EXCLUSIVE: MKE NA MUME WANAOTREND TIKTOK KWA VIDEO ZA MAHABA "WANATUITA WASHAMBA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 408

  • @AfricaQueen
    @AfricaQueen ปีที่แล้ว +162

    Dah! Huyu Kaka Angefaa Kuwafundisha Wanandoa Kuhusu Mausiano Gonga Like Kama Unamkubali huyu Kaka Maneno yake🤲🙌🙌🙌🙌🤝

    • @mulumederwasifa4801
      @mulumederwasifa4801 ปีที่แล้ว +2

      ❤❤

    • @lastkinglastking3326
      @lastkinglastking3326 ปีที่แล้ว +1

      Ajengewe bango

    • @omarysalehe4912
      @omarysalehe4912 ปีที่แล้ว

      Ww acha hizo vina muda basiii hahaha mm mpaka sasa kwenye mapenz nasikiliza ushuhuda tu na siyo ushauri wa mapenzi 🤒

  • @mariamhasunga3585
    @mariamhasunga3585 ปีที่แล้ว +57

    Daah huyu kaka ana ongea point Sana mungu ambariki wafike mbali na mkewe✍️🙏

    • @innocentpaschal-yk2hg
      @innocentpaschal-yk2hg ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂hogera Na iwe fuzo Kwa wengi

    • @giliadidadaye6048
      @giliadidadaye6048 ปีที่แล้ว

      Wooowww 🔥🔥🔥🔥🔥 Asante kwa kupenda interview yangu hii

    • @giliadidadaye6048
      @giliadidadaye6048 ปีที่แล้ว

      @@innocentpaschal-yk2hg asanteeeee Sana mpenzi kwa kupenda interview yangu hii

  • @fadhilmatunganya4609
    @fadhilmatunganya4609 ปีที่แล้ว +28

    Power of positive mind,,this guy deserves to be someone

  • @arafahassan9672
    @arafahassan9672 ปีที่แล้ว +8

    Yupo really,na yupo proud na mke wake pia,Mungu azidi kuwafungulia

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 ปีที่แล้ว +38

    Mashallah, hongereni sana, wanaume wasiojua au watu wasiojua watamuona uyu Mwanaume ni mshamba, ila kiukweli waneno yake yako sahihi, Mwanamke siku zote na mda wote anahitaji maneno mazuri asikwambie mtu.

  • @lifeinmiddleeast8179
    @lifeinmiddleeast8179 ปีที่แล้ว +26

    Waaa alhamdullillah kumbe ni mume, ngoja nimpende mie, Kaka asante Sana na uzidi kubarikiwa na familia yako

  • @mpjackson9543
    @mpjackson9543 ปีที่แล้ว +23

    Gud sana mdogo wangu Mungu awape maisha marefu,kwani nimefulahi sana life style yenu ,nimaisha ya shangwe niwachache sana wenye upendo kama wenu.

  • @janengaga2928
    @janengaga2928 ปีที่แล้ว +5

    Kumbe ni mwinjilist ni halali kabisa🙌🙌. MUNGU bariki ndoa hii.

  • @nurumasha
    @nurumasha ปีที่แล้ว +23

    He is so young and wise
    Sema si watu wa kigoma tunajua kupenda bhana asikwambie mtu

  • @kimmtorobo3870
    @kimmtorobo3870 9 หลายเดือนก่อน

    Sawa Mzee upo juu. Urakhooze.
    Ni kijana mzuri kwenye kazi za mbao! Na ni muaminifu. Mpeni kazi.

