Acha hiyo kitu bob, Kenya Tz ni sawa na nchi moja tumegawanywa na wakoloni kuwekewa mipaka sisi ni wamoja mazee hata lugha tunaongea moja na tunaelewana vizuri tuu.
Tangu lini mwanamke akafanana na mwanaume huyu naye ety anatoka hapa Kenya kwetu ana nn Cha kuongea mbele y kingkiba ama marungi na maunga tu ety msani mm sjui anaimba ngoma zipi huyu
Kweli bro anaye muzarau king ni mpumbavu ❤ love from south africa 🇿🇦
Kings Music to the world ❤
Jamaa ameongea point
KRG The Don ❤️❤️🎉🇹🇿🇰🇪
Mambo imechemka ❤️❤️🎉🇰🇪🇹🇿
Unaakili San bro
🇰🇪🇰🇪🇰🇪...well represented big ups Vaugha 💪
True bro
Krg the Don umeongea point 👍🇹🇿
Our own bro
Point 😊
Hapa Leo nimekuelewa Sana Buggah
Alikiba 🇨🇩
😂😂😂😂KRG amepeleka kiherehere n Kiburi Tanzania tabia za wakenya well represented, pitieni kwngu pia please
😂😅
Krg uko sahihi sana
Huo JAMA hamujuwi babake kunandugue yupo hapa tzd tabata mwenyewe hamujuwi babake
king kiba apewe maua yake tu
Krg ni mtu wangu sana lakini hapo Kwa kuongelea fellow Kenyan otile vibaya ata kama hampatani
Acha hiyo kitu bob, Kenya Tz ni sawa na nchi moja tumegawanywa na wakoloni kuwekewa mipaka sisi ni wamoja mazee hata lugha tunaongea moja na tunaelewana vizuri tuu.
❤❤❤
KRG THE DON.......
Mapepe
wacha leo nisiongelee krg🤣🤣🤣
Huu ndio ukenya asili poleni ndugu zetu wabongo, hajatusi mtu, wakenya huwa tunaongea hivi, hatupangwingwi.
Nikweli kaka alikiba kitambosana mpaka Sasa yupo kwenyegem pewe mauwayake iyo imeenda
Hapo kwa kuongelea otile unakosea juu ni fellow Kenyan
Akiwa fellow kenyan ndio haifai kuambiwa ukweli?
Umeongea ukweli mtupu juu ya Alikiba
Krg bora awe blogger tuuuu
Wewe unajua kusoma hela😂😂😂😂 mtajua ni bughaaaa😂😂😂😂😂
Bugha 🔥🔥🔥
Huyo presenter maswali mingi, ameona balance akashtuka akatulia 😂😂😂😂😂😂
KRG letsss gooooooooooooooooooooo
Ni kwl bro wala auja koxeah yni me nime ipitixha iyo..😮😮
KRG nipenda vile huwa unaongea tu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
KRG Kadanganya, huku Kenya Rais hamjui😅
Kumbe huyu jamaa nimuongo hivi bughaaaaa sijaamini
Tangu lini mwanamke akafanana na mwanaume huyu naye ety anatoka hapa Kenya kwetu ana nn Cha kuongea mbele y kingkiba ama marungi na maunga tu ety msani mm sjui anaimba ngoma zipi huyu
Krg the don mambo imechemuka 😂
😂😂😂😂😂😂Huyu jamaa hahaha
Hichi nacho kisenge tu..
Huyu mmasai anajiita KrG ni wa wapi?
Anakubalika kote 💯😂
😅😅😅😅😅😅😅
Huyu Jamaa hapa Bongo akiongea tunamuona Kama Mmasai tuu 😂😂!! Hamna Jipya
Bongo ipi
@@davidnyerere2474 Kwani We upo Bongo Ipi?
Kwani anaonekanaje si ni msanii
@@SwahiliAmbasador954 Msanii Wa Nini? Ngonjela au?
@@Babuu200 na hiyo hiyo ngonjela uliyo mjulia