Matendo Ya Mungu Yapita Fahamu 276 Nyimbo Za Wokovu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ก.ย. 2024
  • 1Matendo ya Mungu yapita ‘fahamu, ni nani ayaona wazi? Lakini najua mapito ya Mungu kwa mimi yafaa halisi.
    2Njiani sijui maana ya yote, lakini nitayafaamu. Kwa nini kuzisumbukia kwa bure taabu na shida za mda?
    3‘ Bwana, unayo magari maelfu, na lenye linalonifaa, u’lichagulie mwenyewe, Bwanangu, nifike salama mbinguni!
    4Na kama Elia upesi kabisa nitakavyoacha dunia, uchungu na shida za huku ‘takwisha, milele nitashangilia.
    5Tutamsujudu Mwokozi daima, kuimba maelfu pamoja: E’ Mungu, u haki na mwenye neema katika shauri na tendo.
    6Halafu nangoja kwa uvumilivu kujua maana kwa wazi. Na matumaini ni yenye uzima: Urithi ninao mbinguni.

ความคิดเห็น • 13

  • @sikitusakurira8010
    @sikitusakurira8010 2 ปีที่แล้ว +1

    Ameen

  • @MichelineNyota-e5u
    @MichelineNyota-e5u 8 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @mwetafils8875
    @mwetafils8875 3 ปีที่แล้ว

    Wimbo wangu pendwa kutoka kitabu cha nyumba za wokovu

  • @samuelmweze621
    @samuelmweze621 3 ปีที่แล้ว +2

    Hallelujah

  • @joellemwanangeli7688
    @joellemwanangeli7688 ปีที่แล้ว

    J'aime trop cette chanson, elle me rappelle l'enterrement de ma mère en 2004 j'étais trop petite toute ces chansons constituent d très bon souvenir pour moi. Sauf que ça c la version moderniser

  • @rodgersmwagandi2557
    @rodgersmwagandi2557 2 ปีที่แล้ว +1

    Very touching songs.May God the almighty grant you with his wisdom.

  • @joelleblessig9482
    @joelleblessig9482 3 ปีที่แล้ว +1

    Bravoooooo.So deep.Mungu bariki watu wako

  • @jonathansamueldrum4378
    @jonathansamueldrum4378 3 ปีที่แล้ว

    Amen amen Mungu ni mwema

  • @spreadsongmusic217
    @spreadsongmusic217 2 ปีที่แล้ว +1

    Merci bcp Frère. J’avais besoin de ce son avant de dormir

  • @debymateta3790
    @debymateta3790 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen !!!!

  • @Cilia149
    @Cilia149 8 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @NizigiyimanzClaudia
    @NizigiyimanzClaudia 10 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @obadiaschirala3941
    @obadiaschirala3941 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen