ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
ilamuko vzur sana amazing
Mwakatobe wee ni noma dugu zangu nataka like namimi
Dakika za mwishoni kabisa ndio namuona mbwela jaman, nampenda sana
Mwakatobe noma sana 🎉🎉miuno ya uzazi inahusika
Sema anazidishaa mbwembwe mpaka vinakera sasa punguza mbwembwe move ndo itakaa vizuri
Kazi nzur ila jitaidini mbadiliahe mandhari,,,,,katika baba mwenyenyumba na hii mandhari ni yaleyale
Kaka mwakatobe unajua sana hhahaaaha wakuruu wakulugwaa
Mwakatobee is a good guy and very talented man..big up🌹
Ila kipara unaoneka kwenye maisha yakawaida ni mbea kweli ww maana kila move wewe unacheza mbea jamani duuu ila nakukubali sana wewe na mwakatobe
Noma sanna mwakatobe unajitaidi movie zako kaka
Mwakatobe balaaa
Mwakatobe noma
@all mmevuruga sana ni ovyo kabisa kuukata mchezo mkali.kama huu
Shida yko matusii we mzeee badilka
Mashallah .sara leo kavaa jialbabu 🎉❤
Sawa tunasubirii season 2 nzuri sana
Mwakatobe jinga sana😂😂😂😂
Nike like yangu mimi sa pili toka de.congo
Kumbe wadau kuna kishipa cha jero na hamsemi😂😂😂😂😂
Wapi hamjafanya vizuri hatukuona mafundisho
Nakuogopa mwakatope unatisha sana
Usiku wa manane aman from kenya
Mganga mshenzi sana
Mganga mchepukaji kweli😂😂😂
Kazi nzuri sana
Kaz nzur kaka zumba 🎉
Aloyegundua mlango wa nyuma ulikuwa waz
Endelesha baba 🇨🇩
Hello
Mwakatombe ngombe wa mayai,uxiku wa manane utampelekea moto kombo mwiko ww
good bro tunqsubili. from kampala
Mwakatobe for life
Mwakatobeeeeeeeee ni balaaaaaaaaa
Mwakatobe niaje me nataka iyo Nyimbo
😂😂😂 mwakatobe kk respect kubanda
Huyu kipara kila mara mmbea duh br
😮kenya well represented by busybee254
Twende ukapewe ngono ndo mnafundisha nini watoto sasa
Ooooh mumetukwaza amujaimaliza poa kweli 😢😢
😅😅😅 usiku wa mananeee ,kwa bibi kutapelekewaa moto
mwakatobe mhatali sana kabisa anapenda makariyo hahahaha
Imeisha iyooo
Kumalizia movie wabongo wanazingua sana😂😂😂😂
Haya msichelewe basi
Kabisa bro wanazigua
Abdallah kichwa wazi angefurahia
😂😂😂From dubai tunakutazama 🇦🇪
kazi nzuri sana
Usiku..usiku wa manane...
❤❤❤❤❤❤❤navenye nitamu alafu imeisha hivo woiyeee 😂😂😂
😂😂😂😂mbn gafra km ushuzi aaaah mwakatobe taniuwa
hiyo wimbo imemalizia inaitwa aje jamani... movie kali🔥🔥nimekua na hasira mbona inaisha hivo until Zumba himself explained big up man💪💪🔥🔥keep moving 💪💪
Binafs sijakuelewa mwakatobe matusi mengi Leng sifur sijapenda nimeshindwa kuangalia ata na wa zangu nimekoma ata kukufatilia
Ndugu hii sio channel ya mwakatobe
ubunufu sifurii movie imejaa matusii matupu
Chogo kamwiko we mchumbatu zuchu kaza mtoto wa kiume acha leta umama kama huwa follow sisi tuta wa follow
😅😅😅😅jina la wimbo plz
Usiku wa manane from Kenya 😂😂
Mwaka 😂😂unaweza
mr.kipara mbea atariii😅😅😅
Mwakatobe
Mganga anatibu wanawake tu kwani hakuna wanaume wenye matatizo
Mwakatobe hatarii
Sijapenda😢😢
😂😂😂😂 ila huyu mbea anatabu sana😂😂😂😂
Mwakatobee mamb ayo 😂😂😂😂 parakama jiko la ges
Sijapenda ilivyo isha😂😂😂😂
😅😅😅 ila we mwakatobe hapana ati nini Abdala kichwa wazi😅😅
Mwakatobe me nataka hiyo dawa ya kupotea na kuibuka gafla kama chafya😂😂😂😂😂 ila kipara 🤣🤣🤣🤣
Wa kwanza Leo jamani
❤❤❤❤ ok 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Daa kweli kipara nimmbeya cn
😂😂😂kipara ni mmbea kamili haswa na akaamua kila movie ni yeye mmbea😂😂😂😂
Mwakatobee utaniua na kicheko😂😂
Mmmmh hii kali
Waaaa! Kali baba
mwakatobe utengweeeeeee
Kazi nzuri
Ameitaka mwenyewa ndio maana ameenda kwa 😂
Mganga mpuzi
Mwakatobe ananikosha na mipasho yk
Hivi mnajua kipara Ni mbeya kwel kwel Yan kila muvi Ni mbeya duh 😅
Ila nampenda hivyo hivyo
Mchumbaa www zuchu
Mwakatobe jamanii ananikosha moyo 😂😂😂😂😂😂
Eti shenge shengetuwa
Jmn mbn mm nashidwa kuidanload
Ila mwakatobe jamn
Niatari ya mwaka tobe😅😅
🔥💥🔥ng'ombe wa mayai😂😂😂
Chogo kama mwiko😂😂😂😂😂
Zumba kitakuramba aisee
MMEZINGUWA
Jamaah anakitu
abdallah kichwa wazi hahaha
iyo dawa tunaipaka usiku,usiku wa manane
nice work brother
mimi kweli ni mbea aya bana😂😂😂
leo wapili nomba lik
Maneno mnayotumia inakua ngum mtukuangalia na familia
Mwakatobee mpelekee moto😅😅😅
Kipara hunaga tabia za umbea umbea😅
Daw Kwa bibi😂😂😂😂😂😂😂
Mwakatobe 😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤
Eti unamjuwa simba mnyama
Hamsini... Hamsini mia "Singida...Singida"Dodoma lol 😂😂😂😂😂😂
Mganga mshenz 😂😂😂😂🎉🎉🎉❤❤❤
Nawakubaly kutoka 🇲🇿

@all
mmevuruga sana ni ovyo kabisa kuukata mchezo mkali.kama huu