SIRI ZA MWANAMKE NILIEMUOA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 58

  • @husnambulwa5020
    @husnambulwa5020 2 ปีที่แล้ว +2

    Somo kubwa hakika. Asante sana Mwenda na Hans Nimejifunza🇰🇪

  • @aysherkabby5937
    @aysherkabby5937 2 ปีที่แล้ว +4

    DUH!!!! Noma, Hans Maleen na Felix Mwenda , hamnaga kazi mbovu. Thanks guys!!!

  • @janetsimiyu479
    @janetsimiyu479 2 ปีที่แล้ว +6

    Mungu awape nguvu na miaka mingi ili muendelee kutufunza mengi wana simulizi mix, be blessed 🙌

  • @manirakizanocia3391
    @manirakizanocia3391 2 ปีที่แล้ว +4

    Kaka felix sauti yako laaaaa bonne voix woow

  • @fatmakhalifa2598
    @fatmakhalifa2598 2 ปีที่แล้ว +2

    Subhaana'Allaah...ni mambo ya kusikitisha...Sanaaa...
    Shukran...Sanaaa...nyoteni wasau wetu wa Simulizi mix...na pamoja na mtunzi na muwandishi na Msimulizi wetu...mahiri...

  • @jennytugara9470
    @jennytugara9470 2 ปีที่แล้ว +7

    Asante sana Felix kwa simulizi tamu lkn unetukosea sana eti Wadada ambao hawajaolewa huwa wanawaza Ngono tu kweli tunawatoto wadada wa Kaka familia majukumu tuwaze ngono your hilarious brother 😂 Kaka zetu waangalie red flags ukiona Mtu hataki uguse nywele mara kisogo mara anakula usiku mara anaoga peke huyo Jini au galula kaeni chonjo!!!

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 2 ปีที่แล้ว

    Asant sana msimuliaji,,,sio kilakitu mnachoo kiona unadhani nidhahabu vyengine vyakuximu,, mtandao ulikuponza kwadakika tuu kidogoo imegarimu maisha yako,, hukujiulixa ndoa bila watu mmm mbona mitihani.

  • @MdBabu-sh4ov
    @MdBabu-sh4ov 2 ปีที่แล้ว +2

    Muuuntaaazi Allah awafanyie wepec ktk kaz zenu

  • @neemakarisa1496
    @neemakarisa1496 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana kaka kabla sija sikiza vizuri nilijua si mwana mke wakawaida, kakuharibia maisha yako,😡😡 lakini usijali utapona tu kua naimani kua Iko siku utakua sawa,nausichoke kuomba Mungu, Asante sana musimulizi

  • @FIMBOTV
    @FIMBOTV ปีที่แล้ว

    ujumbe mzuri sana smix

  • @vero756
    @vero756 2 ปีที่แล้ว +4

    😂😂nacheka kama manzuri ila Simihemuko jamani daaah mpaka munaogopesha yaani.asanteni sana FM na Hans

  • @Amina-rg2xb
    @Amina-rg2xb 4 หลายเดือนก่อน

    Asante kaka Felix kwasimulizi, hd

  • @nickhealthcare5612
    @nickhealthcare5612 2 ปีที่แล้ว +4

    Hii kitu makini sana yani,daah inatufunza vyema kabisa vijana, kwenye maamuzi yanayotawaliwa na icia zetu

    • @nickhealthcare5612
      @nickhealthcare5612 2 ปีที่แล้ว +1

      Hapa masleen ametuliza akili sana yani, kitu inateka icia kabisa

  • @evalinecharles2937
    @evalinecharles2937 2 ปีที่แล้ว

    Akika tunazidi kujifunza asante Sana god bless nyie

  • @ahmadbina2264
    @ahmadbina2264 2 ปีที่แล้ว

    Asnte sana kaka felx

  • @pilishazycounterog8200
    @pilishazycounterog8200 2 ปีที่แล้ว +1

    Duuh jmn pole unaowa Mwanamke kwao upajui

  • @ahmadbina2264
    @ahmadbina2264 2 ปีที่แล้ว

    Nakuaminia sana kaka felx 👌👌👌👌 pambe sana

  • @evalineedwardsuzanne9862
    @evalineedwardsuzanne9862 2 ปีที่แล้ว +3

    Asante sana Felix mwenda

  • @nibigiramwajuma7925
    @nibigiramwajuma7925 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana felix mwenda na hans masleen

  • @monajafar4473
    @monajafar4473 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana kaka kwa majanga watu wengi nimeckia wamepata matatizo kama hayo Kati hii mitandao ya ngono