  • @michaelsamson9663
    @michaelsamson9663 ปีที่แล้ว +12

    Amna kitu kinacholeta umaskini katika maisha ya vijana wengi kama umalaya mtu anahali ngum anakusanya wanawake kama mafungu ya nyanya

  • @TheMvenTvfamily
    @TheMvenTvfamily ปีที่แล้ว +12

    The power of knowing, understanding and accepting who you are,married couples hope the volume is oky,great inspiration,this guy is bright upstairs 👌💪

  • @malcelalihawa6034
    @malcelalihawa6034 ปีที่แล้ว +28

    Kila nikiwaza bando linaisha... nimejikuta nasikiliza adi mwisho🌺✨

    • @deborahgeorge4471
      @deborahgeorge4471 ปีที่แล้ว +3

      🤣🤣🤣🤣tuko wawili kumbe , zinaisha lkn siwezi acha kumalizia , ngoja nisonge 😁😁

    • @giliadidadaye6048
      @giliadidadaye6048 ปีที่แล้ว +3

      Asanteeeee sana kwa kupenda interview yangu hiyo

    • @giliadidadaye6048
      @giliadidadaye6048 ปีที่แล้ว

      Jamani Asante mpenzi wangu kwa kupenda interview yangu hiyo

    • @gracethomas683
      @gracethomas683 ปีที่แล้ว

      😂😂

  • @nailaty
    @nailaty ปีที่แล้ว +13

    Ni mwanaume anae jua thaman ya mwanamke ukiona mwanaume anamthamin mamake ujue anajua thaman ya mwanamke mungu awaongoze

    • @giliadidadaye6048
      @giliadidadaye6048 ปีที่แล้ว +1

      Ameeen asanteeeee sana kwa kupenda interview yangu hiyo

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 ปีที่แล้ว +10

    Ujumbe umefika kwetu tutaufanyia kazi ,mpenzi wangu popote ulipo nakupenda sana ukinioa ntazidi kukupena❤

  • @ipyanamwakapola2176
    @ipyanamwakapola2176 ปีที่แล้ว +39

    Jamaa anaongea point sana
    Mpaka naandika notes
    Dah!!
    Hakika kila siku ni siku ya wapendanao

  • @gervaskasala7321
    @gervaskasala7321 ปีที่แล้ว +18

    Huyu jamaa ni mimi kabisaa yaani ni tunafanana elements za ndoa kuwapenda Wake zetu
    Mzee BABA kazia hapo hapo bby wako aenjoy na aione thamani yako

  • @Rogathe-Rogathe
    @Rogathe-Rogathe ปีที่แล้ว +36

    Nilichokipenda sana kutoka kwa uyo kaka ni uko smart sana unaelewa nakutambua nn unachokiongea, hongera sana

    • @giliadidadaye6048
      @giliadidadaye6048 ปีที่แล้ว

      Asanteeeee Sana kwa kupenda interview yangu hiyo

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 ปีที่แล้ว +31

    Hii nchi kuwa star ni rahisi sana ,,, sema jamaa ana akili sana idumu milele ndoa yao 😂😂😂

    • @giliadidadaye6048
      @giliadidadaye6048 ปีที่แล้ว

      Ameeeen asanteeeee Sana kwa kupenda interview yangu hiyo

    • @richardlucas2275
      @richardlucas2275 ปีที่แล้ว +1

      kama ni rahisi lishanen pilau hivyo shoneni suti za zambarau

    • @giliadidadaye6048
      @giliadidadaye6048 ปีที่แล้ว

      @@richardlucas2275 hahahahahaaa kweli Sio rahisi , asanteeeee Sana kwa kupenda interview yangu hii

  • @semenirashid2818
    @semenirashid2818 ปีที่แล้ว +14

    Ki ukweli hajakosea ukitaka mwanamke wako awe wa kipekee inabidi umtengeneze mwenyew yani ugharamie big up kwake

    • @giliadidadaye6048
      @giliadidadaye6048 ปีที่แล้ว +1

      Semeni asanteeeee sana kwa kupenda interview yangu hiyo

    • @semenirashid2818
      @semenirashid2818 ปีที่แล้ว +1

      @@giliadidadaye6048 usijali

  • @patriciovicente2891
    @patriciovicente2891 ปีที่แล้ว +1

    Maisha ni shule, umeongea vizuri sana na nimejifunza mengi. Mungu awabariki kwenye ndoa yenu. Felicidades

  • @philemonmagesa5548
    @philemonmagesa5548 ปีที่แล้ว +17

    Huyu mwanaume amekuwa anaipenda familia yake sana sababu ni moja kampata mwanamke anayejitambua na mtii na mnyenyekevu hangekuwa ni mwanamke wa maneno maneno naamini upendo usingekuwepo asilimia kubwa ya wanawake wanamakelele mengi mpaka mtu kurudi nyumbani mapema Kwa mwanaume inakuwa ngumu maana mwanaume anakosa pumziko kutoka Kwa mke wake.

