Nyisake Chaula_umuhimu wa kuomba rehema

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 31

  • @Julius77722
    @Julius77722 หลายเดือนก่อน

    Amina ubarikiwe sana mtumishi, hakika Mungu yu pamoja nawe, pia waimbaji hongereni sana, yaani kupitia uimbaji watu wanafunguliwa hata mimi nimefarijika sana waimbaji mmeimba vizuri sana Mungu awe pamoja nanyi nyote.

  • @RodaJustice
    @RodaJustice 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hallelujah!! Hallelujah!! Ubarikiwe mamaangu na nguvu zake ziwe juu Yako siku zote za maisha yako haswa kwenye kipindi Cha siku za mwisho Ili umwinue Mungu juu na wengi Mungu apate kuwavuta waende kwake. Mungu akutunze akulinde na kukuhifadhi

  • @EZRA-b1c
    @EZRA-b1c 2 หลายเดือนก่อน +4

    Dress code nzuri SANA Mbarikiwe

  • @roidayoab9918
    @roidayoab9918 2 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe Nyisake kwa huduma nzuri sana Mungu azidi kukupaka mafuta mqzuri.

  • @SarafinaNyambura
    @SarafinaNyambura 7 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @flm1530
    @flm1530 2 หลายเดือนก่อน +3

    Congo wanawake wanavaa vizurii sana kuliko makanisa ya Tanzania

    • @HadasaGallant
      @HadasaGallant 2 หลายเดือนก่อน +1

      Hii ni kweli kabisa

    • @nurumwita9034
      @nurumwita9034 2 หลายเดือนก่อน +1

      Ni kabisa hili tu mengine wanavaa kama huku tu ata Tanzania Kuna makanisa wanavaa vizuri tu wamejisitiri

    • @JANETMWENIZANA-pi4ro
      @JANETMWENIZANA-pi4ro 2 หลายเดือนก่อน

      Mmependeza sana watumishi wa Mungu Alie hai,Bwan Yesu azidi kuwapaka mafuta,sifa na utukufu apewe Bwana

  • @rahellubandila1928
    @rahellubandila1928 หลายเดือนก่อน

    Nimebarikiwa sana sana mtumishi wa Mungu, nasikitika wanaojiita watumishi wakiwekea sumu watumishi wa Mungu

  • @mwangazakanganga8110
    @mwangazakanganga8110 2 หลายเดือนก่อน

    Shalom Mtumishi wa Mungu,
    Naomba mawasiliano yako ili nikutumie copy ya kitabu nilichoandika juu ya ushuhuda wako wa mbinguni na jehanam. Ni kazi ya Roho Mtakatifu na hivyo kitabu HAKIUZWI.
    Barikiwa

    • @nyisakechaula9433
      @nyisakechaula9433  2 หลายเดือนก่อน

      @@mwangazakanganga8110 0755157120

  • @ASIYAMUSA-tr9kr
    @ASIYAMUSA-tr9kr หลายเดือนก่อน

  • @TheDacs-dq9oy
    @TheDacs-dq9oy 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu akupe mafuta mabichi uendelee kuhubiri injili ya yesu kristo

  • @monicamongelwa8082
    @monicamongelwa8082 2 หลายเดือนก่อน +2

    Amen 🙏

  • @AgnessIbrahim-nt1kr
    @AgnessIbrahim-nt1kr 2 หลายเดือนก่อน

    Wawoo waimbaji mmependeza

  • @ThanksWorld-23456
    @ThanksWorld-23456 2 หลายเดือนก่อน

    Waliondoa kiti lakini awakuondoa mafuta Amen

  • @glorychristopher629
    @glorychristopher629 2 หลายเดือนก่อน

    Amina.

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 2 หลายเดือนก่อน

    Kama Huyo Mama Alikwenda Mbinguni na Ni Mchungaji basi Yesu Baada ya Kufufuka Aliruhusu Watu wanawake waongoze Makanisa,Tumsubirie Yesu siku moja aje atuambie Ikoje

    • @nyisakechaula9433
      @nyisakechaula9433  2 หลายเดือนก่อน +4

      @@trophywilson7211 Baada ya Yesu kufufuka alimtuma Roho mtakatifu kwa kanisa .Na Roho mtakatifu ndiye mwenye vipawa na karama zote na anagawa kama apendavyo yeye 1korintho 12:1-12. Na Mungu anasema nitamwaga roho wangu kwa watumishi wangu wanawake na wanaume Yoel 2:28-29. Kama Roho Mtakatifu ndiye mwenye Kazi zote na anagawa kama apendavyo yeye. Kwanini hamuamini utendaji wake ndani ya mwanamke? Maana hakuna mwanamke anayejiwekea huduma mwenyewe kama ilivyo kwa wanaume .Na bado mnasema mnaongozwa na Roho wakati mnakataa kazi za Roho mtakatifu basi mnataka kusema Roho anamakosa ya kuwaita wanawake ? Ninyi mna haki kuliko Huyo Roho? Galatia 3:27-28 . Mapokeo ya dini zenu msiyafanye kama ni neno la kristo .Kumbuka hakuna Roho ea wanaume peke yao na wawannawake peke yao Roho ni mmoja tu .na hakuna mbingu ya kiume na kike mbingu ni moja

    • @meecknessjonas8164
      @meecknessjonas8164 2 หลายเดือนก่อน

      Ameeen Mtumishi wa Mungu ​@@nyisakechaula9433

    • @gradyskamwela6163
      @gradyskamwela6163 หลายเดือนก่อน +1

      Anayetenda kazi ndani ya mwanamke na mwanaume ni Roho mtakatifu wala si mtu mwenyewe
      Kwahiyo Mungu akikuita itika yeye ndiye atakayekuongoza na kukusaidia kufanya kazi yake kwahiyo anayetenda kazi ni Roho mtakatifu siyo mtu

    • @gradyskamwela6163
      @gradyskamwela6163 หลายเดือนก่อน

      ​@@nyisakechaula9433amen mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana

    • @nyisakechaula9433
      @nyisakechaula9433  หลายเดือนก่อน

      @@gradyskamwela6163 Amen

  • @BazuriYaido
    @BazuriYaido 2 หลายเดือนก่อน

    Amena

  • @RodaJustice
    @RodaJustice 2 หลายเดือนก่อน

    1:23:40

  • @GervasProsper
    @GervasProsper 25 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @HadasaGallant
    @HadasaGallant 2 หลายเดือนก่อน

    Amen Ameeen

  • @LylianeBaumaLyly
    @LylianeBaumaLyly 2 หลายเดือนก่อน +2

    Amen

  • @Nadinensengiyumva
    @Nadinensengiyumva 2 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @NeemaMkini
    @NeemaMkini 2 หลายเดือนก่อน

    Amen