WAKAZI wa MAKURUNGE BAGAMOYO WAMLILIA RAIS SAMIA AWASAIDIE - "OMBI LETU ni MAKAZI"...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ก.ย. 2024
  • WAKAZI wa MAKURUNGE BAGAMOYO WAMLILIA RAIS SAMIA AWASAIDIE - "OMBI LETU ni MAKAZI"...
    CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
    ========================
    Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 12

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  ปีที่แล้ว

    JISHINDIE TECNO CAMON 20 kwa BUKU TU! Ingia kwenye simu yako📲, NAMBA YA KAMPUNI 553111, KUMBU NO. 255 au GLOBAL kisha Tuma 1,000! Utapaja ujumbe wa USHINDI!

  • @mungunimwemakilawakati1299
    @mungunimwemakilawakati1299 ปีที่แล้ว

    Hapo ni Tanganyika sio Zanzibar!

  • @alexandernyambo7739
    @alexandernyambo7739 ปีที่แล้ว

    WARUDISHE KADI ZA CCM KAMA WALE WA MTWALA NDIO WATASIKILIZWA.....
    HII NCHI SIO SIKIVU, TUNAMLILIA SANA RAIS WA WANANCHI MZEE MAGUFULI...
    NCHI NI YETU WOTE LAKINI KUNA WENZETU WANAOJIFANYA KAMA WAO NDIO WENYE HAKI YA NCHI HII ZAIDI YA WENGINE

  • @fredynjige5663
    @fredynjige5663 ปีที่แล้ว

    Sijawahi kuona, haya

  • @richardkunambi9400
    @richardkunambi9400 ปีที่แล้ว

    Hakuna kuomba hayo ni maeneo yenu msitoke .

  • @tertianotino6115
    @tertianotino6115 ปีที่แล้ว

    Uwezekano wakubaki hapo nimdogo Sanaa maana wenyewe mnakir kua eneo hilo ni la serikali bas mjiandae kuondoka to kwanza naona wote mnajitetea kwa woga hamna haki yakuwepo hapo wenye pesa ndio wamesha weka mipango Yao hapo mtapiga makof mpaka mbas

  • @johnsonmaurice1178
    @johnsonmaurice1178 ปีที่แล้ว

    Nauliza taarifa hizi zinaonwa na kusomwa na viongozi wetu wa Chama na Serikali?

  • @berthatz
    @berthatz ปีที่แล้ว

    Hii Makurunge sindiyo eneo la serikali ya Zanzibar??

    • @johnsonmaurice1178
      @johnsonmaurice1178 ปีที่แล้ว

      Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inakipande cha hekta 6,000 kwenye Eneo. Linalozungumzwa hapa ilikuwa sehemu ya SMZ lakini kwa sasa sehemu hiyo ilirejeshwa Serikalini kipande serikali ikagawia Kampuni ya Bagamoyo Sugar.
      Kipande cha hekta 12,000 inayokaliwa na wananchi wa kawaida Serikali imeligawa na Wakala wa Misitu Tanzania (TFS).
      Wananchi walioishi humo zaidi ya miaka 30 wanaomba HURUMA ya Rais Samia Suluhu Hassan, na Serikali yake iwarasimishe

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 ปีที่แล้ว

      hiyo serikali ya Zanzibar hicho kipande cha hekta 6000 ndani ya Tanganyika ili kununua au ilipewa ebu fafanua vizuri tukuelewe mana haingii akilini sisi watanganyika tunaona kama ni vioja tu serikal moja kumiliki kipande cha ardhi kwenye taifa lingine

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 ปีที่แล้ว

    Acheni hofu hakuna mtu anaondolewa hapo nyie ni watanganyika Halisi hamuwezi kupolwa ardhi na nchi ya zanzibar kwa kigezo cha muungano mbona tanganyika haina kipande cha ardhi zanzibar? wasitutanie kabisa tena wakome kabisa