TUSIKHASHIFIANE WENYEWE KWA WENYEWE "Shekh Suleyman Kilemile"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 89

  • @salumally7406
    @salumally7406 5 ปีที่แล้ว +2

    mashaallah .....sheikh nimekuelwe ....nimegunduwa vitu viwili kutoka kwako....ilmaan na hikmaaa....mashaallah

  • @alibabu4818
    @alibabu4818 3 ปีที่แล้ว

    Allah amsemehe Babuu Iddy kwa ukosaji wa Adabu

  • @ahmadmagingo7212
    @ahmadmagingo7212 5 ปีที่แล้ว +1

    Maa shaa Allah!
    Allah akujaze kheyr sheikh na pia atupe ufahamu mzuri nasi wengine TUSIOIFAHAMU VIZURI JIOGRAFIA YA DUNIA PAMOJA NA MZUGUKO WA JUA NA MWEZI UNATOFAUTISHA MCHANA NA USIKU pamoja na kutambua mahesabu ya TAREHE NA MIEZI..

  • @zulfahhussein505
    @zulfahhussein505 5 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllaah sheikh wetu hupo sahihi
    Allaah akujaze khery na Neema zake wa kusemesha ukweli Araafa ni moja sio mbili

    • @khadijashabaniiddy4137
      @khadijashabaniiddy4137 5 ปีที่แล้ว

      Arafa ni moja kweli ili sio ya pamoja, na wala hakuna alosema Arafa ni mbili, so naona kama mnarukaruka bila dalili mnakalia Arafa ni moja na ufafanuzi wa hili sijui hamlitafakari
      Arafa ni 9/Dhulhijja sasa sisi tarehe za Makka ni tofauti kabisa.

    • @abduhamzasungura1642
      @abduhamzasungura1642 5 ปีที่แล้ว

      Arafa Ni 3 Ya Mwezi Muandamo Mwezi 9 Ya Mahujaji Kuikamilisha Ibada Yao Hujaji Yoyote Asiye Fika Viwannja Vya Arafa Hana Hija Na Ya 3 Hivo Viwannja vinaitwa Viwannja Vya Arafa kama kwahiyo Shekh Anapotowa Anapo Sema Tuwafate Mahujaji Wakati Sisi Tunao Funga Ni Wafungaji Na Mahujaji Wao Hawafungi Na Anaye Funga Kaamriwa Afunge Mwezi 9 Siyo Kuangalia Mahujaji Mahujaji Wao Wakihiji Wasihiji Sisi Ibada Yetu Ipo Pale Pale Kufunga Mwezi 9 Muandamo Katika Nchi Yako true Kilemile Kama Anafunga Mwezi 8 Hiyari Yake Maana Katika Surati Fajirii Allah Ameyaapia Masiku 10 Siyo 9 Masiku Kumi Hayo Tunayapata Kwa Muandamo Wa Mwezi Tu Ukiandama Mwezi Zullhija Tunahesabu Hadi Mwezi 9 Ndiyo Tunafunga Na Mwezikumi Ndiyo Tumeamriwa Skuku Ya Kuchinnja Kama Alivyo Fanya Nabii Ibrahim Alipo Letewa Kondoo Wa Peponi Amchinnje Badala Ya Kumchinnja Mwanawe Ismail Hapa Inaonyesha Fika Kwamba Arafa Ilikuwepo Kabla Ya Hajji Sasa Shekh Kulemile Twambiye Hapo Kabla YA hajji Hii Swaumu Ya Arafa ilifungwaje? Au Unabadili Ibada Kwa Ajili Ya TV Na Mitandao! Inamana Mashekhe Waliopita Ambao Ndiyo Bora Wote Hawajuwi Unajuwa Wewe Kilemile? Usipotowe Watu Uislam Kilakitu CHAKE na Ibada Zake Zote Zinaongozwa Na Mwezi Muandamo Iwe Yaumu Ashura Mwezi 11 Bila Kuangalia Misri Kwamba kwao Ni Mwezi Ngapi Maada Ni Mwezi Kumi Na 11 Unatakiwa Kufunga tu Masiku Meupe, Juma 3 , Allhamis , Na Usiku Wa Cheo Na Eda, Nk Vyote Hivi vinaingia Kwenye Muandamo Wa Mwezi Na Kubadilika Siku Kuingia Siku SIYO Kufata Tukio Inamana Unafata Tukio Mahujaaji Kusimama je Kama Hawajenda Kuhijji Ndiyo Hamna Kufunga Waala Skuku ! unataka Kutwambi Ibada inayo Anza Saa 7 mchana Niswa Na Unayo FUNGWA alfajiri?Ukifunga Siku Hiyo Unafunga Kwa sabu Ni Mwezi 9 Na Siyo Kisimamo Cha Mahujaji hao Mahujaji Wana Ibada Yao Nasisi Yakwetu Ta Kufunga Na Muda Tifauti Na Malipo Tofauti Wao Wanasamehewa Madhambi Yote Sisi Miaka 2 Moja Ulio Pita Na Unao Kuja Shekh Kwahili Unawapotowa Waumini Na Unabeba Dhima Mbele Ya Allah..

