Wagonjwa wafungiwa hospitalini Nairobi Women kwa kushindwa kulipa bili

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ก.ย. 2024
  • Taarifa za kuzuiliwa kwa wagonjwa walioshindwa kulipa gharama za matibabu hospitalini zinaonekena kuendelea, mara hii kwenye hospitali moja ya kibinafsi hapa Nairobi, ambapo baadhi ya wagonjwa wamekaa hata kwa zaidi ya miezi sita kulipa gharama ya chini ya laki moja. Uchunguzi wetu umebaini haya katika hospitali ya Nairobi Women's ambako gharama za baadhi ya wagonjwa hao sasa zimefikia mamilioni. Mwanahabari wetu Purity Mwambia alipenyeza ndani ya hospitali hiyo na hii ni taarifa kuhusu wagonjwa wanne walioishi maisha kama ya wafungwa ndani ya hospitali hiyo tawi la Adams Arcade. Hata hivyo, Mwanzilishi wa hospitali hiyo Sam Thenya akizungumza nasi amesema kuwa hospitali hiyo ina mikakati ya kuwashughulikia wagonjwa wasioweza kulipa madeni yao.
    Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.
    This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.
    Follow us:
    citizentv.co.ke
    / citizentvkenya
    / citizentvkenya
    plus.google.co...
    / citizentvkenya

ความคิดเห็น • 43

  • @lydiaagwuma656
    @lydiaagwuma656 5 ปีที่แล้ว +16

    Zile Ruto anatoa kwa makanisa jamani alipie wagonjwa

    • @siznic2156
      @siznic2156 5 ปีที่แล้ว +1

      Kenya inamambo aki

    • @dedankimathi7136
      @dedankimathi7136 5 ปีที่แล้ว +1

      Hio sio suluhu. Waweke cheap healthcare kwa all kenyans.

  • @siznic2156
    @siznic2156 5 ปีที่แล้ว +7

    Sonko Yuko wapi,bila yy wanyonge hatuezi jamani

  • @kevinkaranja1879
    @kevinkaranja1879 5 ปีที่แล้ว +3

    Don't blame the management..at least they saved their lives na hawajui bill italipwaje...kudos Nairobi hospital

  • @themoses1987
    @themoses1987 5 ปีที่แล้ว +4

    Where is cheap health care which was promised by jubilee government 🤔

  • @binthassancollection.6308
    @binthassancollection.6308 5 ปีที่แล้ว +1

    ALLAHU AKBAR

  • @lionsdota1989
    @lionsdota1989 5 ปีที่แล้ว +1

    Hawa managers wa hospitali Mimi huuliza mkizuilia watu bill hupungua ama huongezeka, na kama familia huwa inashidwa kulipa bill ikiwa kidogo ikiwa mingi dio watatoa wapi????? God humanity needs to be restored in your people

  • @mursilmursal
    @mursilmursal 5 ปีที่แล้ว +1

    Hospitali zenyewe ukikimbilia ili utibiwe nikama kukimbilia kaburi mwenyewe unaenda ukidhani utapona kumbe unakimbia kwa kifo..nowadays hizi hoc madaktari watoto wa selfie(new generation)..unaeza kuwa unaumia huku wanapiga tu story aki heri uamini daktari wankienyeji kuliko hawa wa serikali nkt

  • @philemonsigei6305
    @philemonsigei6305 5 ปีที่แล้ว

    The power of the Media

  • @mitchsance5331
    @mitchsance5331 5 ปีที่แล้ว +2

    100k to 2 m
    can someone tell me what is this?

    • @hadikastro5154
      @hadikastro5154 5 ปีที่แล้ว

      Joke of the yr who told them to hold the patients after treatment

  • @mursilmursal
    @mursilmursal 5 ปีที่แล้ว

    Wanasiasa wanaringa vile wanapeana pesa wakifanya campaign ya 2022 huko njee huku wenye waliwaeka kwenye cheo ili wahudumiwe ndio wanateseka nkt..

