Jambo TV..Chief Odemba na wenzako asanteni sana kwa kazi nzr sana ktk taarifa hii inayoonyesha wazi jinsi gani TAMISEMI haikupaswa na ilipingwa mahakamani kuendesha uchaguzi kupata viongozi wa serikali za mitaa! >Uchaguzi kugubikwa na maafa na kura zisizostahili kukamatwa, ni mambo ya aibu sana!
Ni aibu na sijui ni kwa nini vitabu vyetu vitakatifu vinatumika kwa kiapo!! Vitabu vinanajisiwa na watu ambao tunasali nao Makanisani na Misikitini!! Tufike sehemu hawa watu tuwaite madhabahuni wakahojiane na Mungu mwenyewe😢. Inasikutisha na kutia aibu nafananisha kazia hii na Sodoma na Gomora!!! Vilio hivi ni lazima vitaifanya ghadhabu ya Mungu kutukuta kama nchi. Angalia ajali, ukame, misiba inavyotuandama mnadhani ni nini hiki?
Poleni sana walioumizwa. Lakini mi nawapongeza sana upinzani kwa kuamua kushiriki maana wameona madudu yaliyotokea kabla ya uchaguzi mkuu.
Jambo TV..Chief Odemba na wenzako asanteni sana kwa kazi nzr sana ktk taarifa hii inayoonyesha wazi jinsi gani TAMISEMI haikupaswa na ilipingwa mahakamani kuendesha uchaguzi kupata viongozi wa serikali za mitaa!
>Uchaguzi kugubikwa na maafa na kura zisizostahili kukamatwa, ni mambo ya aibu sana!
Ni aibu na sijui ni kwa nini vitabu vyetu vitakatifu vinatumika kwa kiapo!! Vitabu vinanajisiwa na watu ambao tunasali nao Makanisani na Misikitini!!
Tufike sehemu hawa watu tuwaite madhabahuni wakahojiane na Mungu mwenyewe😢. Inasikutisha na kutia aibu nafananisha kazia hii na Sodoma na Gomora!!! Vilio hivi ni lazima vitaifanya ghadhabu ya Mungu kutukuta kama nchi.
Angalia ajali, ukame, misiba inavyotuandama mnadhani ni nini hiki?
Hongera odemba japo nchi ndoo hiyi maumivu ya Mika mitao tena
Msigwa ni Mshenzi mkubwa kwa kuitukana CHADEMA. Ccm ni WEZI wa kura wamezoea DHULMA.
Au tubinafsishe nchi za nje waje kutuendeshea uchaguzi
Yaani kama nchi ya wapi sijui 😮😮😮😮
Ccm imepanga KUIBA Uchaguzi wote kama 2019 na 2020.
Najaribu kufikiria hivi Sudani na Somalia zilifikaje hapa zilipo?
CCM najeshi wamejihararisha utekaki uuaji kutuonesha mifumo mibovu kiutawala wamejipanga kutunyosha Sasa (CDM mukao wamaumivi)
TANGANYIKA hakuna Democracy , ni nchi ya KIDIKTETA.
HAKUNA UCHAGUZI HAPO
NI WIZI TU WA KURA ULIOENDESHWA NA CCM
Hapa katiba mpya haiepukiki
Huu uchakachuaji utakuja kuwagharimu.
Ccm inatawala kwa nguvu za Mapolisi.
Wameandika majina FAKE.