Kama Raila aliibiwa kura, na Mt Kenya mkapigia Ruto, why are you saying minus Mt Kenya Ruto anaenda home, hawezi enda, kwanza Ruto ameshadevide Mt Kenya.
Maajabu ya dunia!! Mtu ambaye hata kazi ya uma ya kufangia choo hawezi pata na sasa ndiye wa mustari wambele kuuzia waKenya kalonzo. Waititu upuzi wa kuhusisha jamii ndani ya shida zako za KISIASA. Ulidanganywa peke yako. Watu sio wajinga vile unavyofikiria. Wewe mjinga
Kalonzo for president is the man
Minus Mt.Kenya Ruto is done
He wl shock u
Sahau
...and these are the ones you think will turn tables against rutto?
Kama Raila aliibiwa kura, na Mt Kenya mkapigia Ruto, why are you saying minus Mt Kenya Ruto anaenda home, hawezi enda, kwanza Ruto ameshadevide Mt Kenya.
Ataongoza vile anataka
Kalozo Dani dani waliokoa Kenya na kibaki
Rudisha pesa ya kiambu
Ama aweke Maji ya MTO kando ajenge nyumba😂😂😊😊
Nyinyi ni viwete wa siasa. You can't win any elections in Kenya. Mnapoteza wakati bure.
you thought ruto will drop your case but,no.whoever will be with you will not be elected
Lakini ujinga ni mbaya 😂
nyinyi ni bure tu juu ata raila amekosa uongozi sababu hamna ata vitambulisho.sisi tumetosha kumchagua tena
Muliambiana muvalie izo god papa kofia now mumekuja sana mbona mulivote Ruto lengo ilikua Raila bondo sai ako wapi siasa n chafu sana
Mume regret wewe na nani....tunawajua nyinyi matajiri. Mkikosa minofu yenu mnatugeukia tuwapiganie.....not this time round. Ruto anatosha kutupanga.....hata nyinyi fanyeni biashara halali pia.
Kilozo na kibaki ndio walifanya Kenya iendelee
We don't care
Upuzi wa Kikuyu tu enda uko
Kalonzo
wewe tuko na record yako ya wizi.utateseka miaka ingine nane inakuja
This is the nonsense we need to get away from. Lord save us. Ujinga tupu !!
Hii ni serikali ya nyumbani ama
Mtakasirika sana
Na nyinyi mutalia sana
Hi ni serikali ya odm
Maajabu ya dunia!! Mtu ambaye hata kazi ya uma ya kufangia choo hawezi pata na sasa ndiye wa mustari wambele kuuzia waKenya kalonzo. Waititu upuzi wa kuhusisha jamii ndani ya shida zako za KISIASA. Ulidanganywa peke yako. Watu sio wajinga vile unavyofikiria. Wewe mjinga
Opposition 😂
Manatumiwa na uhuru kenyatta sana nyinyi kuleni pesa ya uhuru tu
Ndoto yenu
Na yako je?