Assalaam alaykum, mimi nimemuota baba yangu mzazi ambaye tayari amefariki, mara nyingi namuota hua anakuja nyumbani anaingia ndani anakaa kwenye kiti lakini hazungumzi jambo lolote mpaka anaondoka, na muda mwengine namuota anakuja nyumbani mimi nipo nje anaingia ndani yani kama vile mtu katoka kazini ndio anarudi kwake lakini kila nikimuota hua hasemi kitu chochote yupo kimya tu na hata kusalimia hasalimii na mimi pia wala sikupata kumuongelesha neno lolote , hizi ndoto hua nilikua naota mara kwa mara
Asalam alyekum mm nimeota jirani yangu aliyefariki kwa ajali ya Moto amefufuka na yupo na familia yake na aliopo niona akanionyesha baadhi ya majeraha yake ya Moto nn maana yake pia wakati huu nilimuota mzee ninaye mfamu amefariki natukaenda mzika lkn hatukumzika Wala kumuosha nn maana yake nakesho yake asubuhi nikamuona
ASSALAM ALAYKUM. Ukiota katika ndoto unafuatana na maiti katika nyumba unayoijua ukampigia kelele mtu mwengine ambae tayari amekufa kumuambia kuwa huyo uliefuatana nae kuwa hakufa
A alaykum sheykh nmeota nampa zawadi mfu baada ya kumpa akawa anazionesha na kujisifu kwa wenziwe kuwa mtoti wng ameniletea zawadi je hii ina maana gani?
Muotaji alimuota baba yake anajisaidia watu wakamuona Kisha yeye akakimbia akamletea nguo yake yeye muotaji akamfunika nayo ili asitirike watu wasimuone na wakati huo baba yake alikua amekonda Sana Akaota Tena anamuona baba yake anakula Tena amefurahi amenenepa Kisha baba yake anawambia watu Sasa Niko sawa mwanangu kanistir ndo anaenipenda Ndoto hiyo Ina maana gani?
Mmh sijaelewa vizur shekh
Assalaam alaykum, mimi nimemuota baba yangu mzazi ambaye tayari amefariki, mara nyingi namuota hua anakuja nyumbani anaingia ndani anakaa kwenye kiti lakini hazungumzi jambo lolote mpaka anaondoka, na muda mwengine namuota anakuja nyumbani mimi nipo nje anaingia ndani yani kama vile mtu katoka kazini ndio anarudi kwake lakini kila nikimuota hua hasemi kitu chochote yupo kimya tu na hata kusalimia hasalimii na mimi pia wala sikupata kumuongelesha neno lolote , hizi ndoto hua nilikua naota mara kwa mara
Naam yeye huwa na furaha au uzuni usoni mwake?
Aslmu alikuwa shem ndugu yangu kaona kaja bib yetu kumtembeleya akasema kaja kuwasalimiya kisha akaenda zake nin mana
Assalamun alaykum sheikh mimi nnamuota sana rais mmoja katika marais wastaafu
Malizia Kivipi anasema kitu au anakupea kitu na amefurahi au Laa?
Ndoto unaoneshwa sanda
Namba zenu
Asalam alkm shekh mimi nimeota nimempa uji mama na mimi nikanywa huo uji
Maaashallah
Shkh nimeota mme wangu ambae alifariki zamani nko nae anaumwa ila kuumwa kwake sio hali mbaya nini maana yake nJana yake alikuja amevaa gauni nkamwambia mme wangu vp umechanganikiwa kasema hapana nkataka ntoke akanambia ukitoka nakukuata naikikisu nkakichukua nkawa nacho ndomm nlomshika hakuwa nauwezo wa kuniweza nkashtuka
Mash Allah kipindi kizuri
Nimeota ndoto mwanangu aliekufa Leo nimeota nimemuua mm mwenyewe Tena nikimchuna ngoz ya kichwa nn maama
Asalaam alaykum ww,shekh je m2 akiota amefunikwa na babar alafu akaomba msaada kwawatu wakamshika mkono wakamtoa inamaanisha nni
Nimeota watu wawili waliokwisha fariki wakiwa mahakamani kwa kesi ya shamba ila hakimu sikumuona lkn walikua wakijitetea kila mmoja
Ndoto ya kuota unaenda msikitini unachukua udhu Kisha ausaili na ndoto ya kuota mbwa
Asalam alyekum mm nimeota jirani yangu aliyefariki kwa ajali ya Moto amefufuka na yupo na familia yake na aliopo niona akanionyesha baadhi ya majeraha yake ya Moto nn maana yake pia wakati huu nilimuota mzee ninaye mfamu amefariki natukaenda mzika lkn hatukumzika Wala kumuosha nn maana yake nakesho yake asubuhi nikamuona
ASSALAM ALAYKUM. Ukiota katika ndoto unafuatana na maiti katika nyumba unayoijua ukampigia kelele mtu mwengine ambae tayari amekufa kumuambia kuwa huyo uliefuatana nae kuwa hakufa
Assalaamu Aleykum warehmatullahi wa barakatuh cheikh ebu twaomba namba ili niwe kwenye group la whastapp naomba please 🙏
Asalamalaykum je ukiota umempa mkono maiti kwa ishara ya kumwamkia Ina maana Gani,?