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 5 ปีที่แล้ว +1

    Jazakallah al fadhilat sheikh kilemile!!!

  • @nurdinjumaa7825
    @nurdinjumaa7825 5 ปีที่แล้ว +4

    Kazi nzuri mabwana endeleeni kuwatembelea na mashekh wengine

  • @junhanbabu1218
    @junhanbabu1218 5 ปีที่แล้ว +1

    Usia mzuri Sana sheikh, waachietu hojazao za kipunda wabumburuke tu nazo,

  • @katibamaulid286
    @katibamaulid286 4 ปีที่แล้ว

    Allah amfanyie wepesi inshallah ampe kauli thabiti amiin

  • @hamadamaani2516
    @hamadamaani2516 5 ปีที่แล้ว +3

    Hoja yamaanisha kwamba itakuwa kuna watu tangu dunia iumbwe hawana arafa hapa mmechemka kuliko shukran Sheikh abuu eid hoja bado imesimama mezani

    • @abuushaukan9828
      @abuushaukan9828 5 ปีที่แล้ว

      Hi yo hoja katoa wapi

    • @allymnzava3818
      @allymnzava3818 5 ปีที่แล้ว

      Hakuna nchi inayotofautiana na nchi nyingine kwa masaa 24. Nchi zinatifautiana saa na sio siku kwahiyo inafika muda ambao dunia nzima wanakuwa ndani ya siku ya Arafa. Kama umesoma Jiografia na kuelewa wala halitakusumbua. Kama mtu anataka kutoa hoja ya kutofautiana machweo na mawio ya Jua basi dar na Kigoma wangefunga siku tofauti basi. Tuache kufuata dini kiushabiki bali tujifunze dini yetu.

    • @masoud744
      @masoud744 5 ปีที่แล้ว

      Arafa ni siku mzima sio saa moja.. Kisimamo cha arafa ndio mda mchache. Abuu Idd najazba

    • @masoud744
      @masoud744 5 ปีที่แล้ว

      Watu hufunga siku mzima sio wakati wa kisimamo tu.. Abuu Idd anatumiwa na serekali kuvuruga waislamu

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 4 ปีที่แล้ว

      @@allymnzava3818 uko sahihi!!

  • @iddramadhani2715
    @iddramadhani2715 5 ปีที่แล้ว +1

    Shekh upo sahihi kwa asilimia zote na nani kiongozi wa kuigwa kwa busara na hekma alizokuruku Allah (S.W).

  • @junhanbabu1218
    @junhanbabu1218 5 ปีที่แล้ว +2

    Shekhe MUNGU akupe afya njema,

  • @salimmauly9575
    @salimmauly9575 5 ปีที่แล้ว +1

    Subhanallah Allah akupe akili ujue lipi ni sahihi

  • @mohamedabdallah5367
    @mohamedabdallah5367 5 ปีที่แล้ว +1

    Kwakweli BABDEO MILADU mnafanya kazi nzuri kutupa HABARI na sio udaku. HONGERA SANA

  • @sameerbahadela9354
    @sameerbahadela9354 5 ปีที่แล้ว

    safi sana bab deo

  • @bilalsasya604
    @bilalsasya604 4 ปีที่แล้ว

    Innalillahi aainna iyhi raajihuu

  • @salehesalehe3294
    @salehesalehe3294 5 ปีที่แล้ว

    Subhanallah ,

  • @suleimanali8317
    @suleimanali8317 5 ปีที่แล้ว

    hongera Imamu wataelewa tu Arafah ni moja
    duniani hakuna nchi zilizo pishana masaa 24 kila kitu kiko wazi

    • @habibtalib5100
      @habibtalib5100 5 ปีที่แล้ว

      Weweee hasaaa..watu wote duniani wanakubaliana ni arafa moja hamna hata mmoja aliekataa ila elewa kuna arafa na funga ya arafa..elewa hvo.

  • @muhidinali8180
    @muhidinali8180 5 ปีที่แล้ว

    very goody wengine wanazungumza kamakwamba hilisuala limepotoshwa wakati hadithi ikowazi kabisa

  • @showfive4413
    @showfive4413 5 ปีที่แล้ว +4

    Kwanza aliekwambia Hii Eid inaitwa Eidlhaj nnan??

