SAVIOUR!!!RHODHA AMEFANYWA KUWA BŮBŮ BAADA YA KUKATAA TRACY ASIWEZE KUTUMIWA PESA ZAKE NA COLLINS

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 101

  • @LomenMercy-n2q
    @LomenMercy-n2q 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    All in all doc Ako side ya trecy

  • @OmanOman-y7z
    @OmanOman-y7z วันที่ผ่านมา +5

    Sasa uyo aliekomaa kama chuma anagagania cm ya kwake kama mjinga uyo afanyiwe mpaka auze iyo nyumba apewa uyo msichana pesa zake Jamani tunaumia ukuu alafu mtu azile Tu pesa za bule 😢😢😢

  • @MaryMbogho
    @MaryMbogho วันที่ผ่านมา +3

    angefanyiwa miguu ya ngombe ndio hata hiyo nyumba iuzwe pesa ya Tracy irudi yote

  • @kamikazisalma5209
    @kamikazisalma5209 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Akuwe bubu wazimu kweli mana anamndomo kama kasuku 🦜🦜🦜😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @HappynessJose
      @HappynessJose 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Anajifanya kuongea na pesa kajengewa nyumba ata hana huruma

  • @eunicemwongeli9066
    @eunicemwongeli9066 วันที่ผ่านมา +2

    Good job daktari maombi 🙏 yangu mungu kajibu nilikua nasema kutoka mwanzo afanywe bubu Ako na mouthing saana ata Io nyumba amejenga Daktari Fanya Ile kitu au sio 🤣🤣

  • @MercyNadia-o1k
    @MercyNadia-o1k 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    🎉🎉🎉🎉good job 👏 👍 rodah aache kiherehere mbaya sana 😢

  • @Elizandungeub
    @Elizandungeub 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Tracy atumiwe pesa yke ndo daktari fanya kazi yke

  • @RuthLateipa
    @RuthLateipa 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Yani nimependa dakitari hako tu mpole ❤❤❤❤

  • @kamikazisalma5209
    @kamikazisalma5209 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Daktari mkali nikiboko 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @CeliyKilobi
    @CeliyKilobi 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    dr huyu awekewe pembe na mkia ako na kiburi sana

  • @muhammadmuhammad5043
    @muhammadmuhammad5043 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Daktari Fanya Mambo Yako Usihauri Huyo Mwanamke Weka Kiwete Zibe Kilakitu

  • @UsilaChepchumba
    @UsilaChepchumba วันที่ผ่านมา

    Congratulation doc.aty watoi pesa.kwa.na.doc.ako simj walaii hii onapamba🎉🎉

  • @SophiaMbogo-in7yt
    @SophiaMbogo-in7yt 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mungu wangu makubwa 😢😢😢

  • @EdnahKemunto-w4g
    @EdnahKemunto-w4g 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    After kutuma pesa awapeleke hadi mahali amebuy shamba na nyumba muuze coz hizo pesa zi sake

  • @Elizandungeub
    @Elizandungeub 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Good job daktari

  • @NosiataDfd-k5g
    @NosiataDfd-k5g 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Daktri na kukubali kabisa mungu akubariki kwa kumusaidia huyo msichana aky apate pesa yake

  • @Josephinelatin
    @Josephinelatin 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hiyo mdomo yako mama ndio itafungwa wooow daktari kazi fity sana pesa ni moto

  • @TwinomujuniShani
    @TwinomujuniShani 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Keekeee ohhhh weeeee roda kwisha

  • @JanetKenyatta
    @JanetKenyatta วันที่ผ่านมา +1

    Mbona anakwamilia cmu na arisema watu wa saodi wanauriwa juu ya wanaume wawenyewe c apeane cmu juu uyo akuriwa akure chasho Lake 😢😢😢

  • @mercybrian4021
    @mercybrian4021 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pesa ashapewa 😢😢yawa toa uyo mama

  • @SheilaSheila-z7d
    @SheilaSheila-z7d 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    🤸🤸🤸asande sana kwa daktari

  • @EdinabosireDina
    @EdinabosireDina วันที่ผ่านมา +1

    Hivo huyo ako n ujinga sana pesa s zake n nyumba watausha pia yy yake n badae

  • @MiriamCherotich-j7f
    @MiriamCherotich-j7f 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyo mkisii awekwe minguu za ngombe anajiskia Sana na pesa za wenyewe ajui ni Qatar KAZI ni hard

  • @ساليبولندا
    @ساليبولندا 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Dagitar😂😂😂😂❤❤❤❤hapo.hapo😂😂😂

  • @haluarahma3071
    @haluarahma3071 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Roda Wacha kiherehere ATI ukufe ajili ya pesa ambayo Si Yako mjinga San, alafu huyu mama auliwe aki maana ni aibu san😂😂😂😂

  • @NosiataDfd-k5g
    @NosiataDfd-k5g 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Next iko wapi jemeni

