🔴

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ก.ย. 2024
  • 🔴#LIVE​​​​​​​​: MAGUFULI AONGEA kwa UCHUNGU Msibani kwa BALOZI KIJAZI, Asimulia ALIVYOFANYA Nae KAZI
    RAIS Dkt John Magufuli, leo Februari 19, ameongoza mamia ya waombolezaji kuaga mwili wa aliyekuwa katibu mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi, katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar.
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

ความคิดเห็น • 130

  • @neemaringo3502
    @neemaringo3502 3 ปีที่แล้ว +9

    Huyu ndo Raisi wa Tanzania. Mungu akulinde

  • @mkemiamagege8477
    @mkemiamagege8477 3 ปีที่แล้ว +21

    " Mungu yuko pamoja na sisi. Na tutashinda Corona haiwezi kuwa na nguvu Kama tutafanya maomba. Pia ndugu zetu waislamu wameishaanza kuomba na wasabato wao wameishaanza na Wakristo pia muanza kuomba maombi ya siku tatu na tutashinda, Kama tulivyoishinda mwaka Jana na mwaka huu tuomne huwenda kunasehemu tumemkosea Mungu." Dkt John Magufuli.

  • @masalukulwa8911
    @masalukulwa8911 3 ปีที่แล้ว +13

    Jiwe yuko vizuri sana... Tusitishane, uwoga ndio adui mkubwa

    • @chrishani3056
      @chrishani3056 3 ปีที่แล้ว

      Uoga? Tanzanians aren’t stupid...this guy is worse to his people than Idi Amin is ever was in Uganda. CCM out of desperation unleashed a monster.

    • @josephatmakaranga7043
      @josephatmakaranga7043 3 ปีที่แล้ว

      @@chrishani3056 huwezi kubadilika sababu una upumbavu wa kurithi

  • @williammwanganya550
    @williammwanganya550 3 ปีที่แล้ว +5

    Utukufu kwa Mungu..Mungu ametupa kiongozi sahihi kipindi sahihi..Asante Mungu..asante muheshimiwa raisi..

  • @kahemachowdry273
    @kahemachowdry273 3 ปีที่แล้ว +11

    HONGERA RAIS KWA HISTORIA YA BALOZI KIJAZI SASA TUANZE KUWAENZI WAKIWA HAI

  • @avitjosepht498
    @avitjosepht498 3 ปีที่แล้ว +12

    Above all powers, thrones and kingdoms. Mungu kwanza. Thank you Mr president

    • @tonga_2552
      @tonga_2552 3 ปีที่แล้ว +2

      He is the truly man of God and the great leader. May God keep protecting him for the land and people of our nation

    • @chrishani3056
      @chrishani3056 3 ปีที่แล้ว

      He’s not a pastor of some born again outfit but a president of a country. His ignorance and stupidity has destroyed the nation.

  • @ellykibale190
    @ellykibale190 3 ปีที่แล้ว +5

    Tuko pamoja nawe Rais, Mungu atusimamie, asimame na Rais wetu hasiteteleke.

  • @mtaalamshekidele4822
    @mtaalamshekidele4822 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwezi mmoja baada ya hii hotuba naye alifariki ..kwakwel tutakukumbuka Sana

  • @ellykibale190
    @ellykibale190 3 ปีที่แล้ว +5

    'Taifa hili lipo mkononi mwa Mungu'-JPM
    Amina kwa hilo

  • @chachangutunyi6290
    @chachangutunyi6290 3 ปีที่แล้ว +5

    This is King Hezekiah of the Bible. God fearing people should pray earnestly for him. Can you imagine the devil is manifesting himself in some of our religious leaders! Whose faith is shaky!

  • @ms.g6486
    @ms.g6486 2 ปีที่แล้ว

    Eh Yesu, Hata sasa Wewe ni Ebenezer. Tunashukuru kwa yote. Asante kwa Mh Rais Dr John Pombe Magufuli, Asante kwa Katibu wetu Mkuu Kiongozi Balozi Eng Kijazi, Asante Ndugu yetu Kiongozi muadilifu mpenda amani Maalimu Seif. Tufute machozi Eh Bwana Yesu, ni mwaka na sasa ila bado mioyo ina majeraha. Bwana Ametoa Bwana Ametwaa Jina la Bwana libarikiwe.

  • @deogratiusdominick8882
    @deogratiusdominick8882 3 ปีที่แล้ว +7

    Ukweli ni kwamba uyu mzeee yupo ktk wakat mgumu mno,,, mm naanza kwa kusema MUNHU akutie nguvu katika maamuzi yako

    • @ngwanafabian9668
      @ngwanafabian9668 3 ปีที่แล้ว

      Je wewe uko katika wakati mzuri?

