Asante sana Mwalimu. Naomba kutumia sehemu kidogo ya hii video kwa video yangu kuhusu vile wazungu waliiba magharibi Kenya. Forced us from Uganda to Kenya so that we can be ruled.
Unaeleza kwa upanufu na weledi mkuu inaonesha kua pwani inaweza kujitegemea kama ilivyokua ikijitegemea, tumekua tukinyanyaswa miaka mingi, hivi tunavyo ongea nina mtoto wa dadangu anasumbuliwa kupata passport na ana documents mpaka za mababu wallahy tunadhulumiwa sana wapwani naskia uchungu kiasi kikubwa leo wakenya wengine wanapata passport kwa kitambulisho na cheti cha kuzaliwa kilichotolewa mwezi mmoja tu uliopita.
MashaAllah! Mungu akuwezeshe kwa kila nafasi ya kutenda haya ili utuelimishe
asante star tunasibiria kujua historia yetu shukran
Star ✨
Hii ndio elimu inayopaswa kufundishwa ktk jamii
Asante sana Mwalimu. Naomba kutumia sehemu kidogo ya hii video kwa video yangu kuhusu vile wazungu waliiba magharibi Kenya. Forced us from Uganda to Kenya so that we can be ruled.
Tujuze mzee wetu. Sijawai sikia historia hii. Nawaomba wapwani wote watege sikio.
Jamii ziliwatenga wazee watatu hao waliotaka tujitenge. Mzee abdillahi Nassir, Bassidiq na mzee Bakuli. Loo! Wapwani wengi wetu atujui historia yetu.
Ubinafsi ulitawala khasa kwa wale vikaragosi vya Zanzibar uliowaonesha
Unaeleza kwa upanufu na weledi mkuu inaonesha kua pwani inaweza kujitegemea kama ilivyokua ikijitegemea, tumekua tukinyanyaswa miaka mingi, hivi tunavyo ongea nina mtoto wa dadangu anasumbuliwa kupata passport na ana documents mpaka za mababu wallahy tunadhulumiwa sana wapwani naskia uchungu kiasi kikubwa leo wakenya wengine wanapata passport kwa kitambulisho na cheti cha kuzaliwa kilichotolewa mwezi mmoja tu uliopita.
Vile kua wakarimu saaaaaana, ndio tumejitongea bro. Huku pwani kote.
Ni vile pwani kumechanganika, wengine sio wakenya ni wasomali kutoka Somali...
@@mpendakiswahili3053 Kwani Hakuna wasomali ambao Ni wakenya?
@@mpendakiswahili3053na wangine wabara kutoka bara pia hilo sema
Mzee unazingua wewe tuelezee usitulize sisi masuali