When u see Nanny reaching to this point ya kuprank boss 😂😂😂knw they have good relationship and a comfortable environment 😂😂😂😂 Team Nannies❤❤❤❤❤❤ BAG was just Chilling
@@melomwaswanjiku wanaambianga wachana wanakuja after wewe😂😂😂 imgn wangu sai huniambia ooh vile vitenge zangu nikampea uyo Dem ady namubuyia mafuta vile nguo zake zilikua zinachoma picha 😅😅😅😅😅😅😅😅
@@petronilahkedogo393 c kupenda 🤣🤣🤣.. vile nannies huenda job wooiye... nowadays employers WA househelps wako sawa Wana understand...unapata anabuyiwa manguo nd everything.. wakifanya job vizuri .
Mama twins ukitakaa kukaa na maid for so long kutengeneza nywele peza ikue yake na akienda home unampea hata 1 k na cleanness ujue kama kuna mahali ajafanya poa ulizia in apolite way
ati anaenda na bag yenye ulimpea😂kwn ulikuwa unataka awache😮thats why i dont take things from bosses coz siku ya kuenda ataanza kusema i bought this n that for u as if uliitisha not a hater though wadosi wote wako same thats a nice prank though
When u see Nanny reaching to this point ya kuprank boss 😂😂😂knw they have good relationship and a comfortable environment 😂😂😂😂 Team Nannies❤❤❤❤❤❤ BAG was just Chilling
Am one of the team nannies ..nmekumbuka boss alinipea nguo na suitcase pamoja hope one day hatanianika wooi
@@melomwaswanjiku wanaambianga wachana wanakuja after wewe😂😂😂 imgn wangu sai huniambia ooh vile vitenge zangu nikampea uyo Dem ady namubuyia mafuta vile nguo zake zilikua zinachoma picha 😅😅😅😅😅😅😅😅
@@petronilahkedogo393 c kupenda 🤣🤣🤣.. vile nannies huenda job wooiye... nowadays employers WA househelps wako sawa Wana understand...unapata anabuyiwa manguo nd everything.. wakifanya job vizuri .
@@melomwaswanjiku yes 😂😂
@@melomwaswanjiku we si wote wabaya lakini wengine watakusema kila mahali ibaki ufike citizen 😅😅😅,Mimi niulize
Ngai first time prank na wamekushika😂😂😂😂😂 your nanny is super good with pranks akh congrats Rebecca
Lakini huyu Mary si ako na mdomo😂😂😂😂😂😂
Hii sii Prank tu aki hii ni upendo they love you😊😊
Mama twins ukitakaa kukaa na maid for so long kutengeneza nywele peza ikue yake na akienda home unampea hata 1 k na cleanness ujue kama kuna mahali ajafanya poa ulizia in apolite way
She remained so calm and collected. Ingekuwa mimi ningechizi wallahi🤣🤣🤣
Banaa naeza ongea😅😅😅
aaaaawww wambo is so calm n collected😢
True 💯
Wamboh loves her nanny😌❤️ju weuh kupataaa kamaaa hawaa si rahisi ivooo🙂
Ati adi anaenda na ile bag nlim-baia.....lakini kupata mfanyi kazi mpoa n noma waaah ukipata shukuru
Ukienda kwa waroma unakaa kama waroma😂😂Mary is a vibe
Hii imeenda😅 but mngefanyia both with Kioko yy ndo anaeza over react under pressure😊
Aki nimependa iyo prank 🤣🤣🤣🤣 nice job gals
😅😅akh wambo pole lakini...naelewa vle kazi ya twins n ngumu pia niliwazaa......wacha wewe 😅
,hiyo kazi sio rahisi. Kwanza upatanr na maids from hell.......utaanza kuregret why you gave birth to twins.
