Jinsi ya KUWEKA STEAMING |Inajaza na kukuza nywele

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 52

  • @ChristinaMjema-eb9im
    @ChristinaMjema-eb9im ปีที่แล้ว

    Hio perfect inajaza nywele dear mm nina nywele nyepes

  • @highnesslebrace4841
    @highnesslebrace4841 3 ปีที่แล้ว +5

    Steaming inatakiwa iwekwe baada ya muda gani?

  • @matridadaniely6781
    @matridadaniely6781 2 ปีที่แล้ว +7

    Dada samahan, eti stiming umeweka baada ya kumuosha au hatakama sijamuosha

    • @Imamusaid477
      @Imamusaid477 7 หลายเดือนก่อน +1

      Unamuosha Dawa. Ndipo unamuweka stiming

  • @salomekazumba3211
    @salomekazumba3211 2 ปีที่แล้ว

    Asante dada nimekwelewa vizuri

  • @mwambapasubila6313
    @mwambapasubila6313 2 ปีที่แล้ว

    Naskulu dada farida naelewa mambo yako super

  • @JaneJoseph-p9f
    @JaneJoseph-p9f 3 หลายเดือนก่อน

    Kama Hauna hiyo stima unaweza kuosha bila kukaa kwenye stima??

  • @WinifridaJoji-rw6rg
    @WinifridaJoji-rw6rg ปีที่แล้ว

    Kama sina steamer wala dryer nnabodryer tuu inafaa

  • @silivianyaonge7350
    @silivianyaonge7350 ปีที่แล้ว

    Hiyo streaming inaitwaje? Na inapatikana wapi?

  • @giftchansa3892
    @giftchansa3892 2 ปีที่แล้ว

    Woow madam thanks

  • @BenyHerman
    @BenyHerman ปีที่แล้ว

    Dad samahn ivi unaeza ukawek steaming bila kuloanisha nywele keanza aw

  • @EmmySamboma
    @EmmySamboma 5 หลายเดือนก่อน

    Kaba ya kuosha au?

  • @SilviatinSilviatin
    @SilviatinSilviatin ปีที่แล้ว

    Stiming gani nzuri

  • @ashrafkassim7820
    @ashrafkassim7820 2 ปีที่แล้ว

    Asante dada na kama Sina stma naweza kutumia draya

  • @MahyaMasood-sh1bx
    @MahyaMasood-sh1bx ปีที่แล้ว

    Farida athmani I loveeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

  • @AsiaKhamis-q8k
    @AsiaKhamis-q8k 6 หลายเดือนก่อน

    samahan dear unaweza kulala na stiming

  • @amosmajoa8427
    @amosmajoa8427 2 ปีที่แล้ว

    Samahani dear nipo dar es salaam nilikuja kufanya Kaz nipate hela nije kujifunza kusuka lakin ha2elewani na boss Wang naomba unisaidie nanina penda Sana kujifunza farida

  • @ladyvanny6563
    @ladyvanny6563 ปีที่แล้ว

    Jaman ni nzur

  • @fatumaathmani503
    @fatumaathmani503 ปีที่แล้ว

    Dada mm ndonatoka kuweka dawa naaza na dawa gp nywele yangu ningumu

  • @marymlowezi5776
    @marymlowezi5776 3 ปีที่แล้ว +1

    Hii steaming inafaa kwa mtu mwenye nywele natural???

    • @rodaenos4026
      @rodaenos4026 2 ปีที่แล้ว

      Naomba kuuliza ukiweka sitming ukimkausha unamuosha tena ?