  • @Mr.George.N
    @Mr.George.N 5 ปีที่แล้ว

    Jecinta Njenga wow. Furaha nayo

  • @fauziayassin8786
    @fauziayassin8786 5 ปีที่แล้ว +1

    walipewi na uhuru na ruto

  • @ulimacoxwagichohi
    @ulimacoxwagichohi 5 ปีที่แล้ว

    Lakin mm huuliza wanavo kaa ndio bill huisha ama huongeza

  • @munjicanjose1914
    @munjicanjose1914 5 ปีที่แล้ว +2

    These are moneh making machines at the expense of the poor kenyans...

  • @awkamau8797
    @awkamau8797 5 ปีที่แล้ว

    WHERE IS UHURU

  • @tashniecy5703
    @tashniecy5703 5 ปีที่แล้ว

    Where are our useless politicians? Who detains patients who can't afford a meal. 2 million worth bill? Really, the poor wananchi has no say.

  • @jamesgathaiya6450
    @jamesgathaiya6450 5 ปีที่แล้ว

    Really? Kenya haki kupata hunduma za hospital nikama kupanda mchongoma watu wanateseka haki

  • @ogambadivinah4333
    @ogambadivinah4333 5 ปีที่แล้ว

    Milions JESUS😱😱😱😱😱

  • @maggynish4341
    @maggynish4341 5 ปีที่แล้ว +1

    Hosi zimekua business

  • @Mr.George.N
    @Mr.George.N 5 ปีที่แล้ว

    My land is Kenya

  • @jarednovel
    @jarednovel 5 ปีที่แล้ว

    ALL HOSPITALS IN THE COUNTRY INCLUDING PRIVATE ONES SHOULD BE FORCED BY LAW TO TREAT ACCIDENT VICTIMS OR THOSE CAUGHT IN EMERGENCY SITUATIONS.....

    • @hadikastro5154
      @hadikastro5154 5 ปีที่แล้ว

      For free coz we dont ask accidents to came and attack us

  • @elpinarichard1884
    @elpinarichard1884 5 ปีที่แล้ว

    Solo natumai umeona hii

  • @clarionphilips2556
    @clarionphilips2556 5 ปีที่แล้ว +1

    Confused country, wapi governor. Sio makosa ya madaktari, they are only doing their work, government ndoo ya makosa

  • @aunclefranco7570
    @aunclefranco7570 5 ปีที่แล้ว +4

    This is evil..... Madaktari wa Kenya ni mapepo....... Mhhh ndooh mana mi huwaona Mavi.

    • @siznic2156
      @siznic2156 5 ปีที่แล้ว

      Hawana roho ya utu

    • @wanjiruchelagat6565
      @wanjiruchelagat6565 5 ปีที่แล้ว

      Aki surely.....that hospital should be sued

    • @jamesgathaiya6450
      @jamesgathaiya6450 5 ปีที่แล้ว

      True i support you

    • @hellenkeesha4393
      @hellenkeesha4393 5 ปีที่แล้ว

      When you fall sick you will know they are not mavi,,it is not the doctor treating them with fault,it is the hospital administration. Understand how a hospital works

    • @aunclefranco7570
      @aunclefranco7570 5 ปีที่แล้ว

      @@hellenkeesha4393 my dear umewatetea Sana kwani r u 1 of them.

  • @jamesgathaiya6450
    @jamesgathaiya6450 5 ปีที่แล้ว +1

    🙄🙄🙄😥😥2 million na mtu moja na sio cancer alikua nayo na ingekua ni cancer

  • @vonthairu8605
    @vonthairu8605 5 ปีที่แล้ว +1

    Many hospitals are jails and only the families know the pain coz they can’t afford even friends can’t afford in harambees.

  • @brevelyne
    @brevelyne 5 ปีที่แล้ว

    This hospital have no plan the more you hold on to the patient the more the bill

  • @kaimuridionisia1032
    @kaimuridionisia1032 5 ปีที่แล้ว

    Millions 2 kwani wamewausia uhai hii ni ukora na hii osi inafaa kufugwa kabisa.

  • @binthassancollection.6308
    @binthassancollection.6308 5 ปีที่แล้ว

    SUBHANNALLAH

  • @Actor_bad24IK
    @Actor_bad24IK 5 ปีที่แล้ว +2

    Of course it's a business....do you expect people who deal with dead people to care about your financial situation?