Yaani huwezi kuamini ulivyonifurahisha kwa kutuletea mapishi ya mandi Nilikuwa najua kuila tu cjui inapikwaje Shukran sana habibty jazaakallahu khairan
Hakika umenifunza mie nilikua sijui kama Mandi inalikwa Saudia na Kuwait pia, kwa vile nillishi UAE mda mrefu , Mandi inauzwa kwenye restauratns za ki Yemen. Lazima na mie nifanye homework yangu ile niwape watu maelezo sahihi x shukran
thank you my dear Kwa kutufundisha mambo mazuri napenda sana kujuwa mapishi tofauti nafurahi sana ninapo una video mpya umetuwekea asante Allah akuzidishie inshallah 😙😙😙💖💞💖
Shukran jazzakallahu lkheri mpenzi nimepika leo chakula masha Allah na nimeufukiza haswaa mtamu kweli watu wamenipa maswali teele wali mweupe ila harufu yake tu inavutia kwakweli raha kweli Shukran jazzakallahu lkheri nimefurahi
Kuku nime marinate lakini sijampika nimemchoma hapo juu kwenye wali ndani ya oven. Hiyo supu ya kuku/maji mimi huwa nachemsha mafupa kwa kutumia kwenye mapishi mbali mbali ninapo hitaji hiyo ni stock
Huu sasa mtihani, nafkiria labda ufanye foil nzito kidogo itoboe uweke kuku juu, na pia nimeona recipe nyengine wana choma kuku mbali , unapika wali mbali halafu unafukiza pamoja . Unaishi wapi hakuna mkaa ndugu yangu
Fathiya Ghalib Dear nimeandika vipimo vyote hapo chini kwenye description box. kila mchele Ni tofauti mie Na tumia 1 and half cup maji kwa kila kikombe cha Mchele Na kama utatumia soup it will be the same x shukran
Aroma of Zanzibar i tried the rice trust me it was amzing lov... may God bless u Mashallah i personalyy neva follow recipes buh zako natumiaa txx u lov
Muna Aden Welcome to my channel please note that all my videos are in both languages here's the link to the English version of the same th-cam.com/video/KxzTY8K8_tk/w-d-xo.html
Husna, ndio imekua hivyo hivyo kama ulivyoona. Unaweza kutumia kaa la aina yoyote la kawaida tu. Liwashe lipate moto vizuri tia kwenye kibakuli au karatasi ya foil halafu mwagia mafuta au samli kidogo itatoa moshi , hivyo ndio kufukiza
husna hamisi kaa la moto lolote tu waweka foil paper den ganda la kitunguuu watia samli yani ghee den watia kaa la moto ndio maana inatowa moshii ndio wali waleta harufu nzuri sio mandhi pekee hata nyama ya sambusa kuku ukimchoma unafikiza dear shukran
Yaani huwezi kuamini ulivyonifurahisha kwa kutuletea mapishi ya mandi
Nilikuwa najua kuila tu cjui inapikwaje
Shukran sana habibty jazaakallahu khairan
Amin x shukran
Thank sis.. Mandi nilikula zamn kidogo kariakoo nikapenda sanaa, nitajaribu namimi kupika...
best mandi recipe ever......oh am loving you fathiya...mariam from russia
Thank you so much darling for your support , glad you enjoyed the Mandi rice x love you too
shukran sana ukhti Kwa kutufunza mapishi tofauti ..
Aroma of zanzibar Asante anty kwakutuwezesha tusiwe Tiro kwenye mapishi muhimu sn tuwapikie mume atafute sababu engine sio makulati hahaha
stress
the way you are walking
Hehe! "Tiro." Hilo neno una nikumbusha nyumbani, RAMILI Mohammed..
Hayo makaa zanzibar yanapatikana wapi
Masha Allah,hila sijafahamu iyo supu KWAIYO ulianza kuchemsha kuku Kisha ukawachoma
Hiyo supu nilichrmsha kabla sio kuku nilopikia
mapishi mazuri sana. Inshaa allah nutajaribu
Nipojikoni nainjoi mapishi wallah raha sana ukijua kupikaa nitamu inaladha na nirahisi kupika shukraan sana jazakallah kher habibty 😙
Shukran, amin sis
Asante sana Aroma kwa mapishi mazuri
even me i don't get tired waching your vedios kwa kweli
unatuelekeza vzr sana in an easy way thanks dadaa
Thank you dear for your support much appreciate x much love
Asalaam aleikhm wallah sijawah kuuskia Huu wali!ika Leo Inshallah najaribu kuupika Inshallah
Huu wali unajulikana sana nchi za kiarabu na hata Dar umeingia sana x usisahau kunijulisha vipi umetokea
shukran sana dada hakika unanifanya niwe mama bora kwenye familia yangu
shukran ukhti kwa mapishi yk jazakallahu kheiran
Amin
Aroma of Zanzibar as salaam aleykum aunty nauliza wali hutii chumvi?
