Hibi bitoto habikukuwa na Akili ya muziki, hilikuwa ni njala na kutafuta njia za kuteka banamuke tu. Musanii hana wake watatu hata hicho kipaji kweli kitakaa ? Nasikia makala yamepanda bei, je hatafikia je muziki huku mdoa tatu zinaitaji mifuko tatu ya mkaa, ndomana nilihambiaga rafiki yangu akuna mziki kule ni njaa tu ya ba garçons, muziki ukuwaki nataka mutu wa mawazo mengimengi
😅😅😅 hapo ni kwa watu wenye MB naona, lakini inategemeana na mada zilizopo maana mtangazaji anatakiwa kuuliza maswali kadri ya maandalizi yake na kipindi kinaweza kurefuka kwa kutegemeana na muhojiwa na mda zikiwa sawa ahina haja ya kuhesabu dakika 😀😀😀
Babangu kama babangu❤️💪💪
Naona mwili umekuja 😅 Jackson
Huyo jama anajua mambo ya ndoa
Jackson wa kizazi kipya 😃 😃 😃 nice
Comedi is the best
Umesema kweli kabisa Jackson
Tunahisubiri kwahamu sana hiyoooooh kweli kbs kama Mimi ni mshabiki wako wa comedi
❤❤
Napenda the way mnavyo fanya exclusive zako Alexander pia na yule chali hanaue kuojigi pia.
Mnaoji vema wana.
Congratulations 🎊
Alexandre Na WW Howa sasa
Congratulations 🎊
🗣️🤌 Jackson wakizazi kpy 🇹🇿🇹🇿
Kingine sanaha imeshuka ni kulikoni kutoa hits songs wao wamekalia kicks
Hongeren
Izo point za Jack nime zipatia 🌸🌻
mm wa kwanza
mmm
Vema sana kaka mkubwa
😅😅😅😅daaah
Bro Siyo ivyo sana bro
Safi sana bro✌️🔥
Kwa mziki wa hapa nyumbani wapi nyarugusu au congo ?
Itakua wew aukupita ubaoni kbs😂😂😂😂
Mziki wa nyumbani BURUNDI 🇧🇮
Wa kelwaminwa na tambwe Jackson ongera sana
Kwaza wewe auna kitu wewe
Kuusu Tamaa kimziki umeongea kk
Hibi bitoto habikukuwa na Akili ya muziki, hilikuwa ni njala na kutafuta njia za kuteka banamuke tu.
Musanii hana wake watatu hata hicho kipaji kweli kitakaa ? Nasikia makala yamepanda bei, je hatafikia je muziki huku mdoa tatu zinaitaji mifuko tatu ya mkaa, ndomana nilihambiaga rafiki yangu akuna mziki kule ni njaa tu ya ba garçons, muziki ukuwaki nataka mutu wa mawazo mengimengi
😂😂😂😂😂
Kweli kali kabisa
Unasema kweli wanavamia tu
❤
Alexander jitaidi kupunguza mda wako wa maojiano kwakua dakika 37 ninyngi sana mgeanza kutuwekea dakika 15 tu Zina Tosha Asante sana kwauelewa wenu
😅😅😅 hapo ni kwa watu wenye MB naona, lakini inategemeana na mada zilizopo maana mtangazaji anatakiwa kuuliza maswali kadri ya maandalizi yake na kipindi kinaweza kurefuka kwa kutegemeana na muhojiwa na mda zikiwa sawa ahina haja ya kuhesabu dakika 😀😀😀
Msie na bandle mtupishe 😂😂
Seen
Janson amebowa sasa kasema follow ajuwi kuimba amenikwanza mm si mchabiki wake tena
Kwani follow anajua kuimba abijui tu😂😂😂😂🤣🤣🤣
@@starwakitaani nyokokonyokonyoko nimekuandikiya weye bro
Kyiiiiii niatari kweli 😂😂😂
😏😏😏😏😏😏😏😏😏
Comedy ishamshinda uyo 😂😂
Dalili za Jackson kupotea naziona,,
Wewe huko kweny Mziki hapakufai hata kidogo.
Acha bange
P I
Wewe ongeya vyokwako tu bro Siyo kuongeya kuponda wezako wewe
Sio kuponda anaongea kweli bro 😀😀❤️❤️❤️
@@starwakitaani Sindo
Ukweli usemwa bwana 😂😂😂
😂😂😂🤣
una post vya dakika 35 why lkn 😂😂😂