    • @giliadidadaye6048
      @giliadidadaye6048 ปีที่แล้ว

      Asanteeeee Sana kwa kupenda interview yangu

    • @angelamarlow4834
      @angelamarlow4834 ปีที่แล้ว +1

      Wewe pia mwaume ufanye sehemu yako na mkeo lazima atakuwa sehemu yake km mke mwema kwako mwangalie uyo kaka na maongezi yake na izo video zoa mkwe mwingine anakuwa mwema tu shida unakuta mume pia ni chazo cha mwanamke kuwa nagubu

  • @verociousagnerus9793
    @verociousagnerus9793 ปีที่แล้ว +7

    Anaongea point sana...nimekupenda sana

    • @giliadidadaye6048
      @giliadidadaye6048 ปีที่แล้ว +1

      Asante Sana kwa upendo wako kwangu jaman

  • @janethkomba4485
    @janethkomba4485 ปีที่แล้ว +12

    Nimeamini kabisaa wakati Wa Mungu ndowakati sahii🙏

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 ปีที่แล้ว +20

    Mungu awabariki kwenye mapezi yenu

  • @mariamyoyote8172
    @mariamyoyote8172 ปีที่แล้ว +11

    Mashaallah mashaallah mashaallah mubarikiwe sanaaaa♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️💪 mwenyezi mungu awarinde siku zote na mabaya muishi Kwa upendo furaha na Amani 🤲🙏♥️♥️♥️♥️

    • @giliadidadaye6048
      @giliadidadaye6048 ปีที่แล้ว

      Ameeeeeen Asante kwa kupenda interview yangu hiyo

  • @mwanamgenimohammed7904
    @mwanamgenimohammed7904 ปีที่แล้ว +2

    Uyu kaka minampa ongera mana mausiano yasahivi mkizaa mtoto moja tu mapenzi yaisha lakin wao utasema wameowana sasa ongera 🥰🥰🥰

  • @perpetuaminja5734
    @perpetuaminja5734 ปีที่แล้ว +5

    Hongera yake sana,anamawazo mazuri sana na ushauri mzuri sana kwenye mahusiano

    • @giliadidadaye6048
      @giliadidadaye6048 ปีที่แล้ว

      Asanteeeee sana kwa kupenda interview yangu hiyo

  • @Madam255
    @Madam255 ปีที่แล้ว +4

    Ni kweli kabisaa kaka wanawake tunasahau tunatakiwa kuambiwa kila siku nakupenda

    • @giliadidadaye6048
      @giliadidadaye6048 ปีที่แล้ว

      Hahahahaaaa asanteeeee sana kwa kupenda interview yangu hiyo

  • @angelamarlow4834
    @angelamarlow4834 ปีที่แล้ว +2

    Kaka Mungu akubariki na endelee kukutuza,, na family yako

  • @marianguli7994
    @marianguli7994 ปีที่แล้ว +6

    Kweli broo umeongea kweli kabisa mm nina mpenzi mwaka wa tano sasa, ikipita siku kadhaa hajanitongoza sababu nampenda namkumbusha bby wangu nimemic kutongozwa, akishanitongoza najisikia vizuri hatari...kwa hyo unachosema n sahh kbxaa

    • @bongorecaps3558
      @bongorecaps3558 ปีที่แล้ว

      Heee jamani kutongozwa kila wiki!!!

    • @giliadidadaye6048
      @giliadidadaye6048 ปีที่แล้ว

      Hahahahhahahahahahahaaaaaa

    • @giliadidadaye6048
      @giliadidadaye6048 ปีที่แล้ว

      Wooowww 🔥🔥🔥🔥 asante sana kwa kupenda interview yangu hii

  • @lawrencekamete2404
    @lawrencekamete2404 ปีที่แล้ว +1

    Mungu muanzilishi wa ndoa aendelee kunumisha ndoa yao na Mahusiano yao yazidi kupambwa na furaha, upendo, na uaminifu wa kweli.