Woiyee wambo,,ata nkakuhurumia ati aki mnataka kuniacha😂😂
haha
Ati kwani nyi mnajua kuprank mtu😂😂
Karibu uchizi maa Roms❤️
Mary is such a vibe😂😂😂
ady wanafanya venye unafaa kufanya 😂🤣😂😂,,,, uweeeh this is serious 🤣
Mambo mama twins,,salimika leo tafadhari
We all need this kind of people around us,so adorable ❤
Home of pranks,,ukienda kwa wa Roma kaa kama wao
Mbona the nanny anashika mtoi careful than the other girl
Eish watu na usororaji
Hai we na wewe 😂
@@Bangala773Sasa watu wanasorora😂 kwani ule mwingine alikuwa anashika aje😂
Aki..
She is not careful
I also noticed that...Felt the baby was so uncomfortable
Marry anachoma anaongea mimgi ,,,pole mama roms
Ati camera sio mbaya😂😂😂😂that's exactly how my friends hype me
Wambu mbona unakuanga calm hivyo😂😂😂😂
Na huyu wa kusaidiana kupack ni wa jirani ameamua kufurahia Kwa wenyewe
wambo you a good lady very calm in storms😂😂😂ingekua mimi ningejam ile mbayaaaa
Inyui mwi manugu o uguo❤ the language ❤️
Huyu mwenye kuongea hajui kuprank anaongea sana ,,bat rebecca ,good job
Sure
Aah wambooo ... mummy.ulikipata😢😢
Alienda Mimi niko hapa natafuta job
Woiyeeeee❤❤❤ kaWambo😂😂😂😂😂😂😂pole swee....Rebbeca you are amazing 👏♥❤
Rommy ndo kusema joo🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂 ma funs were just chilling 😢eti uwambie umeenda break kidogo💔
Ati boyfriend anaonagwa na vitu smart🤣🤣🤣🤣
Ata trippleles unaeza lea😂😂😂😂
Ati Kwan nyinmnajus kuprank mtu kwani kukuwa nanny😂😂😂😂😂 ni kumanisha huwez radanisha
Uyu naye anaongea sana ata kamà nini
Ati khai munajua kuprank mtu😂😂😂
Wazazi wetu mbalikiwe sana ,yani wambu ameona kumethuka ata hataki kupigia bwana anapingia mamayake ,lakini wambu nilazima ungesema imagine anaenda na kabag kenye nilipea 😂😂kudoss Rebecca ❤❤
Huyu mwengine anaongea sana bwana😂
😂Na Si Rebecca anapenda red.. vitu zake most ni red
Kumbe pia ume.notice
Mama twins leo umepatikana 🤣😂🤣
😂😂😂mama twins utajua ujui n ujue 2mesema 2nabui 4n yenye iko n 📷 poa
😂😂😂this prank touches the most sensitive part of a woman's life... about her baby 😂😂😂 it gets deep in her nerves
She is nice
Woooooiiiii Aki Nmecheka Venye Mnataka 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂,,, Sorry Wambo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nice uyo mama twins apewe kanyamù😂😂 ..
U need 2 house managers, I can't imagn 2kids na KAZI ya nyumba
They are two ,ni vile mmoja ni day ,the tall one ni ndio hukuja the other one hukuwa all time
Your friend amecheza Kama yeye
Nliacha mkiwa na Nanny wa coast mswahili when did you switched to Rebecca
Me too
Ati kwani mnajua kuprank mtu nyinyi 😅😅😅
Kwani ni washamba 😅😅
😂😂😂rabeca amegojea kulipwa tu aende
Wow u have good nanny si uniogezee nikuwe wa tatu
😭😭😭 woishe with twins you have to beg wengine tunasemanga Sawa nitakutumia pesa end month
Wambie Leo n ww
WUEH the utaanza kuambia mafans wako unaenda break hahaha🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
This is sweet bt apo kwa bug woie umechoma
House managers tupewe sifa 🙌✌ huku gulf waarabu nikutudharau tu hawajui maana yetu.
