Fasting goes wrong😂😂
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 21 เม.ย. 2021
- hey you all I managed to make a Ramadhan video as you all wished for
kindly support us by liking sharing and of course subscribe on our TH-cam channel🙏♥️
Catch me up on insta as official._.layo
Video under: Ngwasha production
#Ramadhan #comedy - ตลก
Sorry Guys for the delay 🙏🏼
For sure tonight your ribs are not safe😅🤾🏽
Hakuna taala kka
Ngojea nimeze ustadhi. Ustdhi elewa nina kipindupindu😂😂😂😂😂😂💔🙌
M.a bro keep going
Katika wanao act na wenye bidii basi mi nakuona wewe
Mashallah endelea vivyo hivyo♥️♥️
Mimbar si mahali pakufanyia comedy
Horror movie noma SANNA 😂🔥 1:54
😂😂😂😂 the opening is 🔥🔥
Swa swa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣dulaa my son u killed me🤣🤣🤣🤣
😂😂😂nice Mashallah
Noma sanya
Subhana Allah mskiti unkuwa mahali pa kuakti na matusi kwa juu subhana Allah. Mungu awaongoze
😅😅😅🔥🔥
Mashallah layo
asalam aleykum khui pole sanaa broo mimbar ni mahali patakatifu na quran ni kitabu chema nakuomba uwe makini sanaaa pindi unafanyaaa haya mambooo mm ni shabiki wenu mkubwa lkny ukweli tuambianeee quran ni kitabu kitukufuu ustadh layoo shukran
Kweli kabisa uwe makini nae usifanye maskhara na dini hata mm ni shabiki wenu mkubwa
Hta mm namuona anaingia pabaya.yani ktk mimba wamtukana mtu mbwaa?bora achezee hko kungine lkn c upande wa Dini.
Oya dulla watuekea mbali sana
This video is very unique 👍👍👍👍
Ustadhi mlafiiiiiiiiiii🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Umeshikwa😂😂🤣🤣 mjinga sanaa
Huna akili😂😂😂😂😂😂😂😂
Keep going my brother 💕 MashaAllah 🤣👌
Keep going bro
😂😂 Sharriff Salim Salmin Ahmad ana kipindupindu😂
Patiently waiting
Noma sanyaaa🤣🤣
Wacha upuzi kunguni wewe sheikh wa kichochoroni😜😜😜😜😜😂😜😜😜
Ustazii ustazii dah imedi nawe ule 🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ustadhi layo you are very funny 😄 😆
Kali bro
Noma sanyaaa😄💕🤙
Huo muqaddima tu 😂😂😂😂😂😂 .
🇧🇭🇧🇭🔥😂😂😂
Mwaumbwa tena😂😂😂😂 ama mackiao yangu yameckia vibya
Official layo
Ati nina kipindupindi🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂sasa nsije mskitini kwako? Njoo😂 hapo unimaliza
🤣🤣🤣🤣my ribs are not safe😂😂🤣🤣🤣
Mnaweza sanaa
Kwa namna hi huezi fika mbali kaka.jirekebishe kwa ufanyayo na kuyachuja usemayo utafaulu.vinginevyo utak8furu.ucpende kufurahisha watu kwa kumuudhi Mungu.. Never.
May God bless u
😅😅😅😅
Mashaallah
🤣🤣🤣nakubali ustadh 🙌🙌😂
🤗🤗🤗🤗🤗🤗💯✌🤘🤘🤘🤘🤞🤞
😂😂😂😂
Thanks
Nice video Broo..
Mashaallah 😍 kali
Heheee ngoja nmeze kwanzoooo......
We are missing chibuda
😆😂😂 mashallah... lakini..hii vid uliirecord lini🧐ama nyinyi nimakobe
Hahaha
Haha mbona hapo kwa mogoka na bangi amelengwa Yassir😂🤣
Aiiiiii my ribs😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kipindupindu
Punguza maneno ya kutupatupa pls. Kutoa laana kwa mtu na kukataza acje tena mckitini ndio mafunzo gani
Pls upande hu wa dini achana nako utakufuru bora huko kungine fanya mchezo nako
Yoa are good content creator ila broo usifnye dhihaka na dini unafundisha umma vibaya na pia wasiokuwa waisalamu wanatunukuu vibaya sisi waislamu,shukran Allah atuongoze sote katika njia njema.
Not jahilin wakicheka kwa comments section wats funny here ssa majamaa? Mtu yuko mskitini yuwatukana.bruh jiulize mbna hufiki mbali kwa sababu ya ujinga wko 💔😒
Pull this down mjinga wewe wacha dhihaka na dini hata kama wataka fame jifunze ya kusema usimuudhi mungu
Kindly am one of your fan but hapa Kuchezea dini bro stop it ...... mosque, Mimbar na Qur'an tuzipatieni hadhi yake ....afwan
I will rate 1 coz this is entirely out of religion and you know not of ghayb though its a video *al kidhb haraam walaw kaana mizah*
Keep going bro
😂😂😂😂😂