na tulifanikiwa,lakini pia familia yangu waliniinua kwa kiasi kikubwa kwa sasa nipo safi namshukuru mungu.
Yarab Mungu
Nikutanishe na Mr JOEL NANAUKA
Ukwli kakangu
Alhamdulillah, rafiki zangu wengi naona wameingia Kwenye sifa ulizozitaja . Thanks Author Joel N
Asante sn nimejifunza sn na pia namshukuru mungu nimeshawahi kukutana na rafiki mmoja mwenye hizo sifa zote tano na baada ya kukusikiza na kupata faida kutoka kwako nitajitahidi nisimpoteze kwasbb ni hazina kwangu .
Asante sn kwa faida
thanks bro
Hongera sana kaka kwa mafundisho mazuri ,,yani haya hayapo darasani ila ni ya Muhimu sana ,,Mungu akuinue katika viwango vya juu,, asante mno
Nashukuru sana kaka kwa hilo somo ni marachache sana kupata rfk mwenye sifa kama hizo ulizozitaja marafiki wengi unaweza jitolea kumusaidia kila jambo ila baada ya kumsaidia anakuwa adui wako kwa kusikiliza maneno ya watu na wengine ni marafiki wanafiki anakushauri mambo mabaya ikijatokea ukaharibikiwa anakukana na kukukataa tena kipindi mkiwa marafiki ulikuwa unamsaidia kila jambo kweli shukrani ya punda ni mateke ...
Já encontrei esse tipo de amigo até hoje nunca esquece deles. Muito obrigado Deus abençoe
Ahsante kwa somo hili Mwalimu. WEWE ni MTEULE #You HERO# 🥋🥊👉🥇🏆
Daaah ubarikiwe sana umenigusa point zote 5 ,kila ninaemsaidia tunakuwa maadui zangu hadi naamini nimeumbwa kusaidia tuu tosha ,bora salama na siwachukii
Hao watu kama niliwasahau na hatimae baada ya kusikiliza ujumbe wako nikaamua kuwatafuta, je kama nao watakuwa hawana mda na mm tena inakuwaje sasa!!
Nikweli kabisa Kuna ndg wametutafutia maisha hasa kazi lakn tumewasahau na cm hatuwapigii hii mbaya sanaaa
Asante Sana kaka wewe ni mtu na nusu umenigusa Sana🙏
shukran sana broo nimejifunza vitu vingi sana tokea nimeanza kukufatilia yote niliyojifunza kwako nimeyafanyia kazi na maisha yang yamebadilika sana na pia mwaka 2021 kuna rafiki yang alinivusha kweny mtihani mzito kdg kwahyo namshukuru sana na siwez kumsahau🙏bro Mungu akubariki sana unafanya kazi nzuri sana🙏na nakuaidi mwaka huu nitasoma vitabu vyako vyote🙏aisee broo unakipaji kizuri sana🙏
Shukran Ndugu Nanauka Joel 📚📚📚📚 Mawaida mazuri 🎙️ tunakupenda kaka ...............
Marafiki wazuri tuna wakumbuka milele na hatuta wasahau
Shukran Ndugu Nan marafiki wetu tunawajua tu kamwe hatutawasahau pamoja nao,tunawatakia mema Maishani na siku, nyingi 📚📚 🎙️........
Nimehis nadondokwa na machozi kutokana na kwamba umenifanya nakumbuka mbali
Ishi ishi ishi tena na tena nanauka joel
Very touching bro nashukuru sana
Hili neno Kali mkuu
Mwl. Joel, ni kweli sema sasa kuna wengine ni wale uliotuambia kwamba: "ni km kina Simon Mkirene yn akishamaliza jukumu lake la kukusaidia basi haonekani tena"
Asante Sana brother lakn marafiki hao saiz ni ngum kupatikana
Barikiwa Sana siwezi sahau marafiki zangu walio nipokea nilipokosa Maali pakulala wakanihifadhi
Mr and Mrs Temu
Mr and Mrs Kwayu
MrTawqul and Family(Lindi)Mungu awabariki sana
Mwalim you always unatupa elimu chanya nayenye manfaaa saana ktka maisha haya
Nimekus jamaa angu meja niliugua ukanisaidia sana Mungu anisaidie nikukumbuke kwa kitu
Muangu aendelee Kukutunza kila Wakati
Wanaadamuni 👽👽👽👽👽👽👽
Ahsantee saana kaka
Nime jifunza kaka
Najifunza mengi sana kutoka kwako mwalimu,na bahadhi nimefanikiwa,asante sana
Nikweli kabisa, asante sana kutu kumbusha, Mungu akubariki baba ❤❤❤❤❤
Ubarikiwe...MUNGU akutunze.
Thanks my Bro ni kweliii,shukrani kwa CZ
Asante sana brother, unajua sana ku coach about life
Asante sana Kaka kwa kutuelimisha kilia siku ningependa kama unanyumba ujaweka tiles nambie nije hata nifanye shukurani kwa kile unacho tufundisha kika siku kweli napata mafanikio kupitia wewe ubarikiwe sana Kaka JOELI
"Asant Kak hizo ain zote 5 rafik ang ndo alivo na namshukru Mung kunikutanish nae amekua zaidi ya ndugu nitajitahid nije krudish wema na upendo kwake sito msahaa kabis
Nishasaidia Sana mwisho wa siku nikaonekana mbaya nikajitafakali nikapata jibu Kuna mtu kazi yake anawafwata jamaa zangu anachonganisha nikawambia malipo hapa2 nashukuru nilifatilia kilipu zako mwaka 3 nimebalisha marafiki na mifumo yote
Nashukuru sana kaka kwa mafundisho yako kwa maana pia hii inanifundisha niwe mtu wa aina gani kwa watu wangu wa karibu
Sina rafiki kabisa
Mbna me sina jaman hyo unayosema yooote mm nlfanyia wenzangu ila mm sjawah kufanyiwa me sna rafiki kwanza
Thnks but vipi ntaachaa uvivu I need to know please
Asante sana kaka mkubwa
good brother joel
Asante Sana kaka Joel Mungu akubariki
Duh me aiseh aina ya kwanza tu hiyo inanihusu
Ahsante sana kaka Joel. Mungu akubariki sana sana
Bro ubarikiwe kwa ujumbe mzuri
Nakushkuru Sanaaaa Kakaangu Unanifundisha Vingi Mnooo🙏🙏🙏🙏
Sijawahi kukutana na rafikihyo ila yupo ambay nilikubali kuonekana mbaya kwajiliyake na mengi lakn namuhis kabadilika mnoo kwasasa juuyangu
Shukran sana broo kwakwel nimejifunza kitu kupitia mafundisho yako barikiwa sana
Dah!!
kazi nzur Mr. joel
Nilkua nae rafik wa aina hio na alkia s sifa zte ulizozielezea kwa kwel swez kumsahau
Asante sana brother
Asante sana my brother from another mother
Dah umeongea ukweli bro
Umenigusa saaanaa. God bless you.
Asante kwa somo zuri.
Ahsante sana kaka Joel
Shukrani
Asante kaka najifunza zaidi
Asante , elimu nzuri
My friends Godfrey mbongo, Charles mbata,Mudhihiri ngorome,Duda, Henry mbata, Robin malanda ♥️ Ahsante kaka Joel kwa darasa
Nikweli kabisa
Asante Sana kaka
Asante
Somo nzuri kaka
Ila yote kwa yote ninao watu nilitoka nao mbali.
nmekubal kak
Kaka nakufatilia sana masomo yako,ila naomba unishauri,mimi nafanya kazi za garden,napenda sana maua,napenda sana kutunza garden,nimelimbikiza pesa mpaka nimenunua mashine ya kukata majani,je nifanyaje niweze kufanikiwa zaidi?
Good
Hahaha, Rafiki ( M) unajua ulichonifanyia kimeniponya
Kaka,
Ahsante kwa chakula cha moyo na akili🙏🏽
Nilikuwa na rafiki ulikuwa wa muda mrefu takribani miaka 4, nikaona isiwe swala la kupoteza urafiki wetu nikaamua kumuomba mahusiano ya dhati ili tuwe pamoja lakini akakaaaaataaa.
Nikatafuta mchumba kwa bahti nzuri akawa na uajuzito wangu baada ya hapo rafiki yangu alipo gundua aliumia sana na akili sanaa😭
Sasa wakti mchumba wangu kajifungua nikapata matatizo kazini nusu kufungwa, ndipo rafiki yangu akanisaidia kwa 95%na kunifariji pia tukaingia kwenye wimbi la mapenzi kipindi niko kwenye shida.
Sasa nia yake baada ya kumsaidia anahitaji nimuoe je nifanyeje?
Naomba msaada kaka 🧎🏽
Alinsaidia nilpokua nalia siku ya kwanza kuenda boarding
🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
❤️❤️❤️💞💞💞💞💞
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
🙏🙏❤️❤️❤️🌹🌹🔥🔥🔥💝💝💝
Nilisaidiwa wakati ninakosa ada Nokia kidato cha pili
💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝
bbnn