  • @zaneenbeauty
    @zaneenbeauty 2 ปีที่แล้ว

    Hanse huna kazi mbovu 🙏🤝✍️

  • @jacklinekwamboka6245
    @jacklinekwamboka6245 2 ปีที่แล้ว +3

    Asant sana🙏🙏🙏

  • @missmwayway4704
    @missmwayway4704 2 ปีที่แล้ว +1

    😆😆😆😆😆😆😆😆hicho kichwa kina nn tena jamaniii

  • @ashamenza2212
    @ashamenza2212 2 ปีที่แล้ว +2

    Woow mm w kwanza lei

  • @aliyahomar7424
    @aliyahomar7424 ปีที่แล้ว

    Pole inasikitisha sana

  • @nancysindani7867
    @nancysindani7867 2 ปีที่แล้ว +2

    Daa! Makubwa lakin ndio maisha jaman

  • @joycekazungu4003
    @joycekazungu4003 2 ปีที่แล้ว +5

    Hakika simulizi zenu zinamafunzo mazuri xana

  • @zainabubahati5661
    @zainabubahati5661 2 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana simulizi mix

  • @priscillahsirya6544
    @priscillahsirya6544 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante felix mwenda kwa simulizi nzuri nayenye mafunzo

  • @gracenyimbo7968
    @gracenyimbo7968 2 ปีที่แล้ว +2

    USHAULI WANGU UYO KIJANA AOKOKE NA MUNGU ATAMPONYA KATIKA JINA YESE

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 2 ปีที่แล้ว

    Jamani ziko kweli family za Ki Africa wanafanya uhuni kama hivi???!!! Loooh hatari....

  • @maryamanalisi197
    @maryamanalisi197 2 ปีที่แล้ว +4

    Umekmya mpaka miss you Felix

  • @lulukaslo12
    @lulukaslo12 2 ปีที่แล้ว +2

    Tooo much ad’s it’s annoying

  • @magrethjohn4929
    @magrethjohn4929 2 ปีที่แล้ว +3

    🙏🙏🙏

  • @aysherkabby5937
    @aysherkabby5937 2 ปีที่แล้ว +1

    Lzima nije kwenda uko Mbogoland , felix anakusifia sana.... lol

  • @hazilaumaysa6958
    @hazilaumaysa6958 2 ปีที่แล้ว +1

    Zuri sana

  • @ashamenza2212
    @ashamenza2212 2 ปีที่แล้ว +1

    Kaka Felix sauti yako inaashiria we una hekima n ur a gentleman

  • @ahmadbina2264
    @ahmadbina2264 2 ปีที่แล้ว

    Duuuuuu 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @lonakirao5275
    @lonakirao5275 10 หลายเดือนก่อน

  • @christinahaule-p8i
    @christinahaule-p8i 9 หลายเดือนก่อน

    ivi umesha potezea simu yk na pesa yk unaanzaje kuondoka bika kujua unapo elekea pole sana Dar ni watu ni wezi sana unatakiwaa kuwa makini 😢

  • @sellenasellena5475
    @sellenasellena5475 2 ปีที่แล้ว

    Ama kweli dunia inamajabu yake basi mengine ndohaya tunayo yasikia pole sana kaka kwa yaliyo kukuta

  • @hanifaomar7438
    @hanifaomar7438 2 ปีที่แล้ว +2

    Pamoja Sana ✌️

  • @mwanahawahamis1321
    @mwanahawahamis1321 2 ปีที่แล้ว

    🤔🤔 duuh pole saana

  • @halimashaib9102
    @halimashaib9102 2 ปีที่แล้ว +2

    Eti majumba ya kifahari yapo kwa kina Felix au mbogo land. Hata kwetu yako bwana

  • @safiyahaji9682
    @safiyahaji9682 2 ปีที่แล้ว +1

    D.oen plz anasherehesha vzr

  • @bingwa4039
    @bingwa4039 2 ปีที่แล้ว

    Makee hapo nicheke kwanza eti "ama ww udindishi nn"?

  • @aalamri5478
    @aalamri5478 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante

  • @Gee_Lucky
    @Gee_Lucky 2 ปีที่แล้ว

    Jamanii😭😭😭😭

  • @mwatma4269
    @mwatma4269 2 ปีที่แล้ว

    Nzursana

  • @mawlodafarida
    @mawlodafarida 5 หลายเดือนก่อน

    😭😭😭

  • @irenemengi1034
    @irenemengi1034 2 ปีที่แล้ว

    Doh

  • @conslezuchu9847
    @conslezuchu9847 2 ปีที่แล้ว

    🤗🙏🙏🤝🤝

  • @Walid-gk8hl
    @Walid-gk8hl 2 ปีที่แล้ว

    Yani leo mumetend haki

  • @sharifamohamedsaid515
    @sharifamohamedsaid515 2 ปีที่แล้ว +1

    👂

  • @sharifamohamedsaid515
    @sharifamohamedsaid515 2 ปีที่แล้ว

    Kisamvu😋

  • @magrethjohn4929
    @magrethjohn4929 2 ปีที่แล้ว +3

    🙏🙏🙏