+Asya Kibz Nimetia , Na nimeandika kwenye vipimo labda nimesahau kusema
Aroma of Zanzibar okay shukran
Aroma of Zanzibar okay shukran jazaakillah kheyr in shaa Allah
mashaAllah wa tabarakallah.....looks delicious
Shukran
Ahsante pishi zuri sana ,nikimaliza kufunga nitajaribu kama ni skukuu kwangu
Inshallah
Msafi MashaAllah TabarakkahAllah
mandi ni famous yemen, saudia na kuwait.. me nmekula sana bt sijakua na idea inafanywa vipi.. shukran sana kwako kwa kutufunza..
Shukran, kwa kunielimisha x
Aroma of Zanzibar mwanafunzi haezi mfunza mwalimu.. heshima kwako always kwa mapishi best..
Hakika umenifunza mie nilikua sijui kama Mandi inalikwa Saudia na Kuwait pia, kwa vile nillishi UAE mda mrefu , Mandi inauzwa kwenye restauratns za ki Yemen. Lazima na mie nifanye homework yangu ile niwape watu maelezo sahihi x shukran
Aroma of Zanzibar afwan.. bt you were right origin ni yemen.. saudia na kuwait ilifika kwa ajili ya uwepo wa wayemen 😊
thank you my dear Kwa kutufundisha mambo mazuri napenda sana kujuwa mapishi tofauti nafurahi sana ninapo una video mpya umetuwekea asante Allah akuzidishie inshallah 😙😙😙💖💞💖
Shukran Habibty I appreciate your support x much love
Mashaallah Mashaallah Mashaallah.."Mola akuzidishie sana kwa kazi nzuri unayo fanya my dear"Aamin
Aroma of zanzibar sw nitajitahid then nitakujulisha lnchallakh Asante sn
Shukran, Inshallah itatokea
mashallaah unapika haraka tena kwa makini
I wonder why I never get tired watching ur videos ..u explain so well ..yani allah akuzidishie 😻😻
Thank you , thats so kind of you x Amin
Ahsante sana .mola akubarik iwe sadaka yako. Kwa kweli haya ni mapishi mapya nilikuwa sijawahi kusikia wali wa aina hiyo nitapika weekend inshaallah .
Huu wali unajulikana sana nchi za kiarabu x ukipika nijulishe vipi umetokea
Inshaallah nitakujuulisha.
mashaallah dada mungu akuzidishe unapika vzr mashaallah asante dada
Shukran, Amin
Jazzakallah khyr ukhty Allah Barik
Shukran, amin
umefukiza nini madam
Amina Ally nimefukia Na huo mkaa hapo kwenye karatasi ya foil Na Ganda la vitunguu Na samli
Asante Dada mungu akubarik
Mapishi yako ni mwisho ya mawazo, shukran
Ahsante sana , shukran
Mashaallah kila la kheri.. ahsante saana
Inshaallah Allah akupe wepesi
Amin Inshallah
dear napenda unavyopika Mungu akupe maisha marefu na yenye furaha na amani
Shukran, amin
Yummy Ma Sha Allah
Thank you dear
MashaAllah TabarakkahAllah
You are amazing
Shukran, thank you for your support
asante sana aroma Zanzibar kwa mapishi vp unaweza kutumiya nyama au lazima kali tuu
Nyama utaipika pembeni mpka iive, halafu tumia supu yake kwenye wali na utamalizia kama nilivyofanya ya kuku x
Shukran Fathiya I tried and love it
nadya jani Thanks Nadya, I glad to know you love it , enjoy yr weekend with Mandi
asant kwa mapishi
Shukran jazzakallahu lkheri mpenzi nimepika leo chakula masha Allah na nimeufukiza haswaa mtamu kweli watu wamenipa maswali teele wali mweupe ila harufu yake tu inavutia kwakweli raha kweli Shukran jazzakallahu lkheri nimefurahi
Mashallah nimefurahi kua wali umeupenda , mabrook , hiyo harufu ya wali ndio inaleta ladha nzuri sana, shukran kwa kunijulisha
Mankwe Wallahi waja niua! Kaah! Masha Allah
Pole sana
Ahsante
Nimeipenda leo nitapika Asante Sana
shukran mpenzi kwa kutuelimisha kwani wanawake wengi tunafeli jikoni
shukran Jazaqah llah-ukher
Amin
Heh hii ntaijaribu InnshaAllah
nakupenda Sana umekuwa msaada kwangu pia tunaomba na pizza
Ahsante, pizza ipo njiani soon itafika inshallah
+Aroma of Zanzibar thank you mamy
You are a very special person.A question what is the charcoal like thing you steam in the rice?
