🤗🤗😆😆 ukisikia mvua ya #WCB ndio hii sasa. Duuuuh sas niisikilize ipi #Kosa #langu, #Pamela au hii #Sijaona!!! Sitoshangaa kuona top 3 zote ni Diamond Platinum 💥🔥💥🔥💥🔥
Mimi nilikuamini toka ulipotoa wimbo wa Lala Salama na nilitabili kabisa utadumu sana ktk Music, Na sababu kuu ni uandishi wako wa Mashairi na mpangilio wa sauti ktk kila wimbo. Najivunia sana kuwa shabiki yako kwa sababu hujawahi niangusha, god bless all the time
Daaaaah hii ngoma ukitaka kuifaidi weka ear4n then lala kitandan uisikilize... tena funga mlango usisumbuliwe wallah ukitoka hapo lazima ukamuone mo kwa mara ya pili
Sijona sijona Komil way 💝 eba Chong chonga savu Abou Siije She a lier moyo wangu ya for Sijona sijona come kilieway iylelele defat iyleeee Aha 💝 All of this means try and have a good life 💖
Simba we nyoko yaani ule msiba ndio kwishinei baba ungetupa japo week ona sasa ushaichafua dunia kona zote habari ni SIJAONA na kapenzi kangu kashaanza kuvimba kila saa niimbie sijaona ya simba la sivyo naenda kwa mpemba tobaaaaa
Mimi nilikuamini toka ulipotoa wimbo wa Lala Salama na nilitabili kabisa utadumu sana ktk Music, Na sababu kuu ni uandishi wako wa Mashairi na mpangilio wa sauti ktk kila wimbo. Najivunia sana kuwa shabiki yako kwa sababu hujawahi niangusha, god bless all the time
254 sijaona chibu mtoto wa mama dangote uko juu sijaona
Sijaona mwandishi wa mashairi mazuri kama mondi bongo. And am not even team mondi. 🙌 True poetry
hii ni mavoko aliandikaa
my the best songer is diamond. we diamond unajuwa wewe ni rafiki yangu kabisa
Ayiiiee Hah Atim bong mamma Congo Myo wangu yangu lelele Sijona imama wayyyio Ileeele 💙💍💖❤️👑Ahah eba Chung ima Sijona Sijona ahhhh Sijona maaaaause Tonight liyer ooo ya wangu G aaa goo walka Sijona mammawayy sijona 💙aha ileeele Ielllee aha defat aillelele
Nyimbo imetulizwa ikatulia, huyu jamaa ngekuwa na uwezo cjui ningemfanyia kipi mm
Namuaminia sana huyu bingwa. Ngoma imetulia sana banaee
yaani huu wimbo haijawahi kupita siku bila kuusikiliza, hongera sana mond
Ahh huyu jama watu wanamtukana bure lkn ujue ni Fundi wa bongo fleva hongera diamond platnumz
Waaaaaaa woooooo Harimoniz wende kunyumba kwa daamonde useme ati samahani may frende daamonde nimwarimu wako anagufungisha nzuri anagufurahisha nzuri sasa aca na wivu sitade vatu amuna apana wivu nandege papana namayisha apana wivu
🤗🤗😆😆 ukisikia mvua ya #WCB ndio hii sasa. Duuuuh sas niisikilize ipi #Kosa #langu, #Pamela au hii #Sijaona!!! Sitoshangaa kuona top 3 zote ni Diamond Platinum 💥🔥💥🔥💥🔥
Bro wee ni motooo you never disappoint
This man never disappoint us your so creative ❤❤❤❤
A nice song from this east African legend ❤️
Diamond Plantnumz my favorite and this song is on another level believe me Africa is blessed with you guys
The tandale boy 254 tunamkubali sana
Safi sana diamond..hizi ndo nyimbo sasa sio kina tetema na kwangwaru zisizoeleweka .....
sisi na watu waling'ang'ana kununua album tuko pamoja sasa. life at some point equals us.
