PART 3: MASTER JAY ACHAMBUA NYUMBA YA NANDY NA BABA LEVO HAZIJAFIKA THAMANI YA BILIONI....

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
  • Kwa maoni au ushauri comment hapo chini bila kusahau ku like na kushare ili kuweza kupata update mbali mbali ndani na nje Ya Tanzania
    Tufollow katika ukurasa wetu wa instagram @BONGO TRENDY TV
    Na kulike facebook page Bongo trendy online
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 23

  • @nathanjunior7694
    @nathanjunior7694 2 วันที่ผ่านมา +1

    Pumbavu...Title na kilichoongelewa ni vitu tofauti

  • @AlfroLyd
    @AlfroLyd 4 วันที่ผ่านมา +5

    Kujenga nyumba TZ it's very cheap, Sisi Congo. Bukavu tuna umia vibaya, kiwanja tu ya 15 square metres dollars Laki moja,yaani kama shilingi milioni 260, Tena siyo next to the main road, ikiwa kwenye main road bila dollar Laki 3 hununuwi yaani almost one billion shillings, so it's not easy, kujenga Sasa nayo noma sana. Wakati Bongo viwanja vya milioni 30 vipo kibao Tu, milioni 20 vipo kibao Tu. Kiwanja cha Congo BUKAVU kina weza nunua nyumba Sandton Johannesburg South Africa

    • @mtzhalisi2232
      @mtzhalisi2232 3 วันที่ผ่านมา

      Takwimu zako za uongo... 15 square? Unajenga nyumba kweli??

    • @malkiarosemuhando3310
      @malkiarosemuhando3310 3 วันที่ผ่านมา

      Li nchi looote like mapori kibao Bado mnahangaika viwanja makubwa ! Ngoja wachina wajazane wajenge congo

    • @mtzhalisi2232
      @mtzhalisi2232 3 วันที่ผ่านมา

      @@malkiarosemuhando3310 huyu hakuna kitu anajua ni muongo! Square 15 huwezi Jenga nyumba kwanza! Halafu bei yake eti dollar kaki moja liwanja then ni nje ya mji

    • @Akili820
      @Akili820 2 วันที่ผ่านมา

      Wewe ujuwi ndiyo maana unaongea tu​@@mtzhalisi2232

    • @reubenmasanja30
      @reubenmasanja30 วันที่ผ่านมา

      Very smart Mr J
      Hii ni facts
      Unavyoivunja kujenga ni possible nakubali mind set yako

  • @ZiyandaMhlana
    @ZiyandaMhlana 2 วันที่ผ่านมา +1

    Ww kama mzungu big up wambie

  • @abdhuliddie296
    @abdhuliddie296 วันที่ผ่านมา

    Nafanya kazi saudia na niko na rafiki yangu baba mkenya mama mtanzania so isabu
    zake akinipa za ujenzi nikilinganisha na mm tumetumia pesa nimezidi sio sana kama lak moja ya kenya na huko ni million 2. Lakin yeye yuko mbali kuliko mm na ana nafasi kubwa imebakia katika kiwanja chake ilihali mm nimebanwa kiwanja cha nyumba moja na the same price yeye amepata cha nyumba tatu so kuna vitu vyatofautiana na vyengine vyalingana

  • @dominicbinamu
    @dominicbinamu 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    The difference is the value for money

  • @Re-Post1
    @Re-Post1 2 วันที่ผ่านมา

    Kichwa cha habari na habari havifanani 😂😂😂😂😂

  • @abdulrahmanhassan5998
    @abdulrahmanhassan5998 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    dolla 1 to kenya shilings ni 129 kwa sasa

  • @GRas-d7p
    @GRas-d7p 4 วันที่ผ่านมา +1

    Yes Kila kitu mumetuzidi hata Johnson and Johnson Oil ya P Diddy amewapaka😂😂😂😂

  • @festusmwagha6409
    @festusmwagha6409 3 วันที่ผ่านมา

    kenya tunanunua mkate at TSH 1400 tz mkate ni TSH 800 WAPI na wapi

    • @twalibfundi8449
      @twalibfundi8449 2 วันที่ผ่านมา +1

      Mkate gani tz tsh 800?

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 3 วันที่ผ่านมา +1

    Kingereza bila hela nisawa na kelele 😂😂😂😂
    IMEPENYA HIOOO

  • @stateofart1089
    @stateofart1089 3 วันที่ผ่านมา +1

    Master J, umefail kwenye wakenya economics hapo. Exchange rate ya wakenya inaonesha wako strong economically, ni sawa na kufananisha US dollar na Tshs ni kweli Kenya wakija Tanzania na pesa yao ndogo wanafanya makubwa sawa tu na wamarekani wakija Bongo na $ 100,000 tu wanajenga Mansion Tanzania ila Marekani hakuna Nyumba ya $ 100,000

    • @mtzhalisi2232
      @mtzhalisi2232 3 วันที่ผ่านมา

      Hujamielewa jamaa... Kenya nimeishi mwaka mzima pale nairobi

    • @stateofart1089
      @stateofart1089 2 วันที่ผ่านมา

      @@mtzhalisi2232 Kuishi kenya haimaanishi ndio unamuelewa zaidi jamaa, eleza hoja yako??

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 3 วันที่ผ่านมา

    Nimeishi kenya karibia kila kitu kule bei na sawa... Master j ameongea ukweli nimelala lodge ya shs 500 ni self kabisa mitaa ya eridoreti center kabisa

  • @salimjuma1033
    @salimjuma1033 3 วันที่ผ่านมา

    Shida ya wa bongo wanijuvunia mambo ambayo hayana msingi eti kuvaa ama kuimbaa na mukiambiwa mutoke kwenye maandamo haaaa😅😅😅😅😅 inukeni

    • @manwoka4078
      @manwoka4078 2 วันที่ผ่านมา

      Nyie mliandamana je huyo Hustler ametoka madarakani au yupo.Mliandamana ruto musst go and where is he now?

    • @ProtaisNdayizeye-k8l
      @ProtaisNdayizeye-k8l 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kwani kuandamana ndo maendeleo?