  • @gujekitelya8191
    @gujekitelya8191 ปีที่แล้ว

    Mkewe amekuwa chachu kumbadilisha mwanaume lkn angekuwa na mke mgomvi wasingetoboa imagine mwanamke anakufumania hlf yy ndo anakuwa humble 🙌🏾🙌🏾

  • @ipyanamwakapola2176
    @ipyanamwakapola2176 ปีที่แล้ว +16

    Kweli mwanamke mwenye hekima ataijenga ndoa yake.
    mwanaume hakemewi hata akikosea ila ukiwa mwanamke kuna hekima ya namna positive ya kumwingia mwanaume aliyekukosea, kwa elimu zaidi jifunze hapo.
    Nimeipenda sana hii interview

    • @giliadidadaye6048
      @giliadidadaye6048 ปีที่แล้ว +2

      Asanteeeee sana kwa kupenda interview yangu hiyo

    • @gervaskasala7321
      @gervaskasala7321 ปีที่แล้ว +1

      @@giliadidadaye6048 nakubariii

  • @azizabuyonde8368
    @azizabuyonde8368 ปีที่แล้ว

    Huyu kijana kwa umri ni mdogo lakini kichwa kake, ni cha wazee wenye hekima na busara, Mungu akutanguliye mwinjisti katika yote, njoo maana kwa kabila langu tunaambiwa, yayi anaweza ku shauria jogoo,na waoooo ooooo

  • @nassorsalum
    @nassorsalum ปีที่แล้ว +2

    kwaiyo hiindio habari kabisaa nchii ikooo huru sana hiii

    • @SAM_163
      @SAM_163 ปีที่แล้ว

      😄😄😄😄😄 Acha tujifunze bhanaaaa

  • @mpenzisamaki9488
    @mpenzisamaki9488 ปีที่แล้ว +1

    Aisee umeongea point Hadi umepitiliza aisee we ni zaidi ya mshauri ktk mahusiano

  • @tatotato506
    @tatotato506 ปีที่แล้ว +6

    Mie nawaombea sana jini mkatakamba wandoazawatu asiwapitie inshallha

  • @NathanNzogera-cq6hs
    @NathanNzogera-cq6hs ปีที่แล้ว

    Hongera sana brother kwa kupata mke mzuri

  • @estherkibajiro3480
    @estherkibajiro3480 ปีที่แล้ว +4

    True love 🥰🥰

  • @egibartjulius6327
    @egibartjulius6327 ปีที่แล้ว +9

    Kumbe na mi ntafte mwanamke nioe na nimpende sana

  • @edinakyaruzi9226
    @edinakyaruzi9226 ปีที่แล้ว +8

    Uko vzr kwenye nafc y'ako safi sana

    • @giliadidadaye6048
      @giliadidadaye6048 ปีที่แล้ว

      Asanteeeee sana kwa kupenda interview yangu hiyo

  • @Kindishi
    @Kindishi ปีที่แล้ว

    Safi sana kaka. Haya ndio mambo yakuleta kuelimisha jamii yetu inayokumbwa na janga la michepuko. Upendo tata, vita vya nyumbani nk. Wake kwa waume tunapenda kupendwa, kudekezwa. Kukumbushana kuwa bado tuko bora.

  • @tumainirichard6298
    @tumainirichard6298 ปีที่แล้ว

    Huyu ndg! Anastahili pongezi Sana. Anastahili kufundisha vijana na wanandoa kwa ujumla wake. MUNGU ambariki Sana.

