Swali la kuuliza ni nani anayemiliki *haki za kipekee* yaani *(Exclusive Rights)* , sio hizo bla bla tu. S2kizzy anafanya biashara kimataifa. Unaponunua beat kwake una nunua haki ya umiliki kama huja lipa bei ya haki za kipekee yani (Exclusive Rights) huna maalaka ya ku control chochote zaidi ya vile ulivyo lipia , mwenye haki za kipekee ndiye mwenye maamuzi ya mwisho. Mtu mwenye *Haki za Kutumia* yaani *(Non-exclusive rights)* ana vitu anavyoweza fanya lakini sio mmiliki wa mwisho sasa huyo Baddest ana miliki zipi? maana *haki za kipekee* yaani *(Exclusive Rights)* ndio beat ni lako wewe peke yako hamna mtu anaweza tumia kwa chochote na hiyo ki kawaida bei yake ipo juu sana sana.
Hit song lazima iwe tatizo
HUYU DADA NI MWANDISHI WA HABARI MZURI SANA HANA UNAFKI NI INAPSWA
Huyo dem mnafiki sana
Mnyakyusa tumsamee
Hit song akosi changamoto kama hiz naataangeimba yeye isingeenda hivi
waizi hao 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Noma sanaaaaaaq
Itoke Baddest x Simba la masimba 🎉🎉
Hzo xio xhda zetu, ngoma ya rayvanny na harmonize,ni kali ,hayaa
Msenge unasopport ujingaa..
Duuuuu
S2kzy anazingua kw kweli
Nyie Presenters nyie duh😂😂😂😂 mnachimbua hadi vya siri na nyie aiseee duh😂😂😂
Huyu dem anaonge vibaya
Kwenye staff like zat pale thatha😂😂 ila bongo..
😅😅😅😅
Mr Boom was here
NYIMBO NI HILE HILE NI WASANI TU NDIO WALIO BADILIKA ILA RAYVANNY AMEFNYA VIBAYA SANA
Nyinyi wenyew studio upangaji mmekopy... sembuse nyimbi na biti?
Ngoma ya badest ni Kali san
We dada kama ray anakukera
Xax kam ametolewa,inatuhuxu nn,alipew kazingua
Swali la kuuliza ni nani anayemiliki *haki za kipekee* yaani *(Exclusive Rights)* , sio hizo bla bla tu. S2kizzy anafanya biashara kimataifa. Unaponunua beat kwake una nunua haki ya umiliki kama huja lipa bei ya haki za kipekee yani (Exclusive Rights) huna maalaka ya ku control chochote zaidi ya vile ulivyo lipia , mwenye haki za kipekee ndiye mwenye maamuzi ya mwisho. Mtu mwenye *Haki za Kutumia* yaani *(Non-exclusive rights)* ana vitu anavyoweza fanya lakini sio mmiliki wa mwisho sasa huyo Baddest ana miliki zipi? maana *haki za kipekee* yaani *(Exclusive Rights)* ndio beat ni lako wewe peke yako hamna mtu anaweza tumia kwa chochote na hiyo ki kawaida bei yake ipo juu sana sana.
Uyu demu ni mpumbafu
Hata kama angeimba yeye isingetembea kama hivi
Hyo dada miyeyusho kama anabifu na ray hiv
😂😂😂
Huyo mdada anaongea anakera
Yn hpo tu mtu yuk bongo ajaingia USA...😂😂😂😂 Akikaa mwezi huyooo kasheahe
Ndo maana mm nampenda msodoki th-cam.com/video/4IIgtXoVtQg/w-d-xo.htmlsi=MzNKfGkrMHv17B-V
Hit song akosi changamoto kama hiz naataangeimba yeye isingeenda hivi