Nimana ume muota mamayako amesha kufa kitambo kuwa alikuwa nafuraha lakini sasa mwanzumza ana huzni
Ndoto ya kuota unapaa juu ya kilele cha bahari inamaana gani tena mda mwengine naota nipo napaa sambamba na daimond
A alaykum sheykh nmeota nampa zawadi mfu baada ya kumpa akawa anazionesha na kujisifu kwa wenziwe kuwa mtoti wng ameniletea zawadi je hii ina maana gani?
Ya Aina gani chakula vazi au nini?
Na kama umeota mtu wako yuakwambia mm nimekufa nayo ni ishara gani plz
Assalam aleykum, je ukiota mtu unaye mjua alifariki kitambo lakini kwa ndoto umeuona ni mgonjwa amelala kitandani ywaumwa ina maanisha nini?
Mama kaota amezaa mtoto na baba kafa Nana nami wakat baba ame kufa mama kasha olewa
Mi huwa naota nafukuzwa na kaka yangu ana kisu mkononi lakini hanipati ni mtoto wa mama angu mkubwa.
Ukijibiwa niambie Momy maana 😭Leo nimeota piah napigwa na mjomba angu jamani 😭😭
Assallam alaykum ostzi jmn nimeota kunasehemu tulikwend lkn sikuw pekeyangu nilikuw nawadog zangu wawiri namwanangu ss tulivo fika kul ambapo tunakwend tukamkuta mtu ila mwanamke simkumbuki ila alitwambia nendeni nyumbin tulivo fika ndan tuu nikamkat bibi yangu ambae tayal alikuf kipindi kilefu san nilipo muwon tuu nikaanza kulia nimelia lkn nikapig magot chin nikamshik vidole vyak akanambia usilie nyamaza akanifut machozi namkono wake badae nikaamka nikawa nimekaa mezan nawadog zangu tukawa tunakul maboga yalio Chemswa nahapo nikastuk ss sijuw inamn gn nisaidie prrrzzzz
Muotaji alimuota baba yake anajisaidia watu wakamuona Kisha yeye akakimbia akamletea nguo yake yeye muotaji akamfunika nayo ili asitirike watu wasimuone na wakati huo baba yake alikua amekonda Sana
Akaota Tena anamuona baba yake anakula Tena amefurahi amenenepa Kisha baba yake anawambia watu Sasa Niko sawa mwanangu kanistir ndo anaenipenda
Ndoto hiyo Ina maana gani?
Kuota maiti amelala Kando yako
Kuota unaona sufuria ipo jikoni Ina njugumawe zinachemka
Nimeota nimeambiwa kitu na maiti akiwa nafuraha
Ukiota umempa maiti hela nn maana yake
Shkh nimeota mme wangu ambae alifariki zamani nko nae anaumwa ila kuumwa kwake sio hali mbaya nini maana yake nJana yake alikuja amevaa gauni nkamwambia mme wangu vp umechanganikiwa kasema hapana nkataka ntoke akanambia ukitoka nakukuata naikikisu nkakichukua nkawa nacho ndomm nlomshika hakuwa nauwezo wa kuniweza nkashtuka
Ukiota umempa maiti hela nn maana yake
Imeningusa sana duu