    • @giliadidadaye6048
      @giliadidadaye6048 ปีที่แล้ว

      Ameeeeeen , asanteeeee kwa kupenda interview yangu hii

  • @deborahgeorge4471
    @deborahgeorge4471 ปีที่แล้ว +7

    Eti kumbe Kuna mahusiano na wanandoa ambao hawana Amani 😄😄dah kumbe Kuna wenzetu wengine km hawa wapendanao wala hawajui kuhusu mafarakano jinsi wanavyopendana, kwenye dayari ya fahamu zao na diary ya Mahusiano yao hakuna neno mafarakano 👌👌😄kwahyo ni vice vesa Kuna wengine hawajui Amani kwenye mahusiano yao😅
    nimewapenda bure , Mmebarikiwa sana mpka wivu 😢 😍😍

    • @giliadidadaye6048
      @giliadidadaye6048 ปีที่แล้ว +1

      Asanteeeee sana kwa kupenda interview yangu hiyo

    • @deborahgeorge4471
      @deborahgeorge4471 ปีที่แล้ว

      @@giliadidadaye6048 Mungu akubariki mtumishi, ikimpendeza Mungu uwe mwalimu wa ndoa kwenye makanisa jamani, una upeo mkubwa sana , wewe na mkeo shuhuda, amekua shuhuda kama jina lake ❤nimempenda bure shuhuda, km awe mama angu wa kiroho na ndoa vile 😊😊❤

  • @ibrahimsanga690
    @ibrahimsanga690 ปีที่แล้ว +3

    Ona Muha alivyo mbishi mpaka kwenye ndoa..hataki kumwacha mkewe..😂😂😂...hongera kaka

    • @hamiduhamisi2371
      @hamiduhamisi2371 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤔🤔🤔🤔

  • @AfricaQueen
    @AfricaQueen ปีที่แล้ว +13

    🤣😂🤣❤️❤️❤️❤️❤️🤗Ma Love Loveeeeeee Doveeeee 🤝

  • @joycemwaikofu
    @joycemwaikofu ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana. Kuna mengi ya kujifunza kwa wabandoa na vijana

  • @chachaezekieli2347
    @chachaezekieli2347 ปีที่แล้ว +3

    Nampongeza kwa kujikubali yeye mwenye anajikubari kama mimi

  • @mercypeter162
    @mercypeter162 ปีที่แล้ว +5

    MUNGU akutunze na mke wako na familia kwa unumla. Mtu watatu shetani apite mbali.

    • @josephmushi8259
      @josephmushi8259 ปีที่แล้ว

      For real he deserve to be a motivation speaker

  • @msafirimiracle6613
    @msafirimiracle6613 ปีที่แล้ว +3

    Jamani ujumbe unaeleza vizuri wanaotreand tiktok,kazi rahisi sana hata wakina kajala waliishafanya kwenye maigizo,huu ndio uzuri wa bongo kila wakati Kuna raia anaibuka na Jambo maadamu tuwe bize na mambo ya kufurahisha,muda utaongea,Sina mengi.

    • @jeremiahmushi2093
      @jeremiahmushi2093 ปีที่แล้ว +3

      Sio kweli haigizi namfahamu yupo hivyo kweli nifundi mzuri sala fundi seremala

    • @giliadidadaye6048
      @giliadidadaye6048 ปีที่แล้ว +2

      Asanteeeee sana kwa kupenda interview yangu hiyo

  • @magrethcostantine9223
    @magrethcostantine9223 ปีที่แล้ว +1

    Kijana huyu Yuko vizuri Sana, anajua kuihendo ndoa

    • @giliadidadaye6048
      @giliadidadaye6048 ปีที่แล้ว

      Abarikiwe, Asante kwa kupenda interview yangu hiyo

  • @elishabwilukiro6746
    @elishabwilukiro6746 ปีที่แล้ว +3

    Huyu jamaa ukimsikiliza vizur, ana akili fulan hivi ya kipekee

  • @onesmoelias2285
    @onesmoelias2285 ปีที่แล้ว

    Hongera Sana kijana was kabanga weng wanaish maisha fek ya kukopi na kupest fundisha vjana vjana weng tunachangamoto

  • @chifuthedoni8889
    @chifuthedoni8889 ปีที่แล้ว +6

    Wachawi sasa msije mkamwonea wivu mkamuroga kijana wawatu akaanza kufarakana na mke wake wakasambaratika! Maana kinacho vuruga ndoa ni watu tu na mawivu yao! Lakini watu wote wanaooana lazima walipendana kwanza! Sasa kuachana ni mipango ya ibilisi shetani kupitia wanadamu tunao kutana nao! Huyu yuko sawa kabisa!

