Family Disaster Part 1 | Elizabeth Michael, Vincent Kigosi & Diane Kimaro (Official Bongo Movie)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2025
  • Rj company présents Family Disaster
    Actors : Elizabeth Michael, Vincent Kigosi & Diane Kimaro #pourtoi #movies #tanzania

ความคิดเห็น • 20

  • @masindeernest5994
    @masindeernest5994 15 วันที่ผ่านมา

    Mbona sauti haipo

  • @GodfreyMwaijengo
    @GodfreyMwaijengo 20 วันที่ผ่านมา +1

    Tanzania

  • @NeemaStephen-oe4ww
    @NeemaStephen-oe4ww 20 วันที่ผ่านมา +1

    Asante dj 🎉🎉

  • @NkurunzizaBaraka
    @NkurunzizaBaraka 21 วันที่ผ่านมา

    Asante saana kbx kutuletea movies nzuri nzuri jukuwa mauwa yako🎉🎉🎉 from Burundi je ww unatok wapi dj??

    • @jeanclaudechilileofficiel
      @jeanclaudechilileofficiel  20 วันที่ผ่านมา

      Asante pia, kwa sasa ninaishi Congo Kinshasa.

    • @SaidyLuway-i8l
      @SaidyLuway-i8l 14 วันที่ผ่านมา +1

      @@jeanclaudechilileofficiel mbona dj Haina sauti mbna mnatuangusha siku hizi mashabiki zenu

    • @jeanclaudechilileofficiel
      @jeanclaudechilileofficiel  14 วันที่ผ่านมา +1

      @SaidyLuway-i8l Hapana, video ina sauti tangu mwanzo, isipokuwa kwamba ubora haukuwa mzuri, ndiyo sababu utaona kwamba inarudia mara mbili zaidi.

    • @SaidyLuway-i8l
      @SaidyLuway-i8l 14 วันที่ผ่านมา +1

      @jeanclaudechilileofficiel sasa mnautaratibu gani wakuu mimi shabiki wenu kwa hiyo siwezi kuacha kuwambia aseee ,, mi MSUKUMA kutoka mwanza napenda nikiwa machungani nikikaa naanza kucheki movie safi

  • @SaidyLuway-i8l
    @SaidyLuway-i8l 15 วันที่ผ่านมา

    RAY MIMI NAONGEA KWA NIABA YA WOTE HIYO MOVIE HAINA SAUTI MBELEE KO IRUDIWE ALAFU MBNA MNAACHIA MOVIE HEWANI WAKATI HAMJAIHAKIKI KAMA IKO SAHIHI A TO Z WHY NIJIBIWE BASI SIJAPENDA JAMANI MIMI RAY NI SHABIKI WAKO KABISA LAKINI UMENIKOSEA KWA HII MOVIE KAMA NAONGEA UKWELI WEKA LIKE HAPA 👈👈

    • @jeanclaudechilileofficiel
      @jeanclaudechilileofficiel  14 วันที่ผ่านมา +1

      Video ina sauti, fuatilia kuanzia mwanzo utasikiliza sauti na kwa taarifa yako, akaunti hii sio ya Ray, nachapisha filamu zao tu maana watu wengi wanaihitaji.

    • @SaidyLuway-i8l
      @SaidyLuway-i8l 14 วันที่ผ่านมา +1

      @jeanclaudechilileofficiel hata kama sio ya ray wewe c umejitosa kusambaza movie ko zingatia tunayokwambia mashabiki Kwan mm nimekwambia namtafta ray mm lengo langu movie iwe quality of sound A to Z

    • @jeanclaudechilileofficiel
      @jeanclaudechilileofficiel  14 วันที่ผ่านมา

      @SaidyLuway-i8l sawa

  • @AlanKimaro
    @AlanKimaro 20 วันที่ผ่านมา +1

    Mbona hakuna sauti

  • @MomadeMudimoz70-cs2ud
    @MomadeMudimoz70-cs2ud 20 วันที่ผ่านมา

    🙏🌺🌹🌹

  • @ChrisMasta-m1k
    @ChrisMasta-m1k 20 วันที่ผ่านมา +1

    Fake promise ya pili iko wapi kaka?

    • @jeanclaudechilileofficiel
      @jeanclaudechilileofficiel  20 วันที่ผ่านมา +1

      Bado naitafuta hiyo pia, nikiipata nitaiweka moja kwa moja, usijali labda kabla ya mwisho wa wiki hii utakuwa nayo.