sorry woi
Ile tyme ukitaka wakukatie ticket ndo wanaanza kujua thamani yako wanakubembeleza Kaa wangu sai ameanza na vizawadi vyake Ila waiguru siezi mrudia
Very true dear aky,but in Kwa muda aky 😢
Ata uku kenya wanatudharau sana
@@christine-rf6hd hata me hiyo ndio kitu nlisema nijikute kwa hizi nugu tena
Nany ameskia aty anaenda na bag nilimpea woii don't give and take😂😂😮
😅😅😅😅😅😅😅
asikuwe akina wainguru Dio upea mtu kitu na ukimwabia unataka qweda Kenya anakugeuka leta vitu nilikupea😂😂😂
Hakusema vizuri hapo
😅😅😅😅😅
Woiyeee!! Eti kwani kwani tumekukosea
We need this kind of people around us
Pitia kwangu pia
Karibu niazie ku.apply kazi,
Rommy looks stubborn kama ni huyo akona blue
Lovely one Becky ❤❤ loving you ,,imeweza sana akh
Kwan inapremier saa ngapi wambo
😂😂😂mary anakaa short wire kimpango😅
😂😂😂
The worst news to hear unachanganyikiwa hadi nguvu inaishanga kabisaa hadi kwa miguu😂😂😂
Hii mmeweza fanyeni mbaya kuliko hiyo ady alie😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂the acsent wacha tuu but this was so good walikushika
Ati kwani nyii mnajua kuprank mtu😂😂
Aki uyo nani ameweza💥💯 wambo sema kupatwa
Ati mnakujaga nairobi mnajiskia😢
Ata triplets 😂😂l like her advice
M coast alienda kwani😅
Waaah ujaniambia nitafute mwingine ata napata wapi😮😮
Ati sasa anaenda na bag nlimpea
😅😅😅😅😅😅😅kwani nyinyi mnajua kuprank mtu😅😅😅 nimeusha
Huyu mwingne anajiita mama twins si anongea sana ghai hamezi ata mate.
😂😂😂😂😂😂😊
hii lazima ningewatch
Na mbona wambo hakusalimia Rebecca vile aliingia
Hapo kwa bag umechoma haki...
"Kwani nyinyi mnajiua kuprank mtu"😂😂😂😂😂
So Emotional but it prank aki😂😂
Kwani ule mungine alienda
Hii ni news inaeza fanya uanze ku-diarrhoea ju ya kuchanganyikiwa ,,wueeh😂😂
Utachizi ata 😂😂😂😂😂
I just love wambo Ashley ❤️
Too bad😂😂😂wambu uko wapi
ndo huyu mm
Nafeel iko stage managed but is okay 😅😅 hapa imeweza 😂
😂😂😂
😅😅😅😅wambui respect that nanny aki tundo maa nmagutirie kwanza asubuhi ukienda job
😂😂
You are lucky to have nannies who creat for you content. How beautiful 5 to
ati anaenda na bag yenye ulimpea😂kwn ulikuwa unataka awache😮thats why i dont take things from bosses coz siku ya kuenda ataanza kusema i bought this n that for u as if uliitisha not a hater though wadosi wote wako same thats a nice prank though
Nlidani ni Mimi alone nmesskia
Mbona unaenda na bag ulipewa aki🤣😂😂😂
Vile my aunty alikua anangaika n wake aky wee kazi ya twins
aty qwany alianzaa kuekaaa nguo qwa bag😂🤣🤣🤣💔
wamboh gets caught🤣🤣❤️
Rabekka ni Karembo
Nimewapeda sana ..wambuu❤❤
😅😅😅had anaenda na ile bag nilimpea😅😅
😂😂😂😂😂😅😅😅yawa ati bag ulimpea❤❤❤❤❤❤
Aki nimeskia pia
Not good at all kama hakutaka kumpea angeacha si poa kabisa😏😏
Ivo dio niliambiwa anaeda ata sikuweza kukula iyo siku
Ule mwingine ako 😅😅😅😅
Enwei 😂😂😂agood one😂😂😂umepatikana
Kwani huyu mathe wa stripped Blouse anasahau hatujaonyesha twins, next time try kuhold ka Rebecca