    • @deogratiusdominick8882
      @deogratiusdominick8882 3 ปีที่แล้ว

      @@ngwanafabian9668 hapana ila kuna tofaut ya mwananch na kiongoz ww wananch,,, ila mm nachukua taadhar

    • @Ray-vk7bp
      @Ray-vk7bp 3 ปีที่แล้ว

      Kaka ulisema ukweli

  • @lucasmdoya4390
    @lucasmdoya4390 3 ปีที่แล้ว +4

    Usituache Mungu katika bonde la mauti tunalia baba uturehemu sisi wenye dhambi

  • @akiliboraunstoppable1137
    @akiliboraunstoppable1137 3 ปีที่แล้ว +5

    MUNGU ATATUSHINDIA TU,WATANZANIA TUACHE KULETA TAARIFA ZA TAHARUKI.TUSIMAME KWA MUNGU NA TUMLINDE RAIS WETU KWA SHUKURAN NA KUPIGA VITA MANENO YA WAOVU.

  • @uriotz_
    @uriotz_ 3 ปีที่แล้ว +10

    Hapo kwenye Mungu nakuunga mkona Mh Raisi

  • @emmylema5911
    @emmylema5911 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akulinde raisi JPM kwa kumtegemea Mugu amina 🙏

  • @eustadiuskalokola7363
    @eustadiuskalokola7363 3 ปีที่แล้ว +4

    Lala kwa Amani Marehemu Balozi Injinia Kijazi. Hakika taifa la Tanzania litakukumbuka kwa mchango katika ujenzi wako..

  • @ponsianamataka4607
    @ponsianamataka4607 3 ปีที่แล้ว +2

    Apumzike kwa amani Balozi Kijazi Amina.

  • @sarahryoba1011
    @sarahryoba1011 3 ปีที่แล้ว +2

    Pole wafiwa mungu awatie nguvu wafiwa wote

  • @eliarichard9218
    @eliarichard9218 3 ปีที่แล้ว +5

    Fagio LA chuma lina pitaaaaa..Jesus ooooh

  • @eliasmboyi5601
    @eliasmboyi5601 3 ปีที่แล้ว +3

    Tumekulewa kiongoz wetu.. Asante hp kwa 🔒 down..hkn lock down ✊

  • @florakabula2541
    @florakabula2541 3 ปีที่แล้ว +4

    Amina

  • @elizabethmkenda5607
    @elizabethmkenda5607 3 ปีที่แล้ว +6

    punzika kwa amani mpendwa wetu

  • @mwasimbega8712
    @mwasimbega8712 3 ปีที่แล้ว +1

    Doh nà yy hayupo eti😭😭

  • @joycejaphet8407
    @joycejaphet8407 3 ปีที่แล้ว

    Watanzania ni wakati wa kumuomba sana MUNGU tuna ushuhuda MUNGU huyu alietutetea mwaka 2020 atatutetea tena mwaka 2021 na siku zote za maisha yetu. tumsikilize kiongozi wetu Mh Raisi.

  • @ophiriyoramu44
    @ophiriyoramu44 3 ปีที่แล้ว

    Emungu wangu

  • @saiddod7788
    @saiddod7788 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu kampenda Zaid Inna lilah waina ilah

  • @DRIPPINGPAIN
    @DRIPPINGPAIN 3 ปีที่แล้ว

    ULIFANYA ULIYOTAKIWA KUYAFANYA.. KAZI UMEIFANYA REST IN PEACE TENA NA TENA SHUJAA MFANO WA KUIGWA..
    SANA
    MAY GOD FORGIVE YOU OF ALL YOUR SHORT COMINGS PLEASE 🙏 AMEN R.I.P MAGUFULI 😪😭😭😭😭😭😪

  • @naivashaazori6233
    @naivashaazori6233 3 ปีที่แล้ว +2

    Amen

  • @tenge529
    @tenge529 3 ปีที่แล้ว +1

    I can't believe that today my hero is dead,no!no!noooooooooo!

  • @michongomedia7892
    @michongomedia7892 3 ปีที่แล้ว

    Duuuuu baba unatia moyo hpo kwa mungu naona nawe endelea kutubu

  • @balbinakitambi4014
    @balbinakitambi4014 3 ปีที่แล้ว +2

    R.I.P Maalim seif hamad

  • @lordrichreuben1446
    @lordrichreuben1446 3 ปีที่แล้ว +1

    R.I.P kijaz

  • @balbinakitambi4014
    @balbinakitambi4014 3 ปีที่แล้ว +1

    R.I.P John Kijazi

  • @ngwanafabian9668
    @ngwanafabian9668 3 ปีที่แล้ว +1

    Nasema hivi Mungu huonekana hasa unapofikia wakati kama huu ambapo unatakiwa kuchagua njia moja kati ya mbili, umutumainie Mungu ama sayansi. Nasema hakika tumeshashinda vita hii tena katika jina la Yesu na awamu hii Mungu atatutendea makuu kuzidi kawaida. Wale tunaoitwa kwa jina Bwana acha tuingie kazini.

