#LIVE
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025
- Karibu katika Ibada ya Siku 10 za Maombi, zikikujia Live kutokea Kanisa la Waadventista Wa Sabato Kirumba, ungana nasi katika tafakari ya neno la Mungu, Masomo maalumu ya Familia na Uhusiano, pamoja na Maombi.
WATCH HOPE CHANNEL TANZANIA📺
AZAM - 466 | ZUKU -870
Follow Us On:
INSTAGRAM: / hopechanneltz || /awrtz
X : / hopechanneltz
FACEBOOK: / hopechanneltz
Mungu akubariki pastor🙏
Nyimbo tamu sana mungu alitenda awali ndio anatenda hata sahuu mungu niko mkononi mwako nitendeee baba nakuaminia sana mungu wangu nitendee kulingqna na mapenzi yako baba
Asante mama urio mtumishi vijana tumepungua hekima na busara tunazd kubarikiwa na kujirekebisha
Mbarikiwe sana watu wa MUNGU
Mbarikiwee sana a kwayaa mmenibarikii sanaaa
Amen
Mungu awabariki Sana
Amina
Amina🎉
Mbarikiwe sana