Ikiwa Bwana ndiye kakupa taarifa hiyu hatuwezi kuzuia mpango wa Mungu na ikiwa ni kwa mapenzi ya mwanadamu huo mpango utabatilika kwa damu ya Yesu Kristo maana kazi yake Mungu amekupa kwa kusudi maalumu... jipe moyo mkuu songa mbele
Jamani nini tena hiii ? Ee Mungu wetu tunaomba umpe maisha marefu Paschal wetu Mungu wangu,mwongezee siku za kuishi uwe bega Kwa bega pamoja naye mpe ,ulimwenguni tunayo dhiki tunajua ila bwana kwa Rehema zako mrejeshee furaha ya wokovu,pamoja na watumishi wengine kama huyu
Haifii mpaka yatimie yote ambayo Mungu amekuagiza ufanye usijitabiliye hivyo mimi bado napenda sauti Yako ya maonyo neno linasema jitabiriye mema utaishi kwa jina la yesu kristo mwana wa Mungu aliye hai
Naomba usife kaka cassian bado nakupenda mungu wangu wa mbinguni nakuomba umpe maisha marefu 🤲🤲🤲 nakuomba baba ili aweze kutangaza ukuu na uweza wakoo 🙏🙏😭😭😭😭
Not yet and of so itakuwa mpango wa Mungu ,ila mkono wa mwanadamu hauna mamulaka katika maisha yako ,wewe ni mteuliwa wa Mungu acha Mungu akutumie apendavyo ,ni sawa kujitayarisha ila kwa njia hii waaa hatukubaliani nayo mtumishi , Mungu akulinde na akupee uzima wa afya
Mngu bado anakutumiya mtumishi wetu Katika jina la Yesu ikae mbali roho ya umauti juu yako mtumishi Mngu akupiganie na vita ulionayo ...watu tumegeuka chui hatuitaki kweli Mngu atufunguliye na vifungo vya kuzimu tuijue kweli
mtumishi me ningependekeza uwe na group maalumu ata whatapp ambalo.ungeanzinsha ili utufanyoe wepesi kuna maswali na mambo mengi itabidi tuyajua kutok kwako
Kumbuka aliyekuita hanakuitaji unatoa kifo wapi ,ok jua niwengi wanakuitaji for your massage what's long God anakuitaji kwa kazi yake do like man of god ss niwakuizi nanena kama mtumizi w mungu jipe nguvu kazi n mingi watenda kazi niwadogo 🙏🙏🙏
Mbeba maono hafi.... utaishi utangaze wema na ukuu wa Mungu. Umebeba kusudi la Mungu kubwa.
Haufi utaishi ushuhudie matendo makuu ya Bwana
🙏🙏🙏@@Mamas-06k
Damu ya YESU ikulinde mtumishi uendelee kufanya kazi yake maana watumishi kama wewe ni wachache sana
Kuishi kwetu ni kristo na kufa ni faida Mungu akutunze sana mtumishi wa Mungu
Kwa Jina kuu la Yesu hutakufa bali utaishi uyasimulie matendo makuu ya Bwana
Balikiwa
Wewe ni mutumishi WA mungu WA kweli Kwa kweli shetani hakupendi ila yesu anakupenda saaana ukweli Dio unatupeleka mbinguni mungu akubariki sana
Ikiwa Bwana ndiye kakupa taarifa hiyu hatuwezi kuzuia mpango wa Mungu na ikiwa ni kwa mapenzi ya mwanadamu huo mpango utabatilika kwa damu ya Yesu Kristo maana kazi yake Mungu amekupa kwa kusudi maalumu... jipe moyo mkuu songa mbele
Mtumishi Mungu wetu n mwaminifu yeye anajua mwanzo wako na mwisho wako pia Amina🙏🙏🙏🙏😡😍tunakupenda
Jamani nini tena hiii ? Ee Mungu wetu tunaomba umpe maisha marefu Paschal wetu Mungu wangu,mwongezee siku za kuishi uwe bega Kwa bega pamoja naye mpe ,ulimwenguni tunayo dhiki tunajua ila bwana kwa Rehema zako mrejeshee furaha ya wokovu,pamoja na watumishi wengine kama huyu
Amina dada
Mtumishi Mungu akutie nguvu uishi na ufanye KAZI ya Mungu tunakuombea kwa jina la yesu
Haifii mpaka yatimie yote ambayo Mungu amekuagiza ufanye usijitabiliye hivyo mimi bado napenda sauti Yako ya maonyo neno linasema jitabiriye mema utaishi kwa jina la yesu kristo mwana wa Mungu aliye hai
Amina
Vita vikili
Vita ni juu ya Bwana
Mungu akutetee
😭😭😭😭😭 naogopa ujumbe huu mungu nipe mwisho mwemaa
mungu yupo na wewe hutaaibishwa na maadui jitie moyo
MUNGU hatakuacha uaibike📓
Kinywa chako kina nguvu mtumishi jitabilie baraka na zaidi ya yote mapenzi ya Mungu yatimie kwako
Kwa Jina la Yesu hutakufa, utulienezee neno la Mungu
Amen.