  • @NancyMndeme-fj9le
    @NancyMndeme-fj9le ปีที่แล้ว

    Fina

  • @mwajumaabdallah_tz6851
    @mwajumaabdallah_tz6851 4 ปีที่แล้ว +1

    Madame ukisha mueka mteja steaming una mueka kwenye stima bila kuweka Lola au inakuaje apo🤔

    • @faridaothman
      @faridaothman  4 ปีที่แล้ว +1

      Kuna steaming za kusetia ndo unaweza rolaz
      Ila steaming ya kuosha utaweka kisha utaosha ndio uje uweke rolaz

    • @mwajumaabdallah_tz6851
      @mwajumaabdallah_tz6851 4 ปีที่แล้ว +2

      Asante madame naomb utuoneshe aina ya steaming na ambazo unaosha na zisizo za kuosha🙏

    • @madameaisha5676
      @madameaisha5676 3 ปีที่แล้ว

      @@mwajumaabdallah_tz6851 mwenyew nasubili

    • @jackmacha6057
      @jackmacha6057 2 ปีที่แล้ว

      @@faridaothman tuna weka sting mara ngap KWA mwez msaada pls

  • @zainahizza8215
    @zainahizza8215 ปีที่แล้ว

    Unaweza kuweka stming baada2 yaku retouch

  • @HamidaMruttu-gz8hy
    @HamidaMruttu-gz8hy 8 หลายเดือนก่อน

    Je ina madhara katika nywele

  • @ireneyusuph1750
    @ireneyusuph1750 4 ปีที่แล้ว

    Unaeleweka asante

  • @carolinemwakagali3909
    @carolinemwakagali3909 ปีที่แล้ว +2

    Hiyo stimming ni kwa nywele zenye dawa tu au zote

    • @faridaothman
      @faridaothman  ปีที่แล้ว

      Hapa nimetumia kwa yenye dawa

    • @carolinemwakagali3909
      @carolinemwakagali3909 ปีที่แล้ว

      @@faridaothman ok kwa iyo zipo na za watu wenye nywele za kawaida zisizo na dawa?

  • @zainahizza8215
    @zainahizza8215 ปีที่แล้ว

    Naomba kuuliza swali

  • @suzieemmanuel7084
    @suzieemmanuel7084 4 ปีที่แล้ว

    🔥🔥

  • @Imamusaid477
    @Imamusaid477 7 หลายเดือนก่อน

    Mbona aujib maswali yetu. Unaweka stiming baada ya muda gani

  • @magrethchansa373
    @magrethchansa373 3 ปีที่แล้ว

    Asante

  • @shabalalaulomi6774
    @shabalalaulomi6774 2 ปีที่แล้ว

    Iyo stmin mamy ni ya kusetia au ni ya kuosha

  • @aminamustapha3808
    @aminamustapha3808 4 ปีที่แล้ว +1

    Bt si lzima umuwek hvy,unaweza 2mia njia nyngn

  • @AngelaBaden-kw2ot
    @AngelaBaden-kw2ot ปีที่แล้ว

    Shngapi

  • @fatumaissahongera3529
    @fatumaissahongera3529 4 ปีที่แล้ว +1

    Hii kitu nilikuwa naitaka

  • @marymicky2692
    @marymicky2692 3 ปีที่แล้ว

    Ukimueka kwenye stima unamueka rola au unamvalisha kofia

  • @rahmashebby1447
    @rahmashebby1447 3 ปีที่แล้ว

    Sa jina la steaming hatujaona

  • @rahmamngoya9044
    @rahmamngoya9044 3 ปีที่แล้ว

    inapatikanaje mikoani hiyo stimng

  • @nasibumaneno7409
    @nasibumaneno7409 3 ปีที่แล้ว

    Unapowek stiming je unaosha Kwanza nywele

  • @mwanaidikika3417
    @mwanaidikika3417 2 ปีที่แล้ว

    Hivi nywele zinatakiwa ziwe na unyevu nyevu kwanza

  • @ashurakibindo7671
    @ashurakibindo7671 3 ปีที่แล้ว

    Inaitwaje hiyo stiming

    • @mariasamwelimkumbo449
      @mariasamwelimkumbo449 2 ปีที่แล้ว

      mm na mjibia naona hata hajibu Ina itwa pefert ya kitungu swaumu

    • @philbetherconrady4767
      @philbetherconrady4767 2 ปีที่แล้ว

      Inaitwa perfect ni nzur sana😊😊

    • @lovenessthomas4657
      @lovenessthomas4657 2 หลายเดือนก่อน

      Sifa ya perfect steaming​@@philbetherconrady4767