Sio mahubiri mahubiri yake hivi hukumbuki kuwa,naye ni chombo kitumikacho mbele ya Mungu? Ikiwa Mungu amempa Neno la kusema basi ujue kwamba,siye yeye anayehubiri bali Mungu anahubiri ndani yake rejea[ warumi 8:15]
Kwa jinsi hali ilivyo badilika matapeli wanaongezeka kila kukicha lakini Mungu anazidi kuongeza maarifa zaidi kwa watumishi wake japo watumishi hawa ni wachache na hawana mbwembwe
Nawafuatilia nikiwa dar es salam mchungaji lakin pia mchungaji sitakata tamaa kukumbusha kuhusu hitaji langu labkitabu chako kilichoandikwa siri ya maombi yaliyojibiwa nisaidie mchungaji
Amina sana pr tunaimani tutafunguliwa hata na sisi wa mbali
Amen Pastor:Hakika toka nianze fatilia mahubiri yako najisikia sababu ya kuendelea kuiface kesho yangu kwa ujasiri.. mahubiri yako yanatia moyo waliokata Tamaa..Mungu azidi kukubariki uwe na afya njema na busara ya kimbingu
Barikiwa sana mtumishi kuna mahali umenitoa
❤
Pastor mbaga unanitia moyo sana na mahubir Yako Mungu akubariki sana
Sio mahubiri mahubiri yake hivi hukumbuki kuwa,naye ni chombo kitumikacho mbele ya Mungu? Ikiwa Mungu amempa Neno la kusema basi ujue kwamba,siye yeye anayehubiri bali Mungu anahubiri ndani yake rejea[ warumi 8:15]
Barikiwa kwa maswali mazuri na majibu mazuri nimejibiwa swali kuhusu ubatizo hata nami nilibatizwa nikiwa mdogo barikiwa pia kwa mahubiri mazuri
Asalam alykum.....(amani iwe juu yenu) hii ni mada yangu pendwa nimeisubir Kwa muda mrefu sana.. ahsante pastor Mbaga
Asante psr mmbaga MUNGU awabaliki mzalimie pst keraka emamuel ni mchungaji wangu matare SDA
Hakika huu ni wakati wa mwamuko wa Kiroho, Mungu aendelee kutupatia mafunuo zaidi 🙏
Amina muchugaji mungu akuinuwe zaidi
Asante sana kwa somo zuri Pastor. Uzidi kubarikiwa.
Ubarikiwe sana Mchungaji Mmbaga. Nabarikwa sana na mafundisho na mahubiri yako. Natamani siku moja nikutane na wewe ana kwa ana.
Kwa jinsi hali ilivyo badilika matapeli wanaongezeka kila kukicha lakini Mungu anazidi kuongeza maarifa zaidi kwa watumishi wake japo watumishi hawa ni wachache na hawana mbwembwe
Wimbo super. Mbarikiwe waimbaji. Barikiwa Mchungaji ❤❤
Barikiwa sana pr mungu akupe hekima tena saidi
Jina laMungu wako liinuliwe milele yote na akupe kupenda maalifa katika Mungu
Mbarikiwe wa mama wa dorika , ubarikiwe sana mongas ,Niko songwe Tanzania nimebarikiwa na huduma yenu
Asante sana Pr D. Mbaga kwa somo hili ubarikiwe
Ubarikiwe mchungaji Mungu Akupe siku nyingi ili watu waendelee kufaidika kiroho kukupitia
Mungu apewe sifa zaidi na kwa ajili ya fundisho na maombi
Bwana azidi kukutumia kifunua ukweli wa neno la Mungu kwetu
Nîmes barikiwa sana kwa mafundi
❤❤❤❤❤ inapendeza God add you more for His people
haika nabarikiwa nikiwa hapa dodoma
Ubarikiwe sana pasita
Huu wimbo umenibariki sana mungu azindi kuwabariki sana waimbaji mzidi kuinuliwa kwa kiwango kingine khaa juu
amin
God blesse you man of cloth 🙏nina tamani bibilia yakisasa
Amina mchungaji
Amina!
Asante sana mungu
Michiganji ninatatizo kwanini
Ukiwaambiya kuhusuchakula nanjisi wanakala Tena wanasema wanaloho mutakatifu niwakweao
Samahani unipejibu
Amen amen 🙏🙏🙏🙏
Amen amen 👏👏👏👏👏
Wimbo umeni bariki sana
Mchungaji naomba nisaidie tofauti ya yesu na yehova niipi je? Ninamna gani yakuomba vizuri kati ya yesu na yehova
Which book is pastor reading? Especially the book of SDAs. I'd really like to get it.
AMINA
Ubarikiwe Pr
Asante sana waimbaji kwakunibari na huo wimbo 😢😢😢😢
Hii imeenda.
Amen
Yaani mimi nilikua najua Roho na Nafsi ni kitu kimoja
mamangu Ruth nimefurahi kukuona.
Waimbaji BWANA awabaiki
Nimebarikiwa na kununua tena nilipo
Title of the song plz
Nimebarikiwa
Je? Doto ya kuota unakemea ina maana gan? Kroho
Ina maana huo mfano hivyo vyote nafsi na roho na mwili ni vitu vitatu kama unavyoelekeza sio vyote ni mtu mmoja?
.😂😂😂😂 Filling blessing
Nawafuatilia nikiwa dar es salam mchungaji lakin pia mchungaji sitakata tamaa kukumbusha kuhusu hitaji langu labkitabu chako kilichoandikwa siri ya maombi yaliyojibiwa nisaidie mchungaji
Ninakufuatilia kilawakati kotoka kisumu nina omba bibilia chakisasa
Barikiwa Sana na BWANA