Unajua kuna kitu kidogo kinanishangaza sana yaani mwananchi ndii tuongoze tukatae ila viongozi tulio wao watufuate nyuma yaani ni sawa mgonjwa akatae dawa aseme dawa hii sio saw na daktari na yeye ndio aseme kweli inamaana kam asingekataa angepew duuuu inachekesha kweli
Hela ni ndogo sana yaani ingekuwa 2500 Saw
Dah hii ni mby sn mzigo ukiongezeka cjui itakuaje,,, wafanyabiashara wajeuri sometimes
Waziri Bashe nakuaminia umeiona hio,nawe unaridhika dhuluma hii ,hivo zao la kimkakati ndo hivo waziri?
tunakumbuka magufuli na mkapa
Yote hii selikali ndo munazingua
Unajua kuna kitu kidogo kinanishangaza sana yaani mwananchi ndii tuongoze tukatae ila viongozi tulio wao watufuate nyuma yaani ni sawa mgonjwa akatae dawa aseme dawa hii sio saw na daktari na yeye ndio aseme kweli inamaana kam asingekataa angepew duuuu inachekesha kweli
Mwakan watuachie tujitegemee wenyewe kuhus dawa