CHEKI JINSI YA KUPIGA DAWA KWENYE MAHINDI KWA KUTUMIA PUMP YA MASHINE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 พ.ค. 2021
  • Kilimo ni moja kati ya shughuli zinazofanywa na watu wengi sana hapa Tanzania,, Leo tumia muda wako kuangalia namna ya kupuliza mbolea iliyokatika mfumo wa kimiminika na iliyochanganywa na booster katika shamba la mahindi. Booster husaidia kuimarisha afya ya mmea na kuuongezea kasi ya ukuaji wake hasa katika kipindi ambacho mmea umeanza kutoa zao. Karibu kujifunza.

ความคิดเห็น •