Billy Mwangi's father made me shed tears when he cried in court asking where his son is.. At least my tears didn't shed in vain.Thank you Lord for Billy's return. It's not yet over. I still believe RUTO will not reach 2027. His time is coming. If you agree with me leave a heart and follow please ❤️.
Polisi wanajifanya tu kuwaleta hii ni njama wanaambiwa njooni mchukuwe halafu hao watu wanawazuilia hawa watu polisi wanajua yawezekana unataka nyara nairobi unapatikana machakos polisi mnajua
Huyo wa kuchora cartons ameregreat his actions,🤦woi he will never again.. Anafurahisha watu kwa media na Cartoons na picha za AI then unalipa peke yako, kinakulamba peke yako, familia yako inalia peke yao, your life inaharimbika peke yako, coz I know vyenye ametendewa ni yeye tu anajua 😢mind your own business story za serikali achana nazo
Citizen you are the worst mnawachochea vijana na vijana wenu wako salama your tv station always negative and full of uchochezi and intimidating the government
Wewe unaishi Kenya gani? Serikali inachochea vijana. No employment, misuse of public funds, flaunting ill-gotten wealth, speaking arrogantly, abducting anyone who questions what they are doing.
Thank you Natembeya. I think your voice really rallied many people the government couldn't keep up
Am happy mungu amepanguza hwa wazazi machozi especially baba ya Billy that man cried mpaka nikalia
Zakayo hao waliobakia waachiliwe wote tushajua zakayo na polisi wetu wakenya nyinyi ni wauaji 😢😢😢
Nani ameuliwa?
Kwani wewe unaishi wapi@@LovelyAnacondaSnake-iq8tr
Billy Mwangi's father made me shed tears when he cried in court asking where his son is.. At least my tears didn't shed in vain.Thank you Lord for Billy's return. It's not yet over. I still believe RUTO will not reach 2027. His time is coming. If you agree with me leave a heart and follow please ❤️.
❤Mp Billy from Embu Glory be to God Hallelujah
Ooooh, Mungu Mwenyezi, achilia huruma na neema zako kwa huyo mtoto naye apatikane awarudie watu wake
Amen.. unajua atasahaulika sasa aki😢😢
Our God is great than ruto wee kasongo tunakujia pia bado we urudi sugoi kwenyu
Not Sugoi,lCC
🙏🙏🙏🙏Mungu halali kupigania watu wake, mbisi pia atapatikana tu
Hii serekali mungu ata wachapa kiboko kikali sana
Thanks for the update 🎉🎉
You see what unity of Kenyans can do. All glory to God Almighty. Lakini hii gava hah!!!!!!!!!. Time is ticking tik tak.
Comrade power in action... Mass Action is the only hope citizens have to regain their democracy
Asante sana mungu wetu wewe nimwema kila wakati tunaombea wale wengine waajiliwe wakiwa wazima tena
To God be the glory 🙌🙌🙏
Thank you Jesus Christ for setting them free ❤
To God be the glory hallelujah 💃💃💃💃
Sasa tulifika hapa aje,,, seriously grownups fighting their children ,
Thank you Lord 🙏🙏 na huyo naye mpiganie mola🙏🙏🧎🧎
Hope hawajafanyiwa kama matiba
I personally i thank God....thanks Lord
Thank You Abel
Glory to God
We have Rotten gorvment indeed
Thank you God
Yani yy ajiona ataishi milele na watto wake😭🤲
Praise God. The relatives can now be at peace
Ruto na watu wake hawana hata haya,bandits wamewashinda sasa ni kubaka vijana wachanga kwa matako hata Charlene ni mzee wao,shame on u
Mungu hawezi samehehe hii govt
😂😂😂😂
Nyayo/Nyati houses chronicles
Just a question, it wasn't police where did they get them???
Yjey should explain na produce ALL
Good question
God Thank you
Sudi, kibet Farouk and co
We thank God with you
Hao mapolice ndoo masterminers maandamano iendelee mpaka waliobaki waaachiiliwe
Excactly
Sasa wew ndio utauliwa
@@KipsangTerer-c2n Pepo shindwe😭🧐
Thanks God. Glory b2 God.