  • @perisnelima-q8p
    @perisnelima-q8p 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hapo sasa

  • @perisnelima-q8p
    @perisnelima-q8p 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu ni true doc

  • @RizikiNyamata
    @RizikiNyamata 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Uyu Rhoda mbn akatae na pesa ya mwingine

  • @MremMremm-qe6xd
    @MremMremm-qe6xd 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Rhoda nyumba ,shamba arudishe na pesa pia atoe nuguu huyo si aende gulf afanye kaxi pia

  • @fayzkambagalentertaiment
    @fayzkambagalentertaiment 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Peana ndoo mama na huende ufanye kazi utafute zako sio kukatalia pesa ya wenye haitakusaindia

  • @Saud-o9i
    @Saud-o9i 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Aki musichana apate hakiyaki mukijua vyenye tunachoka uku

  • @fayzkambagalentertaiment
    @fayzkambagalentertaiment 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Atleast juu uyu mwanàmke ako na mdomo kama angefanywa hivo angetulia uyu anajua vile wasichana wanateseka wakiwa saudi ata hana haya

  • @PaulineMwaura-j6u
    @PaulineMwaura-j6u 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu rodha anataka tu pesa ya mwanaume

  • @dorothykerubo5862
    @dorothykerubo5862 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyo mkisii mwesangu ako na ujinga sana watoe sasa yote

  • @LadykenyaNandigaa-eh9hi
    @LadykenyaNandigaa-eh9hi 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wee rhoda si mlikula pesa ya wenyewe na bwanako

  • @VictoriaWambua-dc1ym
    @VictoriaWambua-dc1ym 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Hawa Kwan wamelala apa

    • @mercybrian4021
      @mercybrian4021 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Help me ask them 😢

  • @HappynessJose
    @HappynessJose วันที่ผ่านมา +1

    Nivinzuri sana mbona anakataria pesa ya wenyewe na hiyo nyumba kama akitumiwa pesa lazma wampe nyumba yake huyo nje tunapitia shinda sana

    • @Roseynyabs
      @Roseynyabs วันที่ผ่านมา +1

      Nipitie pia sweee ❤️

    • @HappynessJose
      @HappynessJose วันที่ผ่านมา

      @@Roseynyabs nahangaika npo 🇴🇲

  • @nakyejwemargie6551
    @nakyejwemargie6551 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    but that woman with pere pere yake no manners

  • @sharonnekesa6509
    @sharonnekesa6509 วันที่ผ่านมา

    Waiting

  • @ZippyLove-xs1ry
    @ZippyLove-xs1ry 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu mkisii mdomo kaya na mzee kuliko collins

  • @NosiataDfd-k5g
    @NosiataDfd-k5g 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ndio daktri amusaidie huyo msichana apate pesa yake

  • @phanicenyaboke
    @phanicenyaboke 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😂😂😂aki daktari kumbe pia nyi mnapitua

  • @SharunAa
    @SharunAa วันที่ผ่านมา

    Juu ya pesa ndio ako n..., mdomo😂😂😂

  • @hannahwanjirumwangi6438
    @hannahwanjirumwangi6438 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu dem anakatalia doo za mwenyewe kama nani surely s afanyiwe ile kitu pia yeye ona nugu ya mtu akii

  • @gozakoth8466
    @gozakoth8466 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu kijana ni mdogo lakini ameos mama tena akona nyanya

  • @mercybrian4021
    @mercybrian4021 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Walilala apa 😂😂😢

  • @felistajilala3630
    @felistajilala3630 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pesa zikienda hata ita bwana hapo anaita bwana sababu anapesa😂

  • @DiscoCell-n6v
    @DiscoCell-n6v 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    👍👍👍👍👍👍

  • @lanahaddadin6502
    @lanahaddadin6502 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mambo ni yelele

  • @jacklinenyaboke4442
    @jacklinenyaboke4442 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ak si mnisaidie number ya dakitari

  • @ChristineArumba
    @ChristineArumba 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hawekewe miguu ya ngo'mbe

  • @MaryMbogho
    @MaryMbogho วันที่ผ่านมา

    pia nyumba iuzwe huyo mwanamke mjinga sana

  • @gozakoth8466
    @gozakoth8466 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu Bibi ni waximu ana skili beans mwenyewe ndio hio

  • @RuthLateipa
    @RuthLateipa 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu jibibi ni matako sanaaa 😏😏😏😏

  • @Sarah-iw6cg
    @Sarah-iw6cg 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Akue bubu wazimu😂😂😂😂😂😂 ata mm nataka kama daktari😅

  • @ghb7401
    @ghb7401 วันที่ผ่านมา

    😅😅😅 that's good for you Rhodha

  • @SharunAa
    @SharunAa วันที่ผ่านมา

    Huyu bibi...muwekia...minguu..y...,Ngombe pleas😂😂😂

  • @NduwimanaAmina-io2cf
    @NduwimanaAmina-io2cf 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mukumbuke. Kama. Amesema. Amemupapesa. Aka. Jenganyumbakwawo. Akanunuwashamba. Kwaizopesa.

