Yeah!Mambo ya kijiji cha Chibe hayo mmenikumbusha mpaka raha Ni utamaduni mzuri sana kwa afya ya mtanzania.Big up wasukuma kwa huu utamaduni.pia hongera polisi wa Tanzania kwa ubunifu katika kutoa elimu ya usalama huko Shinyanga kazi nzuri kwa kweli.

Sasa upepo ndyo umekuwa maajabu? Wewe unaishi wapi ambaki hakuna upepo
Naona naona