    • @hamadamaani2516
      @hamadamaani2516 5 ปีที่แล้ว

      Baana eeeh hatari hii

    • @yahkiwera3611
      @yahkiwera3611 5 ปีที่แล้ว +1

      Shekh kilemile amezungumza kwa jazba hii inaitwa idil haji imeandikwa kitabu gani atueleze? Pili ndivyo shekh wako bin ayubu alivyo kufundisha jivyo? Unayumba mzee

    • @fadhilhussein9059
      @fadhilhussein9059 5 ปีที่แล้ว

      Inaitwaje shekh

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 4 ปีที่แล้ว

      Wewe na kilemile nani ana elimu kubwa?

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 4 ปีที่แล้ว

      @@yahkiwera3611 wewe na kilemile nani ana elimu kubwa?

  • @yahyabakary4127
    @yahyabakary4127 4 ปีที่แล้ว

    Innalillah wainnailayhi rajiwn

  • @maulidabdallah8743
    @maulidabdallah8743 5 ปีที่แล้ว +1

    Kwa vile umeelezea msimamo wako bas sawa na sisi tuna msimamo tofaut na wew na hatutoswal j'pili

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 5 ปีที่แล้ว

      Hahahaaa,,,,,,humkomoi mtu , si kila mtu na mzigo wake?? Na wala sheikh hajamlazimisha mtu!

    • @NEWMOVIES-ln3gg
      @NEWMOVIES-ln3gg 5 ปีที่แล้ว

      Hahaha eti shekhe wetu alituambia tufunge j,most halafu Eid j,tatu huu c utumwa jmn

    • @dawaseif3699
      @dawaseif3699 5 ปีที่แล้ว

      Maulid Abdallah kweli kabisa

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 4 ปีที่แล้ว

      @@dawaseif3699 hakuna kikombe hapo, endelea tu na bidaa zako!!

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 4 ปีที่แล้ว

      Endelea tu na bidaa zako!!

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 5 ปีที่แล้ว +4

    Shehe unamaanisha kwamba ikifika mfungo tatu tuirukize tarehe mpaka arafa ipite au vp sjafahamu apo

  • @salamakhamis7245
    @salamakhamis7245 5 ปีที่แล้ว +3

    Ulamaa gani nakitabu gani na aya ipi iliosema tufate sayari inavokwenda

  • @azizauledi4108
    @azizauledi4108 5 ปีที่แล้ว

    Mzee wetu twamuomba Allahu akuhifadhi wala usisitike ndio hilivyo uislam ndio ulivyo fikia wala usihuzunike twakupenda mchango mkubwa ktk jamii .wala usijali sio waislam wote mbumbumbu tunanufaika na elimu uliyo nayo.

  • @jumahory3069
    @jumahory3069 4 ปีที่แล้ว

    nasisi tuponyumayao mutembele ili kuweza kupata mahojiano

  • @mirajisalum7084
    @mirajisalum7084 5 ปีที่แล้ว +1

    Huyo sio mwanachuoni bwana watanzania hatujui walimu sio kila mwenye kanzu na kofia ni mwalimu

    • @kasimubangu1875
      @kasimubangu1875 5 ปีที่แล้ว

      Acha ujinga ww ,unakipimogani kama huyo simwanachuoni

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 4 ปีที่แล้ว

      Kama hujui, huyo ni mwanachuoni mkubwa, si hao walimu wako wa bid-a!!!

  • @majalamka1604
    @majalamka1604 5 ปีที่แล้ว +1

    Ukianza kutukana uwe na uvumilivu mwaka jana huyu sheikh alitoa lugha siyo kwa masheikh wànzake nanukuu "hija ni arafa"...akaendelea kesho ni idd alaaaaaa!!!!! Kwa mwenye akiii Hilo neno alimanisha kitu kwa wanaoifuata kalenda ya miji yao na ni neno la kashfaa kwa masheikh wetu hivyo anavyoitwa mpotoshaji avumilie ni tiba tu ili apone ndug zanguni

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 4 ปีที่แล้ว

      Acha ujinga wewe, dini si ya mashehe wako, dini ni ya Mungu!!

  • @centralzonetvtanzania7313
    @centralzonetvtanzania7313 5 ปีที่แล้ว

    We babdeo kama umeweza kuwatembelea masheikh wote and as mdahalo tu ili kila mmoja aonyeshe hoja kwa mwenzake

  • @medardjustinian5223
    @medardjustinian5223 5 ปีที่แล้ว

    Sheikh Kilemile na ustaadh ldd nimewasikiliza kwa makini sana nyote. Nyote mmekosa Ustahimilivu was kibinaadamu,lkn kwa yupo ndg yenu Sheikh Mataka nina imani m m

  • @ismailjuma3692
    @ismailjuma3692 5 ปีที่แล้ว

    Nimekuelewa njoo huku kigamboni vijibweni kwa sheikh Ali Idd na yeye umueleweshe hivo