  • @allyjumanne7920
    @allyjumanne7920 2 ปีที่แล้ว

    Rip magufuli 💔💔💔

  • @ibel4lf
    @ibel4lf 3 ปีที่แล้ว

    Wamtumainio Bwana ni kama mlima Sayuni ambao hautatikisika hata milele

  • @machangoemanuel6174
    @machangoemanuel6174 3 ปีที่แล้ว +1

    R.I.P JPM

  • @dicksonmmasy55
    @dicksonmmasy55 3 ปีที่แล้ว +12

    Raisi bora zaidi kuwahi kutokea Duniani....naipenda nchi yangu..nampenda Raisi wangu

  • @nativeinfotv9620
    @nativeinfotv9620 3 ปีที่แล้ว

    Poleni watanzania. Mungu atutie nguvu

  • @hajiiddi1085
    @hajiiddi1085 3 ปีที่แล้ว +6

    MAGUFULI UNASEMA UKWELI!HALAFU HAPA AUSTRIA WAMEPIGA MARUFUKU HIZO BARAKOA, KWANI NDIO ZINA VIRUSI VYA CORONA AU( BIO WEAPONS )!CORONA NI HOFU TUU NA USIWE NAYO!MABEBERU WANATAKA KUDIPOPULATIO AFRIKA!!

    • @tipieleven8582
      @tipieleven8582 3 ปีที่แล้ว

      Austria ipi hiyo kaka walopiga marufuku matumizi barakoa?? Yasikitisha kuona waongopa. Zingatieni maelekezo ya watu wa afya..TAFADHALI!!!

    • @hajiiddi1085
      @hajiiddi1085 3 ปีที่แล้ว

      BARAKOA TUNAZOTUMIA NA SIO LAZIMA KUTUMIA ILA KAMA UNASAFIRI NA TRENI AU SHOPING MALL, WAMETENGENEZA BARAKOA ZAO WENYEWE ZINAITWA FPP2 BARAKOA!!

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 3 ปีที่แล้ว

      Na ulaya vilevile ni hiyo ' kudipopulalion' watu wa ulaya..!

  • @godblessjrtz.8652
    @godblessjrtz.8652 3 ปีที่แล้ว +2

    Jameni tumuombe mungu wetu, na tufuate protocol za kunawa mikono kuvaa Barakoa na kuvaa kumaitain social distance.

    • @careendeni6580
      @careendeni6580 3 ปีที่แล้ว

      Do you think mask will save you?
      They are deadly weapon than you think and take them

    • @godblessjrtz.8652
      @godblessjrtz.8652 3 ปีที่แล้ว +2

      @@careendeni6580 so what did yo want to say? ... if wearing mask, hand washing, and athering social distance won't help us then what do you prefer to?
      It look like yo know something but unfortunately yo know nothing coz there's new pandemic of COVID 19 which is very dangerously than the Covid 19 and this new Virus is called variants virus ..so prayers itself can't help us coz all countries they pray and yet they die. So don't mislead people.

    • @careendeni6580
      @careendeni6580 3 ปีที่แล้ว

      Wash your hands even in your bed and dreams, sleep with your mask since covid spread via air you take in your own oxygen from your own universe.
      Think of everything thing even how covid is cured, how started.

    • @careendeni6580
      @careendeni6580 3 ปีที่แล้ว

      Those people wash their hands 😂😂, they wear mask and are social distancing but yet dying ooooh 😂😂😂😂

  • @abisaifaragha3948
    @abisaifaragha3948 3 ปีที่แล้ว

    Poleni watanzania wenzangu kwa misiba hii mkubwa

  • @msumiibra2511
    @msumiibra2511 3 ปีที่แล้ว +3

    Powerful msg..

  • @anethmshahara9694
    @anethmshahara9694 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ampumzishe kwa amani baba yt Kijazi, na aendelee kumuimarisha baba yt Mpango ili aendelee kulitumikia Taifa, zaidi ya yote Rais wetu Mungu amtunze kwan bado tunasafari pamoja nae Amen Inshaallah!