  • @manjumamanju-u4v
    @manjumamanju-u4v 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nikitaka kumpata nitampata vp dakitari

  • @SurprisedBirdBath-qh2nn
    @SurprisedBirdBath-qh2nn วันที่ผ่านมา

    Hyo mwanamke munono ako na umavi pesa ni zake xx ako na mdomo hpo

  • @joobmohammed2116
    @joobmohammed2116 วันที่ผ่านมา

    huyu mwamamke ako na kiburi sana daktari fanya jambo and ataki mwingine ataki arudishiwe pesa na walikula pamoja

  • @MaryMbogho
    @MaryMbogho วันที่ผ่านมา

    mbona a naumwa na pesa sio yake shame on her

  • @Thalia.priyanka
    @Thalia.priyanka 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    angie ninashida nanitaka unisaidie

  • @gozakoth8466
    @gozakoth8466 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mdomo mzefu na pesa si yako

  • @mercybrian4021
    @mercybrian4021 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😂😂😂 anyway 😹😹😹 munajua ku act

  • @AishaElizabeth-j6h
    @AishaElizabeth-j6h 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂😂Roddah Roddah😮😅😅😅😅😅

  • @adhiambolaureen1898
    @adhiambolaureen1898 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu mwanamke ni mkumbavu sana,yaani anakwamilia pesa sio zake....waende wauze shamba pia

  • @webbryr5568
    @webbryr5568 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😆😆😆😆😆😆🇸🇦🇸🇦👍👍👍🤣🤣🤣🤣

  • @TwinomujuniShani
    @TwinomujuniShani 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Dakitari roda anakuliza kiywa yake inakuwa nini

  • @yasinyasalam3713
    @yasinyasalam3713 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Bubu fresh 😂😂😂😂😂😂

  • @PaulineNduta-i5y
    @PaulineNduta-i5y วันที่ผ่านมา

    Huyu wife ni mchanja ati asaidie mamake ju anajua wote watatoka😅😅😅

    • @MagdaleneMaingi-p7c
      @MagdaleneMaingi-p7c 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wanaeza toanishwa na kijana atengenezwe aangaike

  • @Moruridorine
    @Moruridorine 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Rodah ako na Collins juu ya pesa c mapenzi na amekalia huyu kijana kabisa

    • @mercybrian4021
      @mercybrian4021 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Nops both anampenda tena sana

  • @SharunAa
    @SharunAa วันที่ผ่านมา

    Mdomo mdomo mdomo roda 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @TwinomujuniShani
    @TwinomujuniShani 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂😂ohhhh weeeee bubu

  • @MremMremm-qe6xd
    @MremMremm-qe6xd 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Na ako na sura mbaya mwili mkubwa

    • @muhammadmuhammad5043
      @muhammadmuhammad5043 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ndio Kija Akamkimbia Akenda Kwa Nyanya Huyo Alikuwa Hampei Vizuri Akafurahi 😂😂😂😂

  • @MamrF-v9v
    @MamrF-v9v 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😂😂😂😂 dactari nakuaminia

  • @ruthruth9969
    @ruthruth9969 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kataria 😅😅😅😅😅😅

  • @yasinyasalam3713
    @yasinyasalam3713 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😂😂😂 kimemramba 🫢🫢🫢

  • @ساليبولندا
    @ساليبولندا 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂😂😂dagitar😂😂😂😂❤❤❤namupend😂😂😂😂😂❤❤❤hapohapo😂😂😂❤❤❤❤

  • @MemeAch-be1pt
    @MemeAch-be1pt วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂😂Aki dakitari

  • @TwinomujuniShani
    @TwinomujuniShani 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wamuweke bubu

  • @EhrustineZ
    @EhrustineZ วันที่ผ่านมา

    🤔🤔🤔🤔🤔

  • @MremMremm-qe6xd
    @MremMremm-qe6xd 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂😂uuuu

  • @CecileMauwa
    @CecileMauwa 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @PaulinemokeiraarasaPauli-jc7et
    @PaulinemokeiraarasaPauli-jc7et 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😊😊

  • @AnetaR-n4f
    @AnetaR-n4f วันที่ผ่านมา

    😂😂😂

  • @joobmohammed2116
    @joobmohammed2116 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂

  • @YvoneMuthini
    @YvoneMuthini วันที่ผ่านมา

    😂😂

  • @meldah3386
    @meldah3386 วันที่ผ่านมา

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @annette4656
    @annette4656 วันที่ผ่านมา

    Bubu😂😂😂

  • @aliceondimu3369
    @aliceondimu3369 วันที่ผ่านมา

    Wewe umenunua plot na umejenga pesa za trecy

    • @EdinabosireDina
      @EdinabosireDina 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Plot lazima atausha 😂😂😂😂😂😂 kesho n yy