Ndugu Zangu wakurya Naitwa Daniel David Sasi kwetu ni mkoani Mara ila naomba ndugu zangu wakurya tuondoe Chuki please Vita ni mbaya sababu wengi wetu tulikuwa hatajazaliwa hata wazungu waliua ndugu zetu ila tumewasahemee bure naomba tusameheane 🙏🙏🙏
Eyo ne entono ya Bangoreme. Bano bhanyire egoryo bhaitegere bhwahene. Eno neyu enchera yito yo kuhita ghakare. Abhagharuka turahita gha kare kumabhina, kumaibhako ne chinchera chende. Maro Osasi Mungu agheghire, newe aare omotohiti gha kare na gharero. Ono aghote emibharyo geche egende atureeekere tughitegeere.
Msameheane tu yaishe ndugu zangu wairege na wangurimi msiwekeane visasi kwa sabab ya haya mambo mabaya kabisa kuwahi kutokea siku za nyuma kati yenu japo najua kuwa inauma sana kiukweli.
Nimegundua Uchocho TV inahamasisha utamaduni wa ngoma asili kutoka Mkoa wa Mara. Nimeipenda sana naomba mnipe mawasiliano tuongee zaidi juu ya kuendeleza utamaduni wa ngoma za kwetu.
@@chachamrimi2738 HUYO JAMAA ALIYEMBA HUO WIMBO NI OMONGOREME ANAITWA MARO SASI NI WIMBO WA KUMBUKUMBU YA VITA ILIYOTOKEA KATI YA WAKURYA BWIREGE KIBASO NA WANGOREME MWAKA 1986.BIG UP

A good one but the only medicine is to forgive each other and forget
Pole sana nimeomba msamaha kwa wakuria wote ndungu sangu natoka bwurege wangiraboze
Yani hii inanirudisha home my motherland kuria omogango
uhiti kure sana abhato mbakure abhamura kwa bhagaruka
Maro Sasi Omongoreme ughakora bwahene ghutema entono ilatohiti ilatohiti amaghana ghanyuma
inahuzunisha xana kikubwa kupenda jamani
Huu wimbo unahisia kali sana asee na inatia hasira sana
Sasa Unaingia Mara
Endoko neni omwene mwita onyamori Hadi chengisori asee
Vipaji vilikuwepo toka Zaman ngoreme cema technology ilikuw bado Eni nomongoreme neni ndiyoghu Sawa ghuteghera entono japo cjawah kuiona
Huu ni wakati wa kushikama kwa wakurya wote tuache chuki lakini pia serikali isaidie kutatua migogoro ya ardhi Ili tuishi kwa imani
Anaitwa Maro Sasi na sio Marwa ,, sisi Wangoreme tunaita Maro na sio Marwa.
Nilisimuliwa na bibi mwili ukasisimka na kuhuzunika tulivyowaua wenzetu
Kuria is my blood proud to be one God bless Kuria
Tunakumbusha historia Safi kabsa
Duuu kumbukumbu marwa sasi omongoleme
Daaaaa walimua Chacha nyarukobha ,inaumaa sana basi to
Motuturyana
Kuria my tribe forever
Aseeeeeeeeee
Yani Hungary natamani ningekuepo hiyo sitor
That's my people wooow..I'm proud of you guy's 💃💃👍😍
Thanks so much
Mbona huu wimbo AUDIO Nautafutaga lkn siuoni
Nimegundua Uchocho TV inahamasisha utamaduni wa ngoma asili kutoka Mkoa wa Mara. Nimeipenda sana naomba mnipe mawasiliano tuongee zaidi juu ya kuendeleza utamaduni wa ngoma za kwetu.
Ni kweli kabisa ndugu yangu karibu 0622672519
Nawapongeza. Uchochoro tv kwakufaliji wakuria
@@chachamrimi2738 HUYO JAMAA ALIYEMBA HUO WIMBO NI OMONGOREME ANAITWA MARO SASI NI WIMBO WA KUMBUKUMBU YA VITA ILIYOTOKEA KATI YA WAKURYA BWIREGE KIBASO NA WANGOREME MWAKA 1986.BIG UP
😮aiseee huu wimbo unikumbusha mambo kichwan hata vita sio nzuri mungu atuepushe waongoreme wacje lipiza kikasi😥😰😭
Uchochoro tv mko vizuri sana mbarikiwe sana
Weirege si watu bali ni wanyama by robart 26:28
Toti
Tunaomba namba zenu uchocholo TV mumenifurahisha kwa utamaduni za wakurya
0622672519