Moyo wangu usifanye njia ukapita Ilove this song
Watanzania,wazanzibar na wapemba like zenu basi sote kitu kimoja
Zanzibar = Unguja +Pemba
Fıre🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Simba wa mbuga ya Tandale . Sijaona msanii bora East Africa kama wewe. From Mozambique
alafu nyimbo kali imetulia mashairi yalioenda shule #sijapataona
🙏🙏🙏🙏🙏..... Huyu jamaa hatari sana🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Hata Afrika Sijaona kama wewe💥💥
🎉🎉🦁🦁 2023 ngonga like 😊
Mimi nilikuamini toka ulipotoa wimbo wa Lala Salama na nilitabili kabisa utadumu sana ktk Music, Na sababu kuu ni uandishi wako wa Mashairi na mpangilio wa sauti ktk kila wimbo. Najivunia sana kuwa shabiki yako kwa sababu hujawahi niangusha, god bless all the time
Aisei nyimbo niliwahi isikia nikasema Diamond is another level..album yake haupoi..itafute album yake uenjoy aisei
Kutwa Aiyeeeeo 💕Diamond platnumz Ilelele 💖
My boy diamond platnumz kwanwaru 💖🔥
Simba simba simba simba simba oyeeeeeee fanya kugonga like
Ina sikitisha sana wameni wachia maumivu peke yng bila huruma ina uma njia nilizo pitia ZTE za hatari sana namshuru Allah kwa Kunilinda
Mavoko intro🔥🔥
Kwel sijaona kma mond hpa bongo,kubal xan damu yngu
Moooyoo wanananagui Waka ya oo demented cosa ilelele Sijona kamaaawayyy 💖commoawaayyyai 💖I understand the language Diamond
wasafi 254 amekubali Leo ni kubaya ata mm sijaona Kama ww simba
Ndo mana anaitwa simbaaaaaa...hatari sanaaaaa.....mashabiki tupe nasi support... #chekachini production...@kenya lamu...kwa mpigooo...kizazi sanaaaa
ndo ile inakuja top10 ngoma zote za simba.. ebu naombeni likes zenu kama zote kwa fan's wa WCB
jamaa kuamua
Francis mwacha l
Francis mwacha
Mondiiii
@diamondplatnumzi hii ngoma ifanyie kideo kimoja hatari tafadhari maana sio kwa utamu huu
Kaka sijaona aneimba kama wewe
ayou are ma role model love you kaka😭😭🥰🥰
Daaaaah hii ngoma ukitaka kuifaidi weka ear4n then lala kitandan uisikilize... tena funga mlango usisumbuliwe wallah ukitoka hapo lazima ukamuone mo kwa mara ya pili
Simbaa daah hukoseagiii⚡️⚡️
Je suis Haïtien le premier peuple noir libre je l'aime la musique d'africaine
Hiii ndo ilikuwa favorite yangu Sheinzzzz ZZZZZZZZZ iki kinyimbo kizuri mamaeeee
Who is also here in 2024 🔥🫴🏾
I discovered this song 3weeks ago . I so so much love it. Love from Nigeria
Enjoy the Swahili melodies rafiki(Friend) 🇹🇿
Much love my damsel Mr diamond is always on point
pumbavu zako we kijana unaweza sana cjui ulikula nn mpaka unavuma sana kias hicho nipo DUBAI pamoja sana.
Hamoniz nawunva daamonde ngo wende hodipitare daamonde wewe nagupenda sana mupenzi wangu ❤❤❤❤❤❤🤣🤣🤣😍😍 miziki muzuri
Wimbo mtamu huu,,,mondi tumemisi hizi mambo yaan
Ata mim sijaona kama Simba👏👏 eshima zako mzee🤞🤞🇧🇮🇧🇮🇧🇮
How long should i continue to play this song? It’s part of my daily routine
Kama unaskiliza ngoma hii 2021 tujuane!!
ngoma kali sanaa!🚀☄️
Refa kapiga kipenga Ronaldo punguza chenga......noma sana
Aiyolaa kwa mbaliiiiii
Biti ya lava lava hiii
TOP20 AFRICA MUSICS kumba💙
Beat sampling is allowed in music
Platnumz ❤️
I first heard this song when I was on Dar enroute to Arusha. Great memories. More South Africans should visit East Africa and Africa in general
Simbaaaaaaaaa yani sauti Tu! Khaa! Mashairi yako siku hizi za kizazi sana. Salute man.
Just discovered the jam 🔥🔥🔥🐐
Nani anasikia sauti ya Rich Mavoko hapo wwwwwaaaaaaah Mavoko 2019
Ndo aliyoiandika hii nyimbo, mavoko
Nimesikia Aisee🔥🔥🔥
ipo kweli
Hii nyimbo ni kali sana ... Sema haijahit tu
baba unanitishaaaaaa.......naona umeamua kupasua kibubu cha nyimbooo.......!!!
