PART21:MTAFYA TAJIRI ALIEUA WATOTO WAKE 2 KICHAWI NA KUISHI NA NYOKA NDANI ANAETEMA PESAKUMPA UTAJIR

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 43

  • @NowelaRaymond-zq4ys
    @NowelaRaymond-zq4ys 4 หลายเดือนก่อน +1

    Atakuwa alirudishwa kwa mzee mahala kule Kakonko. Maana alioneshwa watu wakati alipoenda kupewa dawa.
    Baada ya kushindwa masharti yake.

  • @livefilms4468
    @livefilms4468 3 ปีที่แล้ว +3

    nasalim my beloved relatives from Kenya maeneo ya Mwingi,walioondoka tangu mwaka 1994 na kuishia Tanzania kule Mwanza.ikiwa kunaye anaekumbuka familia ya babu yetu aliejulikana kama Mwanza, naomba ujionyeshe hapo kwnye comment nitafurahi saaana.thanks inadvance davis

  • @credo7837
    @credo7837 3 ปีที่แล้ว +2

    Nishagundua story ikiw nzuri kont zinakuw chache watu wako busy kuskiliza

  • @NowelaRaymond-zq4ys
    @NowelaRaymond-zq4ys 4 หลายเดือนก่อน

    Walikuwa wanajaribu kumchomoa kwa yule mzee wa Kakonko maana alikuwa akimuonya sana kuhusu tabia na mwenendo wake, nahisi walimpambania sana, nadhani alikuwa apitee kabisa najaribu kuunganisha matukio alukuwa keshachukuliwa na mzee wa kakonko kigoma.
    Ila ukimtegemea Mungu unabaki salama. Pole sana maana kwakweli walipambana nasikia huyo mzee ni hatari huko ni ukweni kwangu.

  • @navokisembo
    @navokisembo 3 ปีที่แล้ว

    Duh kaka ulipitia mengi Yesu ahimidiwe

  • @rosekingalu4403
    @rosekingalu4403 3 ปีที่แล้ว +1

    Hii stori safiiiii kabisa in mtafyaa’s voice 😅😅

  • @johnmoghu5010
    @johnmoghu5010 3 ปีที่แล้ว +2

    Story nzuri anajua kusimlia pia

  • @alalwialalwiii8194
    @alalwialalwiii8194 3 ปีที่แล้ว +1

    Kaka devlstar Mata uko makini sanaa

  • @winifridalaurian6693
    @winifridalaurian6693 3 ปีที่แล้ว +2

    Story nzuri

  • @kimsamespa8490
    @kimsamespa8490 3 ปีที่แล้ว

    Nimeamini wako kweli watumishi wa Mungu Yani mda huo wote nyoka hakuwa i chomwa

  • @mtengwadj9390
    @mtengwadj9390 3 ปีที่แล้ว

    Twende Kazi Mr.................

  • @ramadhangona9085
    @ramadhangona9085 3 ปีที่แล้ว +1

    Hii story nikama imekatwa vile....kanisani kulifanyika nini hiyo siku

  • @jamesngalijah3710
    @jamesngalijah3710 3 ปีที่แล้ว +2

    tupo pamojaaaaaa

  • @reginamwikya2398
    @reginamwikya2398 3 ปีที่แล้ว

    Harusi lini Mr DM

  • @valentinandukuvalentinandu4779
    @valentinandukuvalentinandu4779 3 ปีที่แล้ว

    Santa mr

  • @basamtz8674
    @basamtz8674 3 ปีที่แล้ว

    Leo wa kwanza ndugu zangu akina pili mnipokee atakama atujuani vizuri

  • @elizabethmuia9839
    @elizabethmuia9839 3 ปีที่แล้ว

    Uko ni gaboshi, kuligana na story nyingi nimewai sikia kutoka kwa mikasa ya Devister mater, naye mungu zi hadhumani 🙏

  • @kahindiwanje90
    @kahindiwanje90 3 ปีที่แล้ว +1

    Safi Sana broo

  • @ladyt1471
    @ladyt1471 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana kaka

  • @abuorbakar7490
    @abuorbakar7490 3 ปีที่แล้ว

    More fire

  • @abdimohamed3953
    @abdimohamed3953 3 ปีที่แล้ว

    Unaweza ukahisi ni ndoto etii,, aisee haya mambo simchezo

  • @babaluxe8626
    @babaluxe8626 3 ปีที่แล้ว

    Hao watu walikua ni misukule na ilibidi upotee, mavumba yako mungu mkubwa

  • @mocranaburugi3486
    @mocranaburugi3486 3 ปีที่แล้ว

    Mbona umekata kipande walipienda Kanisani Mama yake na dada walipokuja?

  • @kingdeadmkelin9530
    @kingdeadmkelin9530 3 ปีที่แล้ว

    Hebu davistar jitahid kidogo kuhoji kama sheby alawi

  • @marianachriss2444
    @marianachriss2444 3 ปีที่แล้ว +1

    Davistar Mbona shehe Amiri aliyeokoka , huweki ushuhuda wake? Wewe unafanya kazi ukisikiliza watu wanasema nn huwezi fikia lengo,

  • @vellarose2596
    @vellarose2596 3 ปีที่แล้ว

    Ndani

  • @kimsamespa8490
    @kimsamespa8490 3 ปีที่แล้ว

    Yani hii story hebu andika kitabu

  • @josephmuchiri3180
    @josephmuchiri3180 3 ปีที่แล้ว

    Nice bro

  • @macamezunguzungu5584
    @macamezunguzungu5584 3 ปีที่แล้ว

    Mafunzo mazuri🙏

  • @elizabethmuia9839
    @elizabethmuia9839 3 ปีที่แล้ว

    Bona vidole zake za mikono ni nyeusi ebu mulize?

  • @kimsamespa8490
    @kimsamespa8490 3 ปีที่แล้ว

    Watu wakome waganga kabisa Yani huyu aliponea angebaki misukule

  • @eliasgembe5800
    @eliasgembe5800 3 ปีที่แล้ว

    Pamojaaa

  • @kikoadventures6933
    @kikoadventures6933 3 ปีที่แล้ว

    Back 2 back

  • @kalssambaboo9932
    @kalssambaboo9932 3 ปีที่แล้ว

    Babu alikuiba kichawi akakutoa kanisani

  • @bakari-si1pw
    @bakari-si1pw 3 ปีที่แล้ว

    Uchawi jamani

  • @babaluxe8626
    @babaluxe8626 3 ปีที่แล้ว

    Huyu alikua chizi ila hataki kufunguka

  • @shantellemwanakombo3703
    @shantellemwanakombo3703 3 ปีที่แล้ว

    Story inazid kunoga

  • @mkuluwaukae2221
    @mkuluwaukae2221 3 ปีที่แล้ว +1

    9

  • @eliasgembe5800
    @eliasgembe5800 3 ปีที่แล้ว

    Fireee

  • @makavelimkuchi2967
    @makavelimkuchi2967 3 ปีที่แล้ว

    Bongee LA tor

  • @eliasgembe5800
    @eliasgembe5800 3 ปีที่แล้ว

    Davista mata

  • @tututz100
    @tututz100 3 ปีที่แล้ว

    MTAFYA TAJIRI ALIEUA WATOTO WAKE 2 KICHAWI NA KUISHI NA NYOKA NDANI KAMA MKEWE