  • @janealinde3513
    @janealinde3513 ปีที่แล้ว +4

    Safi nimeipenda

  • @josephjohn2114
    @josephjohn2114 ปีที่แล้ว +3

    Hongera mwnjilist wa kisasa

    • @giliadidadaye6048
      @giliadidadaye6048 ปีที่แล้ว

      Amina, Asante kwa kupenda interview yangu hiyo

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 ปีที่แล้ว +13

    🤣🤣🤣🤣🤣😊Raha nyie, 😜natafuta na mimi wa kufananan nae👌🏽nipo seriousl

    • @abubakarmwasumilwe7070
      @abubakarmwasumilwe7070 ปีที่แล้ว

      Mtake Allah msaada.

    • @thomasmesiack738
      @thomasmesiack738 ปีที่แล้ว

      Karibu

    • @mwajumamohd7930
      @mwajumamohd7930 ปีที่แล้ว +2

      Kwa hiyo uliwambiwa umtafute huku?? Kwani mama Ako alikwambia alitafutwa huku?? Kuna vijana wa siku hizi wa hivyo Sana,nawe ni mmoja wapo

    • @mwajumamohd7930
      @mwajumamohd7930 ปีที่แล้ว

      Mpo wengi wa HOVYO SANA

    • @mwajumamohd7930
      @mwajumamohd7930 ปีที่แล้ว +3

      Huyu kijana ni mpumbavu Sana,huwezi nielewa usipotumia akili Sana,na kutafakari. Kwanza hajaoa ANAZINI,alafu watu mnashangilia eti Wana Upendo.Kuna Upendo gani kwenye uzinifu??? Tuna jamii ya hivyo sana

  • @neemabukuru7721
    @neemabukuru7721 ปีที่แล้ว +1

    Hongera kaka angu na jirani angu kwa kuwa mwanga wa jamii... Utumishi wako pia hasa kwa utoaji ni mwema.

  • @chulelubella2819
    @chulelubella2819 ปีที่แล้ว +2

    Mungu awatangulie

  • @fettyrash4054
    @fettyrash4054 ปีที่แล้ว +3

    Mapenz malezi jamani na kuleana.pnd sn awa watu

  • @scholarmawala1403
    @scholarmawala1403 ปีที่แล้ว +1

    Na mimi najiuliza je angekuwa mshamba media ingeenda.? Watu bhnna hapendi kuona watu wakipendana.Angekuwa ananyanyaswa mgesemaje tena?

  • @naimasuleiman6489
    @naimasuleiman6489 ปีที่แล้ว +2

    Yani hyu mkaka hajali wala nini yeye hana stress hadi raha wache wakorofi wanune

  • @sixmahama9324
    @sixmahama9324 ปีที่แล้ว

    Yajayo hanaumiza,,omba MUNGU Sana kijana,,,
    Hawa viumbe wanawake hawatabiriki,,, KAMUULIZE DR MWAKA

    • @hamiduhamisi2371
      @hamiduhamisi2371 ปีที่แล้ว

      huyo doctor mwaka yeye ndo mzima? alikusanya wanawake watatu bila kujuwa tabia zao na natsi zao ili iweje? kwanini asiishi na yuleyule mmoja aliekuwanae, acha achezewe move kama alivoweka ndowa mtandaoni hayo ndo mavuno yake