Shifa zirudia God
Polisi wanajifanya tu kuwaleta hii ni njama wanaambiwa njooni mchukuwe halafu hao watu wanawazuilia hawa watu polisi wanajua yawezekana unataka nyara nairobi unapatikana machakos polisi mnajua
Thanks to God Amen,
Sasa mbona wakane kua sio police wanaoteka nyara
To God be the glory
Where are the rest 😢
Na kasongo na police wao wansema hawajui
Ni kama walidungwa shindani
Great, but, who, where and why, such young youth's, amani ni kitu cha maana sana, sit down and solve this problem, serikali
Wameachiliwa ila hawazai tena wamefinywa aki
Where is kibet??????
This is evil evil, sijawai fanya campin for sure nitakubusha watu.
Huyu wakili namjua alikua anasomea cuea na Kenya school of law alikua anakula Kwa millionaire hotel curea
Advocate shadrack wambui..... underline wambui😊😊 mrima
Alafu mnasema Kasongo na serikali yake hawajui haya mambo huyu jamaa ni jambazi so wametoka wapi Ruto i think penye upo umeibika sana mjinga sana wewe
Mbona anajifunika hivo kama thegi😮
Ni wao polisi wanamficha hawataki aonekane barabarani.
Ata Mimi nashangaa
Mbona wameachwa?😢😢😢
So Kibet bull ako hai ama
You can shine without killing
Alikua anakuja shule na 🚲🚲🚲🚲🚲🚲
God intervene for the remaining
Ghachietta is playing with Kenyans emotions
You are brainwashed bro
@alvitechi you're the one who is slave to ghachietta bitter games
Mbona wengine hawajaachiliwa hatutanyamaza mpaka hao wawili waachiliwe
wagani wamebaki tuendelee na hashtags?
@@kchristinek watu I think couse were ten two killed and five realised
Na vile amenona? THESE ARE PEOPLE WERE IN A POLITICIANS HOUSE
Ogopa siasa.
Hii ni content without plan.
Special things happen in Kenya only, if one has to recover from happiness
Walisema wako state house wakioga na maji moto
Holy holy is the lord in the highest. It likes coming-out of grave.
Wa sita yuko wapi?
Walikuwa wamefichwa wapi ??
We won the Battle
Joho alisema watachuliwa one by one
Now we know government is the father of abductions not gachagua
I pray they have not also been castrated
But zakayo alisema hajui mwenye anawaabduct
Zakayo lies all the time
Sasa I hope message imefika nyumbani!
This is a very sad state of our couture. It seems like the wolves who were in sheep's skin are eating the sheep's
Jesus Christ I thank you.
Mum fungua 😂
Huyo wa kuchora cartons ameregreat his actions,🤦woi he will never again.. Anafurahisha watu kwa media na Cartoons na picha za AI then unalipa peke yako, kinakulamba peke yako, familia yako inalia peke yao, your life inaharimbika peke yako, coz I know vyenye ametendewa ni yeye tu anajua 😢mind your own business story za serikali achana nazo
Wewe ni malenge Sana
Na si Ruto alisema sio police wana abduct watu.sasa hao wamewachiliwa na police
Hawana wamekipata, wataongea ya serikali kwa ndoto weeh
Bna askari wanadai hawakuhusika
Citizen you are the worst mnawachochea vijana na vijana wenu wako salama your tv station always negative and full of uchochezi and intimidating the government
Uko na pesa ngapi kwa account sufferer
Sell out
This is the reality Nani, kama unataka uongo sikiza huyo muuaji wenu ruto
Wewe unaishi Kenya gani? Serikali inachochea vijana. No employment, misuse of public funds, flaunting ill-gotten wealth, speaking arrogantly, abducting anyone who questions what they are doing.
Watch KCB mzee kama unadai kuona propaganda ya gava😂🤌
Huyu mbunge anaongea Nini Sahi ,where we're u all that time ama ?tuliwajulia2027 utakua raia wa kawaida
He has been following the case since the first day 😢😢😢😢
Na wale mlisema walipatika jana wameuliwa ni akina nani???? Propaganda pia ninyingi!!
Sell out
Pia vijan mheshimu rais,la sivyo mtachekea chooni
Ni wa heshimu Rais hao wa ache ujinga lasivyo wataumia tu mana huo ni ujinga
Awa mikora ilikuwa imejificha ...washenzi kabsa
Nguruwee wewe
Your name can tell it all.
@Wawagner1509 mikora ilikuwa imefichwa na yule Ngombe kachaqwa
@WinnieAaron-zk2xr next time awa watapatikana river yala...
@@HillaryKoech-pk2seKoech unajiaibisha bro 😂 hakuna Mkenya anatetea serikali, ni wewe tu na wengine wawili 😂
Glory to God