  • @hamadamaani2516
    @hamadamaani2516 5 ปีที่แล้ว +1

    Suali limeonekana wazi linavokusudiwa sivyo linavyojibiwa ,na ikimaanisha kitu yqonesha hoja imeshindwa kujibiwa

    • @deluxermahyono5290
      @deluxermahyono5290 5 ปีที่แล้ว

      Huna unachojua kasema hatuko Japani wala Marekani acha kujilazimisha kuwa ww ni Myahudi mweusi

  • @abuushaukan9828
    @abuushaukan9828 5 ปีที่แล้ว +1

    Huyo abuu idd kazi yake mtandao ni tuuh ukitaka kuonana nae anakimbia

  • @hamadamaani2516
    @hamadamaani2516 5 ปีที่แล้ว

    Mambo yamekuwa mazito

  • @braqutourssafaris4672
    @braqutourssafaris4672 5 ปีที่แล้ว

    kwa kua kashasema kwa maoni yake bac itanaki kua maoni ya kawaida wala c maoni ya kisheria maana uislamu wala c kwa ajili ya Africa mashariki pekee vp sasa ashindwe kutetea hoja ya sehemu nyengine ambapo nao wapo wanao mcha Allah pengine kuliko mm na yy?

  • @abuushaukan9828
    @abuushaukan9828 5 ปีที่แล้ว

    Shekh abuu fadhli kassim mafuta kamjibu huyo abuu iddi

  • @muhammadimageja7865
    @muhammadimageja7865 3 ปีที่แล้ว

    Shk.unapotosha

  • @zuberikamote2078
    @zuberikamote2078 5 ปีที่แล้ว

    Mbona kafanana na shekhe kipozeo ndugu yke nn

  • @othmanomary7829
    @othmanomary7829 5 ปีที่แล้ว

    Huyu sheikh hana msimamo yuko pande mbili

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 4 ปีที่แล้ว

      Hana msimamo wakati kakwambia kuwa kesho wanafunga arafa na keshokutwa IDD, wewe ulitakaje pengine?

  • @jamalbahdela524
    @jamalbahdela524 5 ปีที่แล้ว

    Ndio walewale
    Wewe M bongo Mmarekani na M canada anakuhusu niniii? Haa haa haaa

  • @ramamtetu2327
    @ramamtetu2327 5 ปีที่แล้ว

    Kwa Tanzania Sheikh Amrani Kilemile ni Katika Wanachuoni Wakubwa Huwezi Mfananisha na Wale Waliojipa Ushehe hali nafsi zao Zinawasuta Kuwa Levo Zao Za Chini tu.

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 4 ปีที่แล้ว

      Kabisa, mungu amrehemu ,huyo alikuwa level ya juu kabisa!!

  • @nawawisaalim7173
    @nawawisaalim7173 5 ปีที่แล้ว +2

    Ni kuonyesha hata sheikh kilemile hajaelewa sheikh kilemile amefuata ugali wa kiwahabi tu katofautiana na jamaa zake wote akiwepo sheikh sheikh ahmad zuber akiwemo sheikh muharramu ambaye haswa sisi tunamfahamu ndiyo mtu wa Elmu alicho ulizwa sicho alicho jibu Abuu eid ameuliza ni kitabu gani kinacho eleza lazima sie ili tufunge tuangalie alie arafa kwenye kisimamo sheikh kilemile na wenzake wote wameshindwa kujibu matokeo yake hata kuzungumza na elmu zao wameshindwa

    • @jumamnyage5395
      @jumamnyage5395 5 ปีที่แล้ว

      Wewe na wawi na hao ulowataja wooote nyie ni masufi mahizbi wanaharakati wapinga manhaji sahihi tunawaacha mvutane wenyewe na ujahili wenu tandarubeta chombo cha wakristo fulani nyie nyuma ya mazia la uislam

    • @dawaseif3699
      @dawaseif3699 5 ปีที่แล้ว

      Nawawi Saalim kweli kabisa

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 4 ปีที่แล้ว

      Unapenda bidaa wewe!!

  • @salehesalehe3294
    @salehesalehe3294 5 ปีที่แล้ว

    Subhanallah ,

  • @medardjustinian5223
    @medardjustinian5223 5 ปีที่แล้ว

    Sheikh Kilemile na ustaadh ldd nimewasikiliza kwa makini sana nyote. Nyote mmekosa Ustahimilivu was kibinaadamu,lkn kwa yupo ndg yenu Sheikh Mataka nina imani m m

  • @ismailjuma3692
    @ismailjuma3692 5 ปีที่แล้ว

    Nimekuelewa njoo huku kigamboni vijibweni kwa sheikh Ali Idd na yeye umueleweshe hivo