Thank you, yes thats a charcoal you can use any kind that you have and i added little fat to get that steam
Asante sn
Wow Masha Allah
Waiyyakum kwakweli maneno yako waume wetu sababu sio mahanjumati labda wawe nasababu nyengine hahahaha waruwaruwaru mpenzi Allah akuwezeshe unatupa darsa bure Allah akulipe kheri
Amin
Ummu Sahili
asante
shukurani kwa ufafanuzi😄
mm naomba wali was tambi
asamte
Omg I love your channel. Yani wewe ni mkombozi video zako zote nimesave. Unaweza kunisaidi iyo zafarani ni nini in English?
Shukran, Thank you for your support x inaitwa Saffron
mashaallah
Dada huyu kuku ulimchemsha ama?mob love from Kenya
asaikumchemsha kama nilivyo onyesha hapo
Thanks so much for this. My cooking skills have improved tremendously! Barikiwa.
Thank you Billah for the kind words and thank you for your support x be blessed
Mashallah
can you teach us mseto please
Inshallah
Hilo kaa. Naweza tumia hata mkaa wowote au ?
Mkaa wowote tu
Wow. Hayo maji ya kuku ni yale ya kuku uli marinate mwanzoni ukaiboil kidogo? Ndio ukapata hio supu ya kupikia wali?
Kuku nime marinate lakini sijampika nimemchoma hapo juu kwenye wali ndani ya oven. Hiyo supu ya kuku/maji mimi huwa nachemsha mafupa kwa kutumia kwenye mapishi mbali mbali ninapo hitaji hiyo ni stock
Ooh chiken stock. Na kama huna ya kuku mtu anaeza tumia nini?
Unaweza kutumia maji
asalaam aleykum...mepata kuwatch leo...hyo supu umeitoa wapi ikiwa kuku hujachemsha
Aleikum Musalaam, supu ya kuku ni kitu nnakua nacho kawaida nyumbani kwa matumizi ya mapishi mengi
Dada ok ok ok 🤣🤣🙏 nakupenda Sana ,umenifunza vingi mungu akulinde mikono yako hiyo mizuri na matone ya mafuta penda Sana ♥️♥️
Shukran 😘 Amin kwetu sote
asalam aleykum siz fathiya plz nakuliza wali unautia kwa oven na maji supu yake au unasubirii yakauke mwanzo ndio uweke kwa ove?
Aleykum musalaam nimetia supu , ulivyo chemka bila kukaauka nimeuitia kwenye oven umekaukia kwenye oven kama nilivyo onyesha x shukran
Aroma of Zanzibar shukraan jazakallah kheir tunafaidi kwa kweli Allah akulipe mema
Assalam alaykum nashkuru kwa mapishi yako ikiwa huna iyo chanja ya kuwekea juu ili maji ya kuku yaingie ktk wali unafanyaje
Weka karatasi ya foil utoboe au sinia ya pizza yenye tobo
Naomba recipe ya njugu mawe
mapishi na tui wa nazi
Mie sina njugu mawe huku nilipo
Uwii Leo lazima niupikeeeew
Shuqran dear, ila naomba kujua huo wali umeacha ukakauka maji ndo ueke kwa oven ?
Bila kukauka
Umetumia samli ya nin jina gan kopo lake
Samli ya Aseeel
Hapo uliweka kwenye ovena umewasha moto wa juu tu au umewasha juu na chini ?
Moto wa juu na chini
@@aromaofzanzibar ok asanteee
Aroma of zanzibar anty km sina chanja ya kuwekea kuku kwenye oven nifanye vipi pia km sina mkaa pia
Huu sasa mtihani, nafkiria labda ufanye foil nzito kidogo itoboe uweke kuku juu, na pia nimeona recipe nyengine wana choma kuku mbali , unapika wali mbali halafu unafukiza pamoja . Unaishi wapi hakuna mkaa ndugu yangu
Naomba kujua bay leaf kwa kiswahili ni jani la mea gani? nimejaribu kulizia sipati...