U shall never die but live to declare the works of the Lord ure among the laborers of God continue winning souls for the Lord Jesus christ is coming
Ila melody zako ni nzuri sanaa
Dah nakukubali saana mtumishi😢
Mungu wa mbinguni tusaidie tupate kulisoma neno lako nakulielewa na tupate kuijua kweli yako katika haki na kweli iliyothibitishwa nawe🤲🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙏
Naomba usife kaka cassian bado nakupenda mungu wangu wa mbinguni nakuomba umpe maisha marefu 🤲🤲🤲 nakuomba baba ili aweze kutangaza ukuu na uweza wakoo 🙏🙏😭😭😭😭
Not yet and of so itakuwa mpango wa Mungu ,ila mkono wa mwanadamu hauna mamulaka katika maisha yako ,wewe ni mteuliwa wa Mungu acha Mungu akutumie apendavyo ,ni sawa kujitayarisha ila kwa njia hii waaa hatukubaliani nayo mtumishi , Mungu akulinde na akupee uzima wa afya
Mungu atakulinda mtumishi wa mungu 👏🎉❤
Mngu bado anakutumiya mtumishi wetu
Katika jina la Yesu ikae mbali roho ya umauti juu yako mtumishi
Mngu akupiganie na vita ulionayo ...watu tumegeuka chui hatuitaki kweli Mngu atufunguliye na vifungo vya kuzimu tuijue kweli
Mungu akulinde mtumishi wa Mungu
Utaishi katika jina lake Mungu wa majeshi
Acha kujitabiria kifo, Mungu bado anahitaji kukutumia
MUNGU Akujalie Uzima
Utaishi kwa jina la yesu 🙏🙏🙏
Mungu akulinde mtumishi
Kwa imani utaishi
Kwa imani utaishi amen 🙏
Hutakufa bali utaishi katika jina la yesu
Ni kwanini unajitabiria kifo Pasçhal. Kama ni mpango wa mwanadamu jua hautafanikiwa Wewe ni Mtumishi wa Mungu ndiye ajuaye fumbo la kifo
Kufa hata leo maana kimjazacho mtu ndicho kimtokacho Mungu akupe haja ya moyo wako uone kama hatutaendelea nayo blessed
Wewe unaelewa kweli
Kuna nini tena kaka cas mbona mapema sana huu wimbo?😢😢😢binafsi ntalia sana ila sitaki ufe mapema bado hujakamilisha kazi ya MUNGU KWA WATU WAKE
Tunakataa vifo vya mapema shalom.
nice
MUNGU yuko upande wako hautakufa bali utaishi uutangaze ukuu wa MUNGU na kuona matendo makuu ya BWANA YESU
Mungu akutunze
Kama itatokea basi ni mapenzi ya MUNGU 😟😢
Mtumishi mbona unajitabilia kufa Sema utaishiii kwa Jina la Yesu
Zid ku Shu sha maneno ya mungu
Nakubari kaka
MUNGU akuongezee mikayakuishi kama Ezekieli,
Badilisha maneno hayo kinywa kinaumba, sasa ufeje wakati we kijana,lazima ikupate miaka sabuni na bonsai themanini
Amen
😢😢😢
Mambo nuru
Utakumbukwa kupitia njili hii iliyo hai.
Kuishi ni kristo kufa faida kwa kila mkristo amwaminie
Mtumishi hutakufa bali utaishi
Ndio ,mtumishi,,, 🙏,,i also have released song 🔥, NAONA MBALI by STELLAH NDUKU 💯, ✅ kindly get it and God bless you all ✅🙏,
BWANA AENDELEE KUKUTUNZA NA KUKULINDA
Bado kaka kuondoka ujaitenda kazi uliookolewa nakunusulika katika vifo
Bora kufa kishujaa
Hautakufa Bali utaishi ili ushuudie matendo makuu ya mungu wewe umekusudiwa namungu
Kama kwangu Mimi kuishi ni Kristo kufa ni faida
❤❤❤
mtumishi me ningependekeza uwe na group maalumu ata whatapp ambalo.ungeanzinsha ili utufanyoe wepesi kuna maswali na mambo mengi itabidi tuyajua kutok kwako
Mbona unasema ivyo
Kinywa kinaumba ohoo
Kila aishie na kuniamini hatakufa Jn 11:26
Psalms 118;17
Kiuishi ni KRISTO kufa ni faida.
Utakufa ukiwanaumli timilifu kama mganda wangano
Mtumishi wa BWANA hautakufa wewe ni mbeba maono maana tunaamini kila ujumbe una kusudi la MUNGU ni kila mmoja atakufa
😢😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
KWANI HUYO CASSIAN NA MWENYE HII CHANNEL NI WATU WAWILI TOFAUTI?
😢😢😢😢
😢😢😢
We speak declare&decree LIFE and GOODNESS OF God in the land of the living
😢😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
😢😢😢😢😢😢