The Golden Vocals Ministry - Close to Thee || Makambi Mwenge 2024 || Nitakwenda na Familia Yangu.
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 11 ก.พ. 2025
- #NitakwendanaFamiliaYangu
#MakambimtaawaMwenge2024
#sikuyakwanza
#MchSamuelMwaniki
#MchRahisiMande
#NitakwendaKujihusisha
#JihusisheYesuAnakuja
Karibu Katika Makambi Mtaa wa Mwenge 2024 28.07.2024. Siku ya kwanza
Ukiwa na swali, uhitaji wa maombi, ubatizo wasiliana na Mchungaji kwa namba +255 677 048 069 au +255 784 458 957.
Kama una ushauri usisite kutuma kwa namba +255 713 343 939 au barua pepe live@mwengesdachurch.or.tz.
Tunapenda kukujulisha kupitia channel hii, kuna vipindi mubashara mbalimbali kila siku jioni kama; Ongeza Ujuzi, Afya ni Mtaji, Kona ya Watoto, Lijue Kanisa na Ibada mbalimbali na maombi.
Karibu ku-SUBSCRIBE ili uwe sehemu ya wengi wanaobarikiwa: bit.ly/SUBSCRI..., watumie na marafiki pia.
Karibu pia kutembelea tovuti yetu: www.mwengesdachurch.or.tz
Mungu akubariki.