Mie sijui jina la kiswahili , hii ni mimea ya kigeni sio vyakula vya kwetu. Kwa kweli haina ladha kali yoyote kwa hivyo kama huna sio lazima
hallo
Nashukuru dada ila nasubiria mapishi ya jicho la ngamia na mkate wa jemi
Inshallah nikijaaliwa kupika mkate wa jemi nitaweka hapa lakini jicho la ngamia sina chuma cha kufanyia ;(
plz advise ulvotia maji ulipima kama kawaidaa ama unawekaa tuu maji?? kama mimi natumia mchele 1 and 3/4 cups niwekee soup kiasi gani kwa mchele txx
Fathiya Ghalib Dear nimeandika vipimo vyote hapo chini kwenye description box. kila mchele Ni tofauti mie Na tumia 1 and half cup maji kwa kila kikombe cha Mchele Na kama utatumia soup it will be the same x shukran
Aroma of Zanzibar i tried the rice trust me it was amzing lov... may God bless u Mashallah i personalyy neva follow recipes buh zako natumiaa txx u lov
Das huo mkaa niwakawaid
Unaweza kutumia mkaa wowote muhimu ni kupata moshi
Please speak English or write on the bottom
Muna Aden Welcome to my channel please note that all my videos are in both languages here's the link to the English version of the same th-cam.com/video/KxzTY8K8_tk/w-d-xo.html
Aroma of Zanzibar thank you sister
Aroma of Zanzibar thank you sister
Dada moto kuu unaweka au wa chini pekee
Moto wa juu na chini
@@aromaofzanzibar asante sana dada Mungu akubariki, nilisha pika lunch
Pole sana, unajua tumepishana masaa 9 nilikua nimelala
@@aromaofzanzibar oky mummy usijali nilifanya hivyo ulivyoelekeza chakula kilikuwa mmmmwwwwaaàà
Kama sina oven?
Tumia jiko la mkaa
@@aromaofzanzibar Asante nitafanya hivyo I hope msosi utakuwa poa tu
Unatoa wapi kaa la kufukiza?
Makaa si yanauzwa madukani au ??? unaweza kutumia mkaa wa aina yoyote
Unawez kutumia ata kaa la kawaida la mti
Rahma Ayoub. Ndio kaa lolote linafaa
Aroma of Zanzibar ok shukran
Samahan kufukiza inasaidia kuongeza nn?
Ladha tofauti
jamani mi nataka kuuliza hilo kaa mi sijaliewa linapatikana wapi..? halaf mbona amenyunyiza samli ikatoa moshi imekuaje naomba kujua tafadhal
Husna, ndio imekua hivyo hivyo kama ulivyoona. Unaweza kutumia kaa la aina yoyote la kawaida tu. Liwashe lipate moto vizuri tia kwenye kibakuli au karatasi ya foil halafu mwagia mafuta au samli kidogo itatoa moshi , hivyo ndio kufukiza
husna hamisi kaa la moto lolote tu waweka foil paper den ganda la kitunguuu watia samli yani ghee den watia kaa la moto ndio maana inatowa moshii ndio wali waleta harufu nzuri sio mandhi pekee hata nyama ya sambusa kuku ukimchoma unafikiza dear shukran
Say "Tangawizi mbichi" 10 times! Lol!
Hahaha, I will
Na kama wwtumia jiko ya mkaa unafanyaje
Kwa jiko la mkaa utapambia mkaa juu
gin
samahani dada huo mkaa wakawaida ama
Unaweza kutumia mkaa wa kawaida au aina yoyote ulokua nao
Asante
Sijajuwa kwa nini huwa unatoa ngozi ya kuku
Inategemea na pishi ninalopika kama ni wali au mchuzi napenda kutoa kama kuku wa kuchoma sitoi ngozi
Asante ubarikiwe sana
Makaa ni lazima dada kueka
Kufkiza na mkaa ndio utapata ladha ya mandi hasa
Ooh i was not aware thanks sis
Kufukiza na hilo kaa lasaidia nini
Kufukiza inaipa chakula ladha na harufu tofauti
@@aromaofzanzibar shukran
ivi dada iyo ambayo imetoa moshi ni nini
Nimetia mkaa humo na nimemwagia samli ndio ilotoa moshi
Aroma of Zanzibar ahsante tunashkuru ila nilitaka utufundishe na meat cake
dada mumeo hakuwachi hata siku moja. nataman nipate mke kama ww . si hawa madada zetu sa sku hizi wanakupikia wali rohoni haupiti utadhani ugali.
Inshallah M.Mungu atakupa mke mzuri atakaye kuandalia chaukula cha maana
MashaAllah TabarakkahAllah
MashaAllah TabarakkahAllah