  • @Mariam-fm8vq
    @Mariam-fm8vq ปีที่แล้ว +3

    Aki ubarikiwe sana

  • @kigenimohammed7847
    @kigenimohammed7847 ปีที่แล้ว +2

    Masha'Allah yaani hiyo kaka anajielewa kupita maelezo Masha'Allah

  • @wettykznznhuioploko1571
    @wettykznznhuioploko1571 ปีที่แล้ว +1

    Ongera sana nikweli na kingine wawatuzi ndio mahana wanashindwa kuwaposit

  • @daisonedmond2579
    @daisonedmond2579 ปีที่แล้ว

    Dah nimependa jinsi unavyo uko Makin kujibu maswalu bro hongera xn

  • @rachelphilbert7394
    @rachelphilbert7394 ปีที่แล้ว

    Anapenda kucheka jamani hadi raha imeonyesha jinsi gani anaroho safi kwa mkewe

  • @abubakarmwasumilwe7070
    @abubakarmwasumilwe7070 ปีที่แล้ว +1

    Kongore mjuba..
    Na km mnandoa iwe kher kwenu

  • @elishaelisha3090
    @elishaelisha3090 ปีที่แล้ว +2

    Nchi yangu ni wewe tu uchague kufa nastress

  • @yohanemellau3220
    @yohanemellau3220 ปีที่แล้ว +4

    Duh natamani nifanyaje kama yeye lakini siwezi kuwa romantic

    • @giliadidadaye6048
      @giliadidadaye6048 ปีที่แล้ว

      Asanteeeee Sana kwa kupenda interview yangu hiyo

    • @nasirkilapo6041
      @nasirkilapo6041 ปีที่แล้ว

      @@giliadidadaye6048 😂😂

  • @dralhajijbmatatala4580
    @dralhajijbmatatala4580 ปีที่แล้ว

    Mnjilist Anafanya Uzinifu, Yani ANAISHI bila Ndoa ya kiimani.
    funga Ndoa bana achana na Maisha ya kinyumba.
    "PONGEZI ZANGU"
    UNAISHI VIZURI KWENYE MAISHA HAYO TUNAYO YAONA : HONGERA SANA :

  • @elishaelishaedward9454
    @elishaelishaedward9454 ปีที่แล้ว +5

    Sana wapendanao

    • @giliadidadaye6048
      @giliadidadaye6048 ปีที่แล้ว

      Asanteeeee sana kwa kupenda interview yangu hiyo

  • @donaldtadeodontado9991
    @donaldtadeodontado9991 ปีที่แล้ว

    Huyu namfahamu ni mdogo ake na mzamiru yasini alizaliwa kabanga kasulu kigoma

  • @yusuphmruma1232
    @yusuphmruma1232 ปีที่แล้ว

    Ata mm ni mtu wauko uko kigoma wadada kaz kwnu Niko single

  • @eaglecrown6470
    @eaglecrown6470 ปีที่แล้ว +2

    25:37 Wanandoa waachane na kupekuapekuana simu ya mwenzako na ukiwa unamdalefu uko safari mbali na nyumbani toa Taalifa kwamba unaenda sio kunyata Ili ufumanie.🤔

  • @achouraachoura5763
    @achouraachoura5763 ปีที่แล้ว +3

    Masha'allah

    • @giliadidadaye6048
      @giliadidadaye6048 ปีที่แล้ว

      Asante kwa kupenda interview yangu hiyo

    • @happymrianga2795
      @happymrianga2795 ปีที่แล้ว +1

      MUNGU awatunze . Siku hizi wanandoa hawawezi hata kushikana mkono.

  • @gaudensia4646
    @gaudensia4646 ปีที่แล้ว +9

    kipepo fulani dah hatari

    • @giliadidadaye6048
      @giliadidadaye6048 ปีที่แล้ว

      Hahahahaahahaaaaa asanteeeee Sana kwa kupenda interview yangu hiyo

  • @sophiamasawe4309
    @sophiamasawe4309 ปีที่แล้ว +3

    Asante kaka Kwa .simamo wako nimejifunza kitu

  • @azizaabeid2055
    @azizaabeid2055 ปีที่แล้ว +3

    Kweli nimeamini Kila mmoja ana njia yake yakutafuta pesa kweli TikTok ni noma

    • @giliadidadaye6048
      @giliadidadaye6048 ปีที่แล้ว

      Asanteeeee sana kwa kupenda interview yangu hiyo

    • @salomemajaliwa3990
      @salomemajaliwa3990 ปีที่แล้ว

      @@giliadidadaye6048 Ye mwamba shumbe chane!waelimishe kaka /waume zetu sana maana ni shidaaaaaaaa

  • @juliusmagoti5650
    @juliusmagoti5650 ปีที่แล้ว

    Muinjilist halafu hujafunga ndoa, unahubiri neno la Mungu ukiwa kwenye hali hiyo. Nakushauri ufunge ndoa, usisubiri upate pesa nyingi ndo ufunge ndoa

  • @RobbyDejan1234
    @RobbyDejan1234 ปีที่แล้ว +1

    Dah! Huyu jamaa anainjoi sana maana hakuna kitu kizuri kama kujikubalisha kwa mwanamke uliyenae kwa ridhaa ya moyo wako..