Nomaaaaaaaaa sana simba
heheeeee! eti niende kwa mganga, shombooooooo, niachieni simba wangu mie hatariiiii
Simba fire bwana nani uwamkubali simba?
Toa video simba...hii ngoma Kali.
I don’t understand single word in the song but can’t stop playing it, such a beautiful song
He say sijaona sijaona sijaona. Sasa haujaelewa vp hapo
Mr Dangote I'm also here listening to your beautiful lyrics and I love them.
SIMBAAAAAAA umetisha bro na nakukubali bro🔥🔥🔥#wcb4life
Team wasafi Kenya likes ka zote
Ayeeeee waseeee wa early birds mko wapi
Simba we noma bro piga like hapo kama unahukubali #diamondplatnumz
Hamisa ndio mwanamke wa nguvu n mwenye kujielew
Much love from Zimbabwe
K.D ENT tv u should be from zillpenwa 😂
Just discovered it today
It's 🔥🔥🔥
Huyu ndio diamond was kweli sasa😥
Diamond platnumz my bro I can’t stop listening to this song I keep replaying it 💙💖😍💍💜🌍ilelle Ilelele aha defat iellle ahah Keller
That's why I love 💎 coZ he's very versatile and also he's a very romantic voice
Somebody please tell Diamond to release these videos
Watakoma mwaka Huuu simba Fanya yako
Sijona sijona Komil way 💝 eba Chong chonga savu Abou Siije She a lier moyo wangu ya for Sijona sijona come kilieway iylelele defat iyleeee Aha 💝
All of this means try and have a good life 💖
Du uyu jamaa hatar bila yeye bongo flava isngekuwa dili
Huyu ni moto wepele🔥🔥🔥
kwa mwaka huu 2018 hii ndio ngoma Kali kwangu huu mwaka,2016 ilikua ile ya chege ft diamond,
hogera rich mavoko kwa uadishi mzuri kazi yako itakubukwa daima ira kwa ware wanao chuguza zaid big up mavoko
Duh
hii ngoma kaandika rich mavoko kazi nzuri kwa uandishi ila kuna wasenge wanasema sema tu nyooo nyooo pumbavu
Rich kaandika verse ya kwanza tu.
Simba hata me #sijaona kama wewe👌
Niliusaka sana kwa TH-cam mzee baba,, shukrani
😊😊 lots of love from China.. I don't understand Swahili but "hii bado sijaona"
😂😂😂😂umetisha
@@clairkip753 😂😂😂😂😂 unashtuka unakufa!! Haya,,
😂😂😂😂😂😂😂
Simba wcb for life 🔥🔥🔥
Mashalaah very nice song bless you Diamond
Hii ndio maana halis ya Simba Mind💪💪💪💪💪♥️♥️♥️♥️🔥🔥🔥🔥
MAMake hili song dah Mond uliimba
Simba we nyoko yaani ule msiba ndio kwishinei baba ungetupa japo week ona sasa ushaichafua dunia kona zote habari ni SIJAONA na kapenzi kangu kashaanza kuvimba kila saa niimbie sijaona ya simba la sivyo naenda kwa mpemba tobaaaaa
simbaaaa baba lao sijaona msani kama wewe
Jamaniiiiiii simbaaa 😁😁😁😁😁😁umeamua kuzimwaga izinyimbo
angalia cover ya baila kwa channel yanguuu
😅
🔥
Hapo sa nakukubali laana respect platnumz1
kweli this guy is talanted,,,pia mimi sijaona ,,254...
Lion 🦁...I'm here Daily listening to the amazing melodies 2021
I got you bro
Those hits bro ..may your dreams come to be true
eti niende kwa mganga... endeleza
Sikufahamu eti kuna wimbo ya diamond nilisaau kuliskilixa Kama hili
My brother diamond platnumz I been waiting for this Sijona ❤️
Mimi nilikuamini toka ulipotoa wimbo wa Lala Salama na nilitabili kabisa utadumu sana ktk Music, Na sababu kuu ni uandishi wako wa Mashairi na mpangilio wa sauti ktk kila wimbo. Najivunia sana kuwa shabiki yako kwa sababu hujawahi niangusha, god bless all the time
Umesema vyema sana..!
Mwandishi Rich Mavoko.
Sauti ya Mondi.
Wimbo balaa.
Respect
💯🇹🇿
God
Refa puliza kipenga, Ronaldo punguza chengaa.... I love that part
Tisha sana Naona umeachia ngoma kwa fujo