    • @anethmshahara9694
      @anethmshahara9694 3 ปีที่แล้ว

      Bila kusahau RIP baba yt Maalim Seif sote ni waja wa mwenyezi Mungu na kwake tutarejea, innalillah wainna ilaih rajiuun

    • @fatmaabdallah5870
      @fatmaabdallah5870 3 ปีที่แล้ว +1

      Wwe nirais bwana kuliko walopita mwanzo ila hakuna alokufikia namuomba alllwa akupe maisha marefu uzidi kutuona wanyonge alwwa akulinde baba nakupenda sana

    • @ezekielmburu3418
      @ezekielmburu3418 3 ปีที่แล้ว

      RIP magufool

  • @nicksonpius6128
    @nicksonpius6128 3 ปีที่แล้ว

    Safii kiongozi

  • @dogorezitz1.zakariaaloisdo619
    @dogorezitz1.zakariaaloisdo619 3 ปีที่แล้ว

    President wetu j,p,m,g,hongera kwa kazi kubwa unayoifanya

  • @jnote9283
    @jnote9283 3 ปีที่แล้ว

    Dah

  • @ezekielm4174
    @ezekielm4174 3 ปีที่แล้ว +2

    Leo hatu muamini Mungu ila tuna ogopa corona 😔😔

    • @hamzayusuf1894
      @hamzayusuf1894 3 ปีที่แล้ว

      Huyo aliyemtanguliza yesu amekufuru amtangulize mungu yesu simungu ni.binadamu anachewo kwa mungu ni mtume

    • @missmunna5965
      @missmunna5965 3 ปีที่แล้ว

      @@hamzayusuf1894 na Mungu alituletea mwanae Yesu ili tuombe kupitie yy maana Mungu yupo ndani yake. Wewe ndio hujui dini pole

    • @avitusmichael5
      @avitusmichael5 3 ปีที่แล้ว

      Mihadhara

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 3 ปีที่แล้ว

      Yesu si mwana wa mungu ila mtume tu wa kasome haya ktk kitabu cha yohana 17;3

  • @paull8659
    @paull8659 3 ปีที่แล้ว +1

    Hana uchungu wowote huyu...Wangapi wamepote au kuwawa wakati wa kupiga kura? Mbona hakusikitika? Unafiki tu hapa.

  • @nassoromussa2423
    @nassoromussa2423 3 ปีที่แล้ว +1

    R.I.P ila muheshimiwa vp kuhusu chanjo!?

  • @jumamohamed789
    @jumamohamed789 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwahiyo unakiri kwamba maalim SEIF alikuwa anakamatwa kwa kuonewa siyo kwa sababu alikuwa mkorofi wala mbaya wala mkosaji! Wewe MAGUFULI jitahidi kumuogopa mungu wako kwa vitendo siyo maneno baada ya mtu kufariki

  • @amamimasawe8181
    @amamimasawe8181 3 ปีที่แล้ว

    M

  • @reaganlyimo6259
    @reaganlyimo6259 3 ปีที่แล้ว

    U

  • @ezekielmburu3418
    @ezekielmburu3418 3 ปีที่แล้ว

    Rais anahudhuria mazishi ya kijazi aliyekufa na corona bila barakoa na kutumia microphone moja bila sanitation. Hapa ndipo kaambukizwa corona

  • @salyali7807
    @salyali7807 3 ปีที่แล้ว +1

    Mshenzi.... bora unyamaze kuliko utumbo huu...

    • @modrikedward1779
      @modrikedward1779 3 ปีที่แล้ว

      Sana yaan😁

    • @marymichael2739
      @marymichael2739 3 ปีที่แล้ว

      Washenzii nyiee hamjielewi kabisaa Kwani rais ndo anaeauwa

    • @josephatmakaranga7043
      @josephatmakaranga7043 3 ปีที่แล้ว

      Una upumbavu wa kurithi hatushangai

    • @salyali7807
      @salyali7807 3 ปีที่แล้ว

      @@josephatmakaranga7043 pole mumefanywa slaves mpaka kiakili... hamuwezi hata kutafautisha la ukweli na uongo you are just "yes sir " wake up Tanzanians

    • @josephatmakaranga7043
      @josephatmakaranga7043 3 ปีที่แล้ว

      @@salyali7807 siwezi kuongea na mpumbavu kam wew

  • @selenganyagawa1358
    @selenganyagawa1358 3 ปีที่แล้ว +4

    R.I.P kijazi. Tutakukumbuka watanzania kwa wasifu huo.!! Husahauliwi peponi KIJAZI.

  • @nurdinleiko7495
    @nurdinleiko7495 3 ปีที่แล้ว

    R.I.P Jiwe

  • @beatricehenry6776
    @beatricehenry6776 3 ปีที่แล้ว +2

    Asante Rais wetu tukupendaye sana.tuna nguvu mpya kwa kupigwa kwake tumepona WTZ wote.

    • @aggreyoriema8914
      @aggreyoriema8914 3 ปีที่แล้ว

      Magufuli uko juu sana kuliko Marais wote hapa barani afrika mungu akupe nguvu. 🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💞💞💞💞💞🌹🌹💯

  • @emanuelmasala7674
    @emanuelmasala7674 3 ปีที่แล้ว +2

    Hatuna corona tz, ukiambiwa jambo, ongeza na zako

  • @MadamRehemaRamadhani
    @MadamRehemaRamadhani 3 ปีที่แล้ว

    Tutashinda tena na zaidi ya kushinda