  • @nasirkilapo6041
    @nasirkilapo6041 ปีที่แล้ว +1

    Nimeipenda iyo

  • @lizzybahati3739
    @lizzybahati3739 ปีที่แล้ว +4

    Kwa kweli watu wanakula maisha 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @giliadidadaye6048
      @giliadidadaye6048 ปีที่แล้ว

      Woooowww 🙏🙏🙏🙏 asanteeeee sana kwa kupenda interview yangu hiyo

  • @musampanda3643
    @musampanda3643 ปีที่แล้ว +3

    Hii clip inakula bando sana

  • @nipamdingi9440
    @nipamdingi9440 ปีที่แล้ว

    Watu wanaanza hivyohivyo! Hata Dr Mwaka alianza hivyo hivyo dah!

  • @hidayaswai3119
    @hidayaswai3119 ปีที่แล้ว +1

    Jamaa ajengewe sanamu

  • @rehemageophrey1339
    @rehemageophrey1339 ปีที่แล้ว +1

    Upo vizuri kaka .....

    • @giliadidadaye6048
      @giliadidadaye6048 ปีที่แล้ว

      Asanteeeee Sana kwa kupenda interview yangu

  • @verociousagnerus9793
    @verociousagnerus9793 ปีที่แล้ว +1

    We kaka unafaa kuwa mwalimu wamapenz kwasababu unatujua wanawake nn tunapenda

  • @Thebeast_tz
    @Thebeast_tz ปีที่แล้ว +3

    Ndg yake kinasa musukuma upande wa dada yake mkubwaa😁😁😁😁

  • @jumanassoro1552
    @jumanassoro1552 ปีที่แล้ว

    Huyo anayekuita mshamba ni mshamba yeye umeupiga mwingi bro video zako

  • @khalidmdotta3843
    @khalidmdotta3843 ปีที่แล้ว

    Ndoa mpya hiyo ngoja wapate watoto wa kuanzia 3 au 4

    • @giliadidadaye6048
      @giliadidadaye6048 ปีที่แล้ว

      Yupo mwaka wa wa 9 tuna watoto 2 mmoja yupo darasa la 3

  • @jeffkonki8279
    @jeffkonki8279 ปีที่แล้ว +2

    Jamaa linajilelewa ni hatari

  • @naimasuleiman6489
    @naimasuleiman6489 ปีที่แล้ว

    Hivo kuitwa MSHAMBA jmni anatoa pesa kweli hemu aulizwe tena

  • @sofiyabakari9730
    @sofiyabakari9730 ปีที่แล้ว +3

    Duh mpaka nataman niwe mim
    Una akili sana wew

    • @giliadidadaye6048
      @giliadidadaye6048 ปีที่แล้ว

      Asanteeeee sana kwa kupenda interview yangu hiyo

  • @jacklinegodifrey8607
    @jacklinegodifrey8607 ปีที่แล้ว

    Yaan huyu kaka wala hatii hasira jamani😃

  • @japharymagesa735
    @japharymagesa735 ปีที่แล้ว +1

    Hamna bhana ushalishwa ww hujui tuu

  • @selinaadam7417
    @selinaadam7417 ปีที่แล้ว

    Haya jilani zangu munguawa linde mutawa wamazaza na chemu nimewamisi Sana jamani kalibuni zanzimbar mungu awajalie upondo undum katika yesukilisit

  • @Juke995
    @Juke995 ปีที่แล้ว +1

    Kuanzia sasa nahitaji mume mshamba jamani tutavumiliana tu 😂kwenye valentine day hapo umeongea kabisa neno nzuri hapo ushamba wamekusingizia 😂

    • @giliadidadaye6048
      @giliadidadaye6048 ปีที่แล้ว

      Hahahhahhàaaaaaa asanteeeee Sana kwa kupenda interview yangu