@manoramatv858 ni kweli. Tunaona wachezaji mpira,.makochq na wasanii wa kigeni hata wanapotemwa na timu kubwa hawataki kuondoka, wako radhi wasajiliwe na timu ndogo ila sio kuondoka Tanzania. Waume wanapambana kutoa, wake kuolewa ili tu wapate wepesi wa kupata uraia. Tujivunie kuwa watanzania, nchinya amani, ladha mbali mbali.
Wewe Bernard Morrison umeshakuwa mtanzania. Safi sana.
@@allymwinyi970 bongo patamu jamani, ukitaka kuamini nnachosema basi nenda kaishi nje ya nchi hata mwaka mmoja tu, me nishaonja hiyo test.
@manoramatv858 ni kweli. Tunaona wachezaji mpira,.makochq na wasanii wa kigeni hata wanapotemwa na timu kubwa hawataki kuondoka, wako radhi wasajiliwe na timu ndogo ila sio kuondoka Tanzania. Waume wanapambana kutoa, wake kuolewa ili tu wapate wepesi wa kupata uraia. Tujivunie kuwa watanzania, nchinya amani, ladha mbali mbali.
Bernad morrison 🎉🎉🎉fundi wa boli
Very professional prayer our malone
Kma unamkubali camara gonga like ..
nikiwa wa kwanza kucomment ndo inakuwa vipi?😊😊
Eti bundle imeisha
Ally mtumie bm3 hela haraka 😂😂😂
Huyo ndio Simba hutamani kuwa mbali nayo
Club iwaangalie Tabora timu kwa jicho la 3.. ni msaada wa timu za nje maana wana urefu na vifua… giants😅
Anaipenda simba
😅😅😅 camara❤❤❤
Vipi jamani katika wachezaji wa simba hakuna aliyeondoka na boda boda kama walivyofanya jana majirani zetu?
hahaaa
😂😂😂😂😂
Waliondoka na bodaboda kweli?!😂😂
@israelkisaila8401 ndio kwani hujaipata hiyo? Mpira ulivyoisha kibwana shomari ameenda msalani alivyorudi tu basi lishaondoka.
@manoramatv858 eeeee,Kwa Nini waliwafanyia hivyo?!🤣🤣🤣
Hv HUYU MORISON YUPO WAPI?
Yupo nyumbani kwake
Apewe uraia
Ww morisson hakuna mwana yanga anakutaka kichaa ww